Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Salama wakuu. Najarbu ku flash back yale mambo ya secondary haswa O'level kwa shule za bweni. Binafsi nakumbuka mambo mengi ila Haya makubwa Mawili nakumbuk zaidi. 1: Ilikua asubuhi sana nikiwa...
4 Reactions
23 Replies
4K Views
Hii imetokea katika Ziwa Tanganyika Mkoani Kigoma Mliosoma Geography 🗺️🌏📗 hii inamaana Gani? i?
9 Reactions
47 Replies
2K Views
Kuna wadada wana kiherehere, kanaanza mahusiano na mwanaume hana kazi wala biashara. Hujawahi kuona juhudi zake za utafutaji, unajichanganya kumchukulia mkopo halafu unakuja kutuita sisi wote mbwa...
11 Reactions
27 Replies
973 Views
Is it coincidence? Au dunia imeamua KUNIKUTANISHA na watu wenye mtazamo kama wangu? Au dunia imeamua kuni - prove right kuhusu mtazamo wangu kuhusu English Mediums za Tanzania? Only God...
11 Reactions
30 Replies
1K Views
Na WAF - Ruvuma Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Philip Isdor Mpango Disemba Mosi, 2024 amekabidhi magari aina ya Lori 28, Double-Cabing 68 yenye vifaa vya baridi pamoja na...
0 Reactions
2 Replies
203 Views
Mtangazaji nguli wa habari Salim Kikeke ambaye alizoelea umaarufu mkubwa kwa style yake ya utangazaji ameondoka rasmi BBC baada ya kufanya kazi na chombo hicho cha habari kwa zaidi ya miaka kumi...
41 Reactions
86 Replies
13K Views
1. Kazi yako ni kutii amri za watawala Unaamka asubuhi unamuga mkeo na wanao unaenda kazini Kazi yako ni kuteka na kuuwa Watanganyika wenzako, mtu mweusi kama wewe, tena unamnyonga na kamba...
4 Reactions
4 Replies
391 Views
Wakuu umofia kwenu, Kwanza kabisa nampongeza Yeriko Nyerere kwa kujaribu kwake kusukuma gurudumu ili la uhandishi wa riwaya pendwa ya Kijasusi safi sana mkuu. Kwa sasa vichwa ivi ni vichache mno...
65 Reactions
697 Replies
136K Views
Je, wajua? Serikali ya Tanzania chini ya Marais toka awamu ya kwanza hadi sasa awamu ya Sita imechukua hatua mbalimbali kuimarisha huduma za afya nchini kwa kujenga miundombinu ya afya...
1 Reactions
1 Replies
137 Views
Malezi ni msingi wa ukuaji wa vijana na yana athari kubwa katika utu na maamuzi yao wanapokua. Kila mzazi ana mtindo wake wa malezi, lakini kwa mujibu wa wanasaikolojia kama Diana Baumrind, kuna...
0 Reactions
0 Replies
229 Views
IT'S ALL ABOUT FACTS : Wakati wa kula wazazi wangu walikua wananiambia usiongee wakati unakula, Sikujua kama kauli yao ningeitumia hata kwenye mfumo wangu wa utafutaji.... Hakika usiongee wakati...
1 Reactions
9 Replies
289 Views
Inawezekana likawa ni suala ambalo watu mmelizoea mitandaoni na kulichukua poa tu lakini Kwa maoni yangu Binafsi ni jambo la hatari linaloharibu watoto ambao ndio kizazi cha kesho. Narudia kama...
9 Reactions
16 Replies
815 Views
Rais wa Tanzania, Samia Suluhu Hassan amesema ataunda tume mbili, moja itachunguza na kutoa mapendakezo kuhusu masuala ya ardhi yanayolalamikiwa na wakazi wa Ngorongoro na nyingine itaangalia...
1 Reactions
4 Replies
329 Views
Asilimia kubwa ya sisi Wafanyabiashara Kisiwani Pemba tunapata wakati mgumu kuhusu suala la kodi na ushuru mkubwa tunaotozwa katika Bandari ya Unguja pamoja na Bandari ya Pemba Hali hiyo imekuwa...
1 Reactions
8 Replies
565 Views
Siku hizi kuna foleni ya kutisha maeneo mengi ya Dar. Yaani Hali ni tete Jinsi ya kupunguza makali Kwanza: Beba vitu vya Kula, bites zisikosekane kwenye gari au kama ni wa public transport kwenye...
6 Reactions
12 Replies
516 Views
DAWASA KINYEREZI WAHUJUMU UCHUMI… Hii ni habari ni inayopaswa kuchukuliwa na kufanyiwa kazi na Mamlaka nyingine za nchi kwa haraka sana. Ni hivi, kutokana na uhitaji wa maji kuongezeka na...
3 Reactions
11 Replies
1K Views
Nimeikuta barabarani nikainama kuokota, sasa nashindwa ama nasita kufanya matumizi isije ikawa mtego wa ufalme wa giza. Wabobezi wa masuala ya kiroho naomba ufafanuzi
2 Reactions
13 Replies
596 Views
Na Mwandishi Wetu - Dar es Salaam. Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Rihiwani Kikwete amesema Serikali imekamilisha uandaaji wa mpango kazi wa Taifa...
0 Reactions
0 Replies
147 Views
Kwa sasa Moshi ndo sehemu bora kabisa ya kuishi hapa Tz pana viwango vyote vinavyopaswa Hapa nazungumzia Moshi kuanzia Rombo hadi Siha kule Sanya juu Maeneo yenye huduma zote za kijamii za...
19 Reactions
28 Replies
8K Views
Great thinkers, Naona huyu Mkurugenzi wa SGR anachezea serikali ya Dkt Samia, inakuwaje AC za Jengo la Abiria Magufuli hapo Dar AC hazifanyi kazi? Nashauri Dkt Samia tumbua huyu Mkurugenzi maana...
3 Reactions
54 Replies
8K Views
Back
Top Bottom