Mwakilishi wa wabunge wachache bungeni, Halima Mdee, amesema Dk Faustine Ndugulile, aliyekuwa mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO), Kanda ya Afrika, alisimama...
Habari ndugu zangu,
Afya ya akili ni mada muhimu ambayo mara nyingi haipati uzito unaostahili, hasa inapokuja kwa wanaume hapa Tanzania. Kwa jamii zetu, wanaume mara nyingi wanatarajiwa kuwa...
Kwa vijana wengi wa Tanzania na Afrika kwa ujumla, fursa za kazi nje ya nchi zinaonekana kama tiketi ya maisha mazuri. Wengi wanaamini kuwa kuondoka na kuajiriwa nje ni hatua ya kufanikisha ndoto...
Waislamu wa Tanzania Wakiongozwa na shehe Ponda wamefungua Kesi dhidi ya BAKWATA, Mwanasheria Mkuu wa Serikali na Msajili wa NGO wakipinga wao kuwekwa na Serikali chini ya usimamizi wa Bakwata...
WABUNGE WANAWAKE ZANZIBAR: UWEKEZAJI UNAOFANYWA UMEKUWA KICHOCHEO CHA KUKUZA UCHUMI ZANZIBAR
Wakiwa Mkoa wa Kusini Unguja tarehe 30 Novemba, 2024, Wabunge Wanawake Zanzibar wameeleza kuwa...
Hapo mwanzo ilikuwa rahisi kutawala mamilioni ya watu kuliko kuwauwa.
ila zitafika Zama hawata tawalika na itakuaa rahisi kuwauwa kuliko kuwatawala.
Idadi inazidi uwezo na fikra zao katika...
Rais Samia Suluhu Hassan ameungana na familia, viongozi na waombolezaji katika Ibada ya kuaga mwili wa aliyekuwa Mbunge wa Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani (WHO) Kanda ya...
Wapiga Debe katika Stendi ya Daladala ya Mbezi Luis wamekuwa kero kubwa kutokana na yale wanayoyafanya kila siku kutuoni hapo kwa nia ya kutafuta Abiria wanaoelekea katika Kituo cha Mabasi cha...
Hii huduma ni muhimu sana hasa kwa wale wagonjwa walio katika mateso makali mno.., i mean mateso yasiyovumilika na hakuna kabisa uwezekano wowote ule wa kupona hivyo dawa nzuri na ya uhakika ni...
Taasisi ya Hakimiliki Tanzania (COSOTA) imeteketeza vifaa na bidhaa vilivyokamatwa kwenye operesheni ya kutokomeza uharamia nchini dhidi ya kazi za sanaa na fasihi pamoja na usambazaji wa...
Siku ya Kimataifa ya Kukomesha Utumwa huadhimishwa kila mwaka tarehe 2 Desemba. Lengo lake ni kuangazia juhudi za kukomesha aina za utumwa wa kisasa, kama vile usafirishaji haramu wa binadamu...
Zama hizi za mitandao ya kijamii, tunaishi kwenye ulimwengu wa aesthetic friendships – zile picha za kikundi cha marafiki wakiwa kwenye vinywaji, sherehe, au safari za kifahari wakitabasamu kana...
Viongozi wetu wa serikalini kuanzia na waziri wa Afya na wengine onyesheni mfano kwa kupima VVU hadharani ili kuhamasisha wananchi mnao waongoza kuhamasika kupima kwa hiyari.
Ongozeni kwa...
Ikiwa kiongozi atashindwa kufanya maamuzi ambapo kimsingi sheria imempa mamlaka hayo ujue huenda kuna tatizo.
Kiongozi mzuri ni yule anayekemea na kuomba ushauri wa kiutendaji,inapotokea nyumba...
Nimegundua mabinti wengi hawamalizi elimu ya sekondari, wakiona shule imekuwa ngumu wanaanza kujifanya wanapandisha mapepo, ajabu mapepo hayo hupanda siku za shule tu wala sio weekend.
Wazazi nao...
Ifike mahali Tanzania tuwe bize na maendeleo tu kuanzia juu hadi kwa raia mmoja mmoja.
Habari za siasa may be zitawale kipindi cha uchaguzi tu, baada ya uchaguzi kupita na kumuweka kiongozi ambae...
Waziri wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Mhe. Tabia Maulid Mwita amewaagiza Viongozi wa Baraza la Sanaa, Sensa ya Filamu na Utamaduni kuhakikisha Wanawawezesha Vijana walioshiriki katika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.