Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Nyabulogoya, Kata ya Nyegezi tuna changamoto ya kukosekana kwa chombo imara cha kuweka taka katika maeneo yetu licha ya kuwa tumekuwa tukitoa taarifa kwa Mamlaka...
1 Reactions
0 Replies
350 Views
Nimepitia changamoto nyingi za kimaisha na sasa naona nina stress sana. Nafikiria kuanza kutumia pombe ili niweze ku-cope na hali hii inayonipelekea kuwa na mawazo sana Nimekuja kwenu, mnisaidie...
18 Reactions
221 Replies
9K Views
Mji wa Yanji, wilayani Yanbian, Mkoani Jilin, ni maskani ya watu kutoka makabila madogo 56 ya China, watu wa kabila la wakorea ni sehemu kubwa ya idadi ya watu wote katika mji huo. Katika hali ya...
0 Reactions
0 Replies
158 Views
Takwimu za mwaka 2022 kutoka Wizara ya Mambo ya Kiraia ya China zinaonesha kuwa idadi ya wazee nchini China, yaani watu wenye umri wa miaka 60 na zaidi, imefika zaidi ya milioni 208.04, ikiwa ni...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Kila sehem tunalaani! Tunalaani! Tunalaaani! Yaani sisi afrika hatujui mambo mengine yanahitaji vitendo! Jeshi la polisi linalaani... Mashejh wanalaaani... Waziri analaaani... Wachungaji...
6 Reactions
45 Replies
1K Views
Zaidi ya nyumba 10 katika mtaa wa mkombozi kata ya murusi halmashauri ya Mji Kasulu Mkoani Kigoma zimebomoka na nyingine kuezuliwa na mvua kubwa iliyoambatana na upepo mkali kunyesha oktoba 29...
0 Reactions
1 Replies
163 Views
Mvua kubwa iliyonyesha jana jijini Arusha iliyoambatana na upepo mkali imeezua nyumba zaidi ya kumi katika mtaa wa mashariki na kuacha familia kadhaa bila makazi. Kutokana na upepo kuwa mkali...
0 Reactions
2 Replies
191 Views
Hii MIXX by Yas muda mwingi huduma haiko hewani. Hapa nataka kununua umeme (LUKU) lakini kila nikijaribu naambiwa muamala umesitishwa, pesa zimerudishwa kwenye akaunti yako. Jana nilikuwa mahali...
1 Reactions
1 Replies
206 Views
Wakuu nataka kwenda njombe, naombeni kujua nauli ni sh ngapi kwa MTU anayetokea Dar. Na vipi, nauli za magari/usafiri Wa mchana ni Sawa na nauli ya usafiri Wa usiku? Na pia kama kuna yeyote...
0 Reactions
8 Replies
693 Views
1. Nikiwa katika mazingira ya kuhukumiwa, katika mazingira yasiyo rasmi kutolewa hukumu(mahakama) Ni kana kwamba nilikua kifungoni(mahabusu) nikisubilia Hukumu itakayosomwa huko...
0 Reactions
5 Replies
334 Views
Tuko kwenye nyakati ambazo vijana wanawaona wazee ni washamba wasioelimika na wasiojua kitu.. Lakini pia tuko kwenye enzi ambazo kuna wazee waliogoma kuzeeka na wayafanyayo hawana tofauti na...
7 Reactions
22 Replies
615 Views
Anonymous (77ce)
Baadhi ya maduka ya bidhaa za chakula Biharamulo ni machafu sana kiasi kwamba yamekuwa ni makazi ya panya. Wauzaji kwa makusudi pasipo kujali usalama wa walaji wanauza bidhaa zilizoliwa na panya...
0 Reactions
1 Replies
178 Views
Anonymous (37ac)
Muda mwingi mifugo wanakaa juani. Hakuna kivuli cha kuwakinga na jua, ama eneo maalumu la kulishia. Wanakaa pamoja na kuficha vichwa kwa kujikusanya pamoja, kukwepa makali ya jua. Pia, mfereji...
0 Reactions
1 Replies
177 Views
Mkandarasi wa Mradi wa Upanuzi wa Barabara ya Ubungo-Kimara na barabara shikizi za Morogoro na Kawawa, Sichuan Road and Bridge Group Corporation Ltd (SRBG), anapenda kuutaarifu Umma kuwa...
1 Reactions
0 Replies
224 Views
Ni imani yangu sote tu wazima, nina kila sababu leo kuongea na vijana wenzangu. Sote tunafahama hali ya maisha, vita ya kulipigania tumbo ni vita ngumu zaidi kuliko ile ya kusaka utajiri. Ni kama...
17 Reactions
71 Replies
1K Views
Habari za mda huu wakuu, nmepend kushare na nyie uzi huu kigodo, maisha ya wazazi wetu ni changamoto kubwa na inaumiza sana especially sisi tuliotoka family za maisha ya chini, na tunapambana ili...
5 Reactions
7 Replies
263 Views
  • Closed
Kila siku naiona treni ya umeme inakatiza mitaa flani mabehewa yakiwa matupu au abiria ndani wachache Ila inachanja mbuga hivyo hivyo kuelekea dodomana kurudi dar kulikoni?. ushauri kama...
10 Reactions
74 Replies
2K Views
Desemba 1, 2024, Shirika la Afya Duniani (WHO) linaungana na wadau na jamii kote ulimwenguni kuadhimisha Siku ya UKIMWI Duniani. Kauli mbiu ya mwaka huu ni “Chagua Njia Sahihi: Afya Yangu, Haki...
3 Reactions
2 Replies
390 Views
Siku za hivi karibuni kumekuwa na wimbi la Watu kupotea katika mazingira ya kutatanisha hasa ya Vijana wenzetu. Yalianza mdogomdogo lakini kadiri siku zinavyozidi Kwenda mbele kumekuwa na taarifa...
0 Reactions
13 Replies
1K Views
Back
Top Bottom