Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Arusha ya leo ni safi, wanaarusha wote wana furaha, maji ya kumwaga, huduma za afya mwake mwake, mashule ndiyo usiseme, environmental quality and standards safi, bado machache tu Arusha iwe ya...
5 Reactions
40 Replies
1K Views
Kuna kundi la watu wapo eneo la Geti la Pili kwenye bandari kavu jijini Mbeya, mbele kidogo ya Iyunga unapoelekea Mbalizi. Watu hawa hukamata bajaji mchana kweupe wakiwa na marungu kuzuia bajaji...
0 Reactions
2 Replies
216 Views
Siku ya jana nimepeleka document zangu kwa ajili ya kupata passport lakini nimeambiwa inahitajika barua ya mualiko pamoja na copy ya passport ya mtu ninae kwenda kumtembelea. Kama kuna mtu yuko...
13 Reactions
159 Replies
4K Views
Usiombe mabaya yatakukuta porojo za bongo 15-02-2011 ilikuwa jumanne tulivu, tukiwa uwani tukipiga stori za hapa na pale, nawakumbuka baadhi ya watu wachache tulio kaa pale uwani, dada g,dada...
0 Reactions
2 Replies
215 Views
Ni shule ya wasichana iliyo katika halmashauri ya mji wa Bunda mkoani Mara.Inamilikiwa na kanisa la Anglican dayosisi ya Mara. Taaluma katika shule hii ni ya wastani sana ukilinganisha na hadhi...
0 Reactions
0 Replies
285 Views
Wadau, nawapa tahadhari kuwa huu mkopo wa NMB wa Mshiko Faster, unapanda na kushuka utadhani bei ya hisa kwenye masoko ya hisa kwenye masoko ya hisa duniani. Kwahiyo, ukikopa, usitarajie kile...
1 Reactions
0 Replies
366 Views
Hakuna namna ya kuniambia kuwa Adam na hawa hawakuwa watanzania. Picha linaanza, huko bonde la olvai (umasaini) ambapo Dr. Leakey aligundua fuvu la kichwa cha binadamu wa kale zaidi (Kama sio la...
5 Reactions
6 Replies
399 Views
1. Badhi ya namba unajibiwa namba unayopiga umekosea chunguza tena, inawezekana ya mumeo au mkeo. 2. Ukitaka kuunganisha YAS pesa unaabiwa bad connection or wrong MMI 3. Ukitaka kujiunga bando...
6 Reactions
29 Replies
758 Views
Kuanzia saa nane mchana mpaka muda huu huduma zote hazipatikani, tunaomba ufafanuzi!
6 Reactions
28 Replies
2K Views
Vijana nafasi yetu iko wapi? Sijawai kuona kijana mwenye umri Kati ya miaka 18-30 akiteuliwa na Rais kuongoza taasisi yeyote ya umma! Wazee wa miaka 70 bado wapo serikalini wanabadilishwa kutoka...
8 Reactions
42 Replies
1K Views
Serikali ya Tanzania imesema itaendelea kuheshimu mikataba yake na kampuni tanzu ya Adani Group licha ya mashtaka mapya dhidi ya Gautam Adani, mwenyekiti bilionea wa kundi hilo, anayekabiliwa na...
2 Reactions
42 Replies
2K Views
Naomba wenye namba na masiliano makoa makuu Maboto Micro finance, atusaidie. Tunaomba balance tuwalipe madeni yenu mkononi hamtaki mnataka kumshikiria mteja ili iweje, hamjui dunia ya leo ni soko...
3 Reactions
23 Replies
6K Views
Habari za pilika Na majukum.. Kuna kitu Naomba kufahamu kutoka kwenu wakuu.... Hususan waliosoma chuo cha NIT.. au ambao bado wanasoma.. Nina mdg angu anasoma pale NIT ila hadi leo analalamika...
2 Reactions
7 Replies
431 Views
Haya ndio Yale Yale ya Mr.Tumbili na Mke wake. My Take: Mambo ya ndege wasiofanana hawawezi kuruka pamoja. https://x.com/swahilidigital_/status/1862009393295810976?t=gJsJpp2KrYc1oxlsYO2xBg&s=19
4 Reactions
24 Replies
1K Views
Kuna wakati Tunafanya kazi nyingi Biashara nyingi lakini kadri ya tunavyoendelea kuishi unaendelea kugundua fursa kila iitwapo leo,Dunia ya sasa ina fursa nyingi sana hasa kwetu vijana wenye nguvu...
2 Reactions
2 Replies
205 Views
Wakuu salam, Hivi karibuni internet imekuwa changamoto kweli, wakati mwingine unakuwa huwezi kufanya chochote zaidi ya kucheza game. Kadri siku zinavyoenda hali inazidi kuwa mbaya Na hii ni...
4 Reactions
37 Replies
944 Views
Nimewahi kuandika hapa kwamba mbantu hawezi kufanya biashara kwa sababu huwa anashindwa kujitofautisha yeye na biashara yake. He think he is his business. Kwa mfano akiwa anauza bidhaa fulani...
37 Reactions
51 Replies
2K Views
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ameliagiza Jeshi la Polisi kuhakikisha linamtafuta popote alipo mmiliki wa jengo la ghorofa lililoporomoka jijini Dar es Salaam na kusababisha vifo vya watu 15 na...
0 Reactions
40 Replies
2K Views
Watu wakiambiwa kuwa majina yanaunda wanachukulia powa, tanzania ni moja kati ya nchi ambayo wazazi awazingati namna ya kuwapa majina watoto wao, wanaangalia tu namna inavyo sound mdomoni, nchi...
3 Reactions
4 Replies
301 Views
Ni kwamba uchumi umeyumba au shule za English Mediums zimekosa mvuto ama nini? Mtaani kwetu watoto almost 20 walikokuwa wanasoma shule za Ems now wamerejeshwa Kayumba. Hii imetokea ndani ya...
2 Reactions
20 Replies
847 Views
Back
Top Bottom