Habari JamiiForums,
Ni miaka minne sasa tangu DAWASA Kibaha walivyositisha huduma ya maji Kibaha - Pangani - Mtakuja.
Mara ya mwisho maji yalitoka November 2020 hadi leo maji hayatoki na hakuna...
WAZIRI wa Maendeleo ya jamii, jinsia, wazee na watoto Zanzibar Mhe. Riziki Pembe Juma ameitaka jamii kushirikiana kwa misingi ya maadili mema, kudumisha amani na utulivu Nchini katika kuondokana...
Fanya observation ndogo 1.utagundua mazingira unayokaa kuna Ile hali ya kuridhika ya wale wazawa wa eneo Husika(maendeleo mara nyingi yanaletwa na watu wakuja)
2.Ubaguzi wa kazi pia unapokuwa...
Maswali ya Kuzingatia kwa Maisha ya Watoto Wetu Wenye Umri wa Miaka 10 Kushuka Chini
1. Kwa nini unatumia fedha nyingi na nguvu kubwa kumpeleka mtoto shule za gharama, ambapo mwisho wa siku...
Gari lenye namba za usajili T405 DPJ limeacha njia na kuparamia fremu za maduka na mabucha ya samaki eneo la Ubungo Riverside Jijini Dar es salaam asubuhi leo December 02,2024.
Hadi sasa majeruhi...
Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza utabiri wa mvua kubwa katika mikoa 11, itakayoanza leo, Novemba 30, hadi Desemba 1, 2024.
Maeneo yatakayoni mikoa ya Nyanda za Juu Kusini...
Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza...
Hata kama mmiliki wa hili bus hayupo humu ila naamini jf ni mtandao mpana wanaomfaham watamfikishia salam zake.
Jana nimepeleka mzigo pale sheli ya Engen ubungo nilikuwa na mizigo miwili mmoja wa...
Suluhisho limepatikana ,ahsanteni kwa ushauri .
Ukijikuta limbeya limbeya basi scroll kushuka chini kujua nini kilijiri hususani kwa ambao hamkujua mwenzenu nilikumbwa na nini .
Mchana mwema .
Tutakumbuka Serikali imeweka utaratibu wa kuhakikisha huduma muhimu ya chakula na lishe inapatikana kwa Wanafunzi wa elimu ya msingi mashuleni.
Utaratibu huo unatekelezwa kutokana na Mwongozo wa...
JF Salaam!!
Ninaposema Kanda ya ziwa bila shaka tiyari unakuwa umepata taswira yake.
Siyo kwamba mikoa mingine haijabarikiwa la hasha lakni Kwa Kanda ya ziwa Kuna neema ya pekee sana.
Hapa...
Suala la Umeme CHATO, imekuwa ni kama anasa vipi huko Msoga na Kizimkazi hali ni hii pia?
Kwakeli sijui Wanachato wameikosea nini Serikali hii. Adha ya umeme niliyoikuta huku ni kubwa mno, muda...
Reference:
Marko 9:1
Luka 9:27
Mathayo 16:28
Mistari yote hio ina ujumbe unaofanana, ya kwamba
Maneno hayo yalitamkwa na Bwana Yesu mwenyewe akiwa katika mwili wa damu na Nyama akiwaambia...
Sisi Wafanyabiashara na wakazi wa Geita, kwa miaka mingi sasa stendi yetu imekuwa na miundombinu mibovu.
Miaka nenda rudi kilio chetu kimekuwa ni uboreshwaji stendi yetu lakini hakuna kitu...
Mvua kubwa iliyonyesha leo asubuhi mjini Geita imesababisha mafuriko katika maeneo mengi ya mji huo, na hivyo kukwamisha shughuli mbalimbali za wakazi.
Kwa mujibu wa taarifa kutoka Geita, mvua...
Hivi ndivyo hali ilivyo upande wa mitaa ya Mwanza kutokana na mvua iliyonyesha leo Desemba 2, 2024 ambapo maji yamejaa katikamaeneo mengi iliwemo kufunika Barabara.
Hii ni mitaa ya Furahisa –...
Salaam, shalom!!
INTRODUCTION.
Tuendelee na mada za wakubwa,
Naamini Hadi sasa Kila mtu ajua kuwa,
Mtu ni ROHO, anayo NAFSI na anaishi ndani ya MWILI.
Nimekuwa nikifanya majaribio mengi ya...
Tumtolee Mungu Vitu Vinavyotugharimu Zaidi
Tumtolee Mungu vitu vinavyotugharimu hata kuhatarisha Maisha.
Mfano wa mashujaa watatu wa Daudi
Hebu tuangalie mfano kuhusu Daudi, kupitia Mfalme wa...
Hello wana jamii kwema humu?
Kuna baadhi ya kazi/Shughuli ambazo watu wanazichukulia poa lakini zina kipato cha maana,
Kwa mfano kuna mtu namfahamu kazi yake ni kuzibua vyoo, lakini anakwambia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.