Inashangaza kuona stendi zote zilizojengwa awamu ya 5 zimegeuka kuwa magofu.
Kuanzia Chato Hadi Sumbawanga, Magufuli-Mbezi Hadi Dodoma ,stendi zilizogharimu mabilioni Sasa wateja wamezikimbia na...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu Dar es Salaam imewaachia huru wafanyakazi wawili wa Benki ya Taifa ya Biashara (NBC), Johnson Kato (57) na Gasper Kimaro (30) waliokuwa wanakabiliwa na kesi ya...
Mbele ya Waziri wa Tamisemi na Viongozi wengine akiwemo Mbunge, Jiji la Mbeya wametia Saini Kwa mbwembwe kuanza Ujenzi wa stendi Kuu ya Mabasi,soko na Barabara.
Kwa picha (renders) walizoweka...
Tayari nimeingia mjini Lindi. Aisee pamepoa hatari. Hadi najiuliza kwa hizi siku 30 ambazo nitakuwa ndani ya mkoa wa Lindi how will I enjoy myself?
Au niwe naenda zangu Mtwara kila weekend...
Zaidi ya watu 200 wakazi wa kijiji cha Kagunga, Halmashauri ya wilaya ya Kigoma, mkoani Kigoma wako mafichoni/ porini huku usalama wao ukiwa shakani kutokana na kile kinachodaiwa uwepo wa...
Naona Makemeo yanazidi kuwa mengi.
Wapendwa, kukemea kwetu hakubadilishi lolote kwa yule aliyekwisha kufa.
Ni Mungu mwenyewe wa Haki ndiye ataitwaa roho ya mja wake nanyi mtabakia na hayo U...
Samahani, hapo swali ni moja tu maana kuna mtu akishakunywa pombe tu anafanya vitu vya hovyo sana, baadae anarudi anakaa sawa, then anarudia tena makosa tena yanakuwa makubwa tu, watu wanamsamehe...
Hukumu ya kesi ya kulawiti inayomkabili aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu (RC), Dkt. Yahya Nawanda inatarajiwa kusomwa leo Ijumaa Novemba 29, 2024, katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza.
Kesi...
Husika na mada tajwa hapo juu,
Kwanza naipongeza serikali ya awamu ya 6 kwa kuleta huu mfumo wa uhamisho kwa Watumishi wa umma kwasabu umerahisisha huduma na kuondoa urasmu kwa Watumishi.
Pili...
Katika vitu ambavyo vinanipa sana shida katika ubongo wangu ni ukweli kuhusu kesi ya Babu Seya, nakuwa natamani nijue ni kweli yeye na familia yake walihusika kulawiti watoto au ni kesi ya mchongo...
"Pray for Palestine" "Pray for Ukraine" "Pray for Congo" "Pray for Kariakoo"
Hizi zimekuwa nyimbo kila mahali utakapopita mtandaoni imekuwa ni kawaida ya wanaoamini kuna Mungu wakijifariji kwa...
Hivi vitabu vya Mungu tunavidharau bure kusema usioe mwanamke ambaye sio bikra utakuwa umefanya big mistake kubwa.
Wengi wetu tunachukulia maneno haya ni uongo na pia Hayana maana yeyote kwetu...
Wakuu habari za wakati, ni matumaini yangu wote ni wazima wa afya.
Naomba kufahamu utaratibu wa kuonana na watu au ofisi ya watu wa usalama wa taifa katika ngazi ya mkoa.
Habari zenu ndugu zangu,
Nimekuwa nikipambana na tatizo la kunywa pombe kupita kiasi kwa muda mrefu. Nilianza kama njia ya kupumzisha akili, lakini sasa imekuwa janga kubwa.
Nimepoteza kazi...
Kwa wale watumishi wa umma mnaijua hii portal.
Mikopo siku hizi ina flow vizuri magazine.
Hii portal kwangu kila aina na jaribio imekataa kunitambua. Inaandika verification fail.
Nitaweka...
Nipo Ulaya; na kila ninachokiona na kunisikitisha ni jinsi watu weusi sisi tuna makelele sehemu zote na nyingi haswa tukiwa kw public transport au kw vyumba vya kushare; yaani lijitu linaongea...
Siku ya Kimataifa ya Watetezi wa Haki za Binadamu Wanawake huadhimishwa kila mwaka tarehe 29 Novemba.
Siku hii inatambua juhudi za wanawake wote wanaofanya kazi kwa bidii kutetea haki za...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.