Changamoto niliyoielezea hapa JamiiForums katika kata za misughaa na Kikio Singida imetatuliwa, kwa sasa mnara wa simu wa TTCL.
Hauna kususua inaonekana mamlaka husika zimeshughulika nakutatua...
Dini zimekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu kwa maelfu ya miaka, zikitoa mwongozo wa kimaadili na kiroho. Hata hivyo, kuna hoja mbalimbali zinazotumiwa kuonyesha kwamba dini ni utapeli. Moja...
HABARI YA PASAKA JF,Je Ulishawahi Kujiuliza Unaenda Wapi Ukisha kufa? Fuatana na Mimi Asubuhi Upate Elimu.
MTU AKIFA ANAENDA WAPI?
Mwili hushushwa ardhini baada ya pumzi kurudi kwa muumba,yaani...
Tabora imecheza na Yanga , kocha wao Gamond akafukuzwa, kisha ikacheza na Singida Black Stars , nao wakamfukuza kocha wao.
Sasa kesho 29/11/2024, ni zamu ya KMC. Swali ni je, kocha wa KMC atapona...
Rais Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kuongoza wananchi kwenye mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine Ndugulile...
Tunaitazama dunia katika Angle tofauti tofauti. Bado ni tishio kuu mpaka sasa ulimwenguni. Siku hizi matangazo na campaigns zimepunguzwa sanaa. Wapo walio survive long more than 20 years na...
Huyu jamaa ananitia hasira sana jamani nais ntamfanya kitu kibaya.
Kuna siku nilipost nauza simu yangu [Samsung Note 10+] kule kwenye jukwaa la matangazo maana nilikua siitumii sasa kwenye...
Mosi,Kukaa kimya kuna nguvu zaidi kuliko pale unapotaka kudhibitisha ukweli au kujitetea. Na hii kweli kabisa wakati mwengine unaweza kupata kashfa ambayo jinsi kadri unavyotaka kujitetea...
Hii ni kutokana na kuokoka siku kadhaa nyuma.
Kumbe wokovu ni mchakato, si kwamba ukiokoka leo basi leo leo vitendo, kauli, na fikra zinabadilika kwa ghafla. La hasha! Ni mchakato taratibu huku...
Jeshi la Polisi Mkoa wa Mbeya linawashikilia watuhumiwa wawili ambao ni Ramadhan Tembo Mwakilasa [28] maarufu kama Rama Love ambaye pia ni Mwandishi na Mtangazaji pamoja na Mariamu Charles...
Tupo katika dunia ambayo kwa sasa maendeleo ya binadamu, miundo mbinu na ya sayansi yamekuwa yakionekana kuwanufaisha watu hata kiuchumi. Hapa arusha msafara wa viongozi ni kero kwa wataftaji...
Wanangu, huwa sipendi kuchangia wala kujadili mambo ya ngono na mambo binafsi. Ila baada ya kusoma nyuzi nyingi za wanaume wanaobemendwa na wake zao wakijifanya vijogoo, nimeamua lau leo niulize...
Leo Kuna tatizo gani mjini,
Yani Kariakoo, Posta, Ilala, mpaka road za Sinza, Kinondoni, Kuna foleni sana
Yani gari hazitembei, mpaka Boda wapo foleni, shida ni Nini Leo?
Wamiliki wawili wa jengo la ghorofa lililoporomoka Kariakoo, Dar es salaam wamepelekwa mahabusu baada ya kukosa dhamana huku mmoja wao ambaye ni Leondela Mdete (49) akipata dhamana katika kesi ya...
Wafanyabiashara watatu wamefikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, Dar es Salaam wakikabiliwa na mashtaka 31 ya kuua bila kukusudia.
Washtakiwa hao ambao wanadaiwa kuwa wamiliki wa jengo...
Chadema ilipoteza mwelekeo kwenye Njiapanda ya utawala kati ya JK na JPM. Unajua ukitaka kuwa loyal simamia kile unachokiamini mwanzo mwisho hata kama adui akija akaanza kukisimamia unachokiamini...
Ni jioni sasa,nimesima hapa sebuleni kwangu,naangalia nje,mvua inanyesha.Naangalia miti na maua inavyopeperushwa na upepo, ni shwaaaaaaaaa, sauti ya majinya vua, na fyuuuuuuuuuuuuuuuu, sauti ya...
Ndugu zangu watanzania leo nakuja na habari yakutisha sana naandika hii habari kwa mwenye macho fungua macho ila upo trapped.
Awali ya yote kabla yakuandika kile nataka kukiandika nataka kuseme...
Wengi wetu hatuna ufahamu kuhusu kama Twiga anatoa Sauti au lah na hii ni kutokana na kuwa Twiga ni mnyama anayejulikana kwa kuwa kimya sana, lakini anaweza kutoa sauti chache zisizojulikana sana...
Tarime bwana watu ni Civilized ila sio wanyonge, humble people lakini hawapendi kuonewa au kujishusha shusha bila sababu ya lazima ya kumfanya ajishushe. Yaani mtu akukanyage tuu bahati mbaya...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.