Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Miaka ya 2000's niliumwa malaria nikanywa amodiaquine ziko kama tatu hazizidi tano ila sitakaa nisahau ile experience ilikua unachungulia kaburi ile dawa iliongeza maumivu maradufu bora mchana...
5 Reactions
65 Replies
2K Views
Ni muda sasa tangu watu wafanye maombi ya passport lakini hadi sasa hawajapata hizo passport. Raia kila wakienda wanaambiwa changamoto ni mtandao. Ni miezi 6 sasa na wengine wanaambiwa wafanye...
1 Reactions
16 Replies
1K Views
Unakuta mwalimu amekopa Microfinance kama 3. Mshahara ukitoka siku mbilli hana kitu. Kinachofuata ni kubeti mikeka 20 kwa siku ili kulipa madeni. Kwa ujumla madeni yanatuletea fedheha walimu.
7 Reactions
24 Replies
909 Views
in this life everyone has something to offer. Katika haya maisha kila MTU anacho cha kutoa ambacho kinaweza kubadilisha maisha ya MTU mwingine. Mfano mateja , - hawa sasa hivi wanaokota chupa na...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Katika pita pita zangu mikoa mbali mbali hapa Tanzania, ARUSHA wamejitofautisha sana na mikoa mingine mingi hapa nchini kwa sbb hotel au lodge ya kawaida tu wana service ya Wifi kitu ambacho...
12 Reactions
20 Replies
824 Views
Habari wakuu, Mimi ni mwanafunzi wa Chuo X, nikisomea shahada ya Habari na Mawasiliano maarufu kama IT ( Information Technology ) hapa Dar Es Salaam. Bado sijamaliza degree yangu nipo mwaka wa...
2 Reactions
1 Replies
279 Views
Siamini ila kama ni Kweli Wakurugenzi Wana Uwezo huo wa kuwachonga Wawakilishi wa Wananchi huko mtaani, kitongojini na Kijijini basi Waziri atakuwepo pale Juu kama " body" tu Naamini Washindi...
0 Reactions
1 Replies
134 Views
Vipaza sauti vinavyotumiwa kwaajili ya kutangaza biashara katika eneo la Karume jijini Dar es Salaam vimekuwa kero na kelele za hali ya juu sana. Yaani hakuna kinachosisikika bali ni makelele kwa...
6 Reactions
43 Replies
1K Views
Wakuu salaam, Nahitaji kununua friji kwa bei ya hizi zetu watu wa hali ya kawaida,sasa ktk pita zangu nimeona angalau HISENSE na BRUHM ni bora kidg kulingana na pesa niliyonayo naomba...
0 Reactions
57 Replies
13K Views
Naibu Waziri Mkuu Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Dotto Biteko akitoa pongezi kwa Meneja Uhusiano wa Barrick, Georgia Mutagahywa kwa ushindi wa North Mara baada ya kumkabidhi. Waziri wa Nchi...
2 Reactions
0 Replies
251 Views
Eti ndugu zanguni YAS? Mnatufidia vipi sisi wafanyabiashara wenye Lipa namba zenu ambao tumeshindwa kupokea malipo kwa wateja wetu wa mikoani na online? Fanyeni utaratibu aisee, this is crazy.
3 Reactions
15 Replies
367 Views
Nimekuwa humu kwa kipindi kidogo lakini hili la kuitana 'Mkuu' limekuja tu. Sijui kwanini wakuu?
10 Reactions
906 Replies
56K Views
Habarini Wapendwa, Hope mko njema licha hili janga linalo tukumba Mungu ni mwema sana. Leo naomba kushare story ya Maisha yangu Mimi holy holm. Wiki chache zimepita nilileta humu thread ya jinsi...
48 Reactions
1K Replies
228K Views
Habari zenu wanajukwaa ,Poleni na Kazi za kulijenga taifa. Mm niko na Changamoto moja ambayo siielewi kuna hali ya kuongea peke yako yani nakuwa napiga Story peke yangu au kuongea peke yangu na...
8 Reactions
25 Replies
699 Views
Movie au Series gani unaweza kuiangalia mara nyingi na haikuchoshi? Kuna baadhi ya filamu na tamthilia ambazo, hata baada ya kuzitazama mara kadhaa, bado zina nguvu ya kutuvuta tena na tena. Zina...
12 Reactions
114 Replies
4K Views
Taasisi za JamiiForums (JF) na Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) zimeingia Makubaliano ya Ushirikiano (MoU) katika masuala anuai ikiwemo kuhakikisha uwepo wa Sera bora nchini; kuimarisha...
1 Reactions
3 Replies
269 Views
Kwenye kundi la kuzaa watoto wengi naomba tuwatoe wazee wetu waliozaliwa 1950's maana wao kulikuwa na mashamba ya kukidhi mahitaji Tujadili kuhusu kizazi cha 1960's-2024's 👉Aslimia kubwa ya...
2 Reactions
27 Replies
580 Views
Ningelifurahi endapo uzi huu ukawa na mambo na historia za kikristo za ki imani zaidi. ========== WESTERN WALL FACT: When the Holy Temple was destroyed by the Romans in 70 CE, the Western Wall...
0 Reactions
1 Replies
105 Views
Hii tasnia ya habari kwa sasa ni kama haina maadili kabisa. Inakuwaje mtu yupo kwenye majonzi unamuhangaisha ili wewe upate views na likes za kukupa fedha? Mazishi ni ibada ndugu zangu!
2 Reactions
15 Replies
508 Views
Mathayo 24 inatoa dalili za kubomolewa Yerusalem na Kuja kwa Yesu mara ya pili. Walengwa wa Dalili hizo kwa ukubwa ni waovu, na wacha Mungu kwao ni kama tahadhari wasijisahau. Dalili hizo...
14 Reactions
36 Replies
1K Views
Back
Top Bottom