Kama unavyoweza kudhani, kuharibu maisha yako ni rahisi sana. Hii inaweza kufanyika kwa kufuata hatua 15 rahisi ambazo mtu yeyote anaweza kufanya.
Hatua ya 1: Fanya Kilicho Rahisi Kila wakati...
Kiongozi wa Kimila wa Kabila la Wamanyema Sultan Hamza Othman Malilo II wa 'Usultani wa Kienembonwe wa Ujiji' wenye makao yake Busaidi Kigoma ametoa tamko kunako kutekwa kwa Abdul Nondo.
Anasema...
Tafakuri ya leo.
Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa??
Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki...
Bila kuvunja ukimya na sasa watu wenye maambukizi kutambulika na kuweka sera madhubuti basi Taifa litaangamia lote.
Jamani ipo shida kubwa sana sana. Watu wanasambaza huu ugonjwa na wengine wana...
FALSAFA #1
: Anaandika
mwanafalsafa mmoja ya kwamba,
Katika hii dunia hakuna kitu kikubwa,kushinda mtu
Na ndani ya mwanaume hakuna kitu kikubwa
kinachoshinda FIKRA na UFAHAMU
NENO
Hapo...
Katika mgawanyo wa vipato duniani kuna madaraja yanayoainisha makundi tofauti kutegemea na vipato vyao
Kwa marekani hapa chini ni mchanganuo wa hayo madaraja kwa mwaka (Annually income classes)...
Salaam, shalom!!
Nitaeleza Kwa ufupi.
Siku Moja mpendwa wetu mmoja alifiwa na ndugu yake Kijiji fulani, tukalazimika kusafiri Toka Kijiji kimoja kwenda Kijiji kingine Kwa ajili ya maziko...
TCRA pia Dkt. Gwajima D waangalie namna ya kulinda watoto.
Matangazo ya pombe kuwekwa katikati wakati unatazama taarifa ya habari binafsi naona sio sawa.
Maana ni mazuri na unakuta watoto...
Ni swala la muda tu kabla ya hali ya sasa ya kutekwa na watu wasiojulikana kugeuka na kuanza kuathiri hata wale wa ndani ya CCM. Dalili hizi si nzuri kwa mustakabali wa chama na taifa. Kutoruhusu...
Msimu wa mvua umeanza ndani ya jiji la Dodoma.
Katika mchakato wa kuweka hali za barabara zetu katika hali nzuri serikali ya mkoa/halmashauri ya jiji la Dodoma ilimwaga kifusi katika barabara...
Jaribu kufikiria, je kama sarafu za Tsh 500,200,100,50 nazo zingeondolewa inamaanisha leo hii kitu ambacho unanunua kwa Tsh 50 utakinunua kwa Tsh elfu1.
Kitu ambacho unakinunua kwa Tsh elfu 1...
Ndugu wanajamvi,
Pokeeni salamu zangu kutoka huku kwetu ORKEJU LOONGISHU wilayani Longido mpaka ulio karibu kabisa na Kenya.
Leo usiku uliopia tumemshuhudia Mwaandishi wa Vitabu mashuhuru na...
Tatizo kubwa Afrika lipo katika kuweka mfumo na sera sahihi za kukabiliana nalo
"We've got tons of land but unfortunately we don't have the right framework and policies to deal with large...
Kitongoji cha Njoka kinapatikana katika Kijiji cha Kizuka wilaya ya Songea mkoa wa Ruvuma. Wanafunzi hawa wanakumbana na hadha kubwa sana ya kutembea takribani zaidi ya km 10 kuzifuata shule ya...
N:B: Waajiriwa wa serikalini
Nakupa mfano mdogo tu, Nenda mitaa inayosifika kuwa na watu wanaoishi maisha standard, mfano kwa Iringa Nenda Gangi Longa, Mbeya nenda Forest, Dar nenda Mbezi...
Mkurugenzi wa Idara ya Sheria TSNP, Paul Kisabo amesema kuwa ni karibu siku 7 sasa Mwenyekiti wao wa Mtandao wa Wanafunzi(TSNP), Abdul Nondo amekuwa akihitajika uhamiaji ili kuhojiwa uraia wake...
Toka Jana Jioni kumekua na Shida ya Internet Kwa maeneo ya Dar es salaam (Sijui mikoani) mpaka muda huu naandika tatizo ni lile lile!
Sijui changamoto hii itaisha saa ngapi, sijasoma Wala kusikia...
Mimi kwa upande wangu baba yetu wa Taifa ndiye aliyetakiwa kutengeneza Katiba nzuri ya kuwalinda wananchi na kuwasimamia viongozi wakuu mbalimbali kutotumia vibaya nguvu wanapokuwa kwenye...
Moja kwa moja kwenye mada:
Kuanzia Kimara Stop Over zimewekwa taa za sola za kumulika barabara kwenye vituo vya daladala hadi Kilvya Madukani na pale Kibamba Shule zimeenda hadi barabara ya...
Niwasalim kwa jina la (J.M.T) ktk umoja huu wa E.A.C Kuna hoja nyingi za KIMUUNGANO mfano:
DHIMA YA KUUNGANISHA NCHI WANACHAMA UHURU WA KIBIASHARA ISIYO NA MIPAKA.
* Tumeona nchi WANACHAMA Wana...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.