Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hivi karibuni nimekuwa nikilalamiki sana kitendo cha TARURA Singida kwa kutifua barabara na kuiacha ikiwa haitamaniki kwa kushindwa kupitika. Leo nimepita maeneo hayo na kukuta mawe yakiwa...
0 Reactions
1 Replies
201 Views
Familia zetu, kila mmoja anatakiwa aanzie mwanzo. Yaani hakuna mwendelezo wa maisha ya uchumi na biashara. Eti wanakwambia kila mmoja ajipambanie... Kama kuna mali wazee waliacha basi watu...
8 Reactions
27 Replies
907 Views
Nisiseme mengi ila kwa mtu mwenye uelewa mdogo tu wa ujenzi na majengo atajua kuwa yale majengo wachina walifanya uhuni sana.ukizingatia ukanda wa dodoma matetemeko ya ardhi ni kama ndio nyumbani...
3 Reactions
2 Replies
282 Views
Mimi ni Mtumishi wa Serikali Kada ya Afya nipo Uyui Mkoani Tabora, nina maoni ambayo pia ni kama kero kwangu na kwa Watu wengi kuhusu mchakato wa Uhamisho wa Njia ya Online kwa Watumishi wa...
1 Reactions
5 Replies
717 Views
Tukianza na TANESCO, sijui mmekuaje hizi siku. Mnakata umeme siku nzima hafu hamna mnachosema. DAWASA na nyie mshakya viburi. Mnakata maji mnarudisha saa 4 usiku hafu mnakata tena saa 11...
4 Reactions
9 Replies
337 Views
Sababu ni moja tu nayo ni👇👇👇 Kwa sababu huu ni msimu wa Mananasi. Katika ulimwengu wa roho, kunapokuwa na msimu wa kitu fulani, tafsiri yake ni kwamba muda huo ndio muda sahihi wa kufanya kitu...
5 Reactions
18 Replies
960 Views
Mwaka 1995 Baada ya msoto wa kutosha nikaona nitazeekea kijijini kabla ya umri wangu kwa kilimo kisichokuwa na tija. Niliamua kutafuta plan B. Nikamwandikia rafiki yangu wa utotoni barua aliyekuwa...
39 Reactions
26 Replies
6K Views
Nakumbuka huyu mzee mke wake alisafiri baada ya kupata msiba Mbeya sasa, hii nyumba yake ina vyumba vinne vya ndani na vina wapangaji, sasa kuna mpangaji mmoja wa kike anaishi singo, basi bhana...
36 Reactions
221 Replies
35K Views
Jamii Imetakiwa Kuwa na Mashirikiano Katika Kulea Watoto Ili Kuwakuza Katika Maadili Mema. Ushauri huo umetolewa na katibu wa kamati za maadili kutoka Jumuiya ya Maimamu Zanzibar JUMAZA Abdallah...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Mimi huwa nashangaa watumishi kuchukulia maneno ya Musa (Zaburi ya 90:10) na kuacha neno la Mungu mwenyewe la (Mwanzo 6:3) "Bwana akasema, Roho yangu haitashindana na mwanadamu milele, kwa kuwa...
11 Reactions
55 Replies
2K Views
Anonymous (0db7)
Mh. waziri wa maji tunawasilisha kwako barua ya kero na Usumbufu mkubwa wa upatikanaji wa maji mji mdogo wa Ushirombo, Wilaya ya Bukombe. Hii yote ni kukosekana kwa uwajibikaji kwa Mkurugenzi...
0 Reactions
4 Replies
362 Views
Nilikuwa nimekopa hela hapa YAS,kuzilipa imekuwa kisanga matata. Kila nikipeleka hela,naambiwa mkopo bado. Hapa nadhani nimedhulumiwa sh. 2000
0 Reactions
1 Replies
205 Views
Kama wote Tutakumbuka Tarehe 26 November mwaka Huu 2024 , Tumeshuhudia Mtandao wa Tigo ukibadilisha Tena jina lake kutoka Tigo na Kuwa Yas.. Japo Huu umekuwa Mwendelezo Wa Kampuni ya Tigo...
10 Reactions
48 Replies
3K Views
Vijana wengi hapa Mchamba Wima wamekimbilia Marekani, Canada na UK kutafuta maisha. Mimi naona wamepotea. Mimi nataka kwenda Iran au Saudi Arabia naamini Waarabu na Waajemi watanipokea na kunipa...
3 Reactions
17 Replies
525 Views
Huwezi kuamini muda huu upo kazini kuna mtu mzima kabisa na meno 32 limekaa linapigia hesabu mshahara wako ambao hata wewe mwenyewe haukutoshi. Afrika ukiwa ni lijinga lisiloheshimu kipato...
8 Reactions
29 Replies
726 Views
Kwenu Wahusika, Naandika kutoa malalamiko yangu na kuhusu kukosekana kwa maji kutoka DAWASA katika maeneo mengi ya Tabata, kwa zaidi ya mwezi mmoja sasa ambayo pia inatufanya kuingia gharama...
1 Reactions
9 Replies
519 Views
Je nyumbani kwenu, walipo wazazi au ndugu zako, ni sehemu salama ambayo ukipigwa unaweza kukimbilia na kupata utulivu kabla ya kurejea tena kwenye mapambano; Au ni heri ufie ugenini kuliko...
3 Reactions
18 Replies
502 Views
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) imeendelea kung'ara katika uwanja wa usimamizi wa fedha za Umma. Katika hafla ya tuzo iliyofanyika usiku wa tarehe 29 Novemba 2024, DCEA...
0 Reactions
1 Replies
180 Views
Back
Top Bottom