Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Acha majivuno ndugu, acha umwamba, acha "usimba", sio wewe, ni hio bahati pekee ya mafanikio, kuwa grateful sio kwa aliekupa mchongo tu hata kwa sisi tunaojipitisha tu maana njaa zetu zikikupata...
18 Reactions
21 Replies
769 Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, ametoa mkono wa pole kwa familia ya mwanamuziki mkongwe wa dansi, Marehemu Boniface Kikumbi "King Kiki" na familia ya Muigizaji...
2 Reactions
27 Replies
1K Views
Mega Beverages Limited (MBL), Kampuni inayotambulika katika sekta ya vinywaji Tanzania, imeadhimisha miongo miwili ya mafanikio kwa kuzindua toleo maalum la K-Vant Premium Spirit. Bidhaa hii ya...
1 Reactions
0 Replies
148 Views
DODOMA Katibu Mkuu Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhandisi Anthony Sanga ameziagiza ofisi zote za Ardhi nchini kuanzia mkoa hadi halmashauri kuhakikisha zinakaa vikao vya muda...
1 Reactions
2 Replies
186 Views
Na Zurima Ramadhan, Zanzibar Wadau wa kupinga vitendo vya udhalilishaji nchini wametakiwa kuzitumia siku 16 za kupinga ukatili kwa kuongeza nguvu ya mapambano dhidi ya vitendo hivyo. Akifungua...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Dar es salaam Waziri wa Maliasili na Utalii Balozi Dkt. Pindi Chana (Mb) amewakabidhi TANAPA Malori matano na mitambo mitano yenye thamani ya Dola milioni 2.4 sawa na shilingi Bilioni 6.4 za...
0 Reactions
0 Replies
242 Views
Dkt. Nyambura Moremi mkurugenzi wa maabara ya taifa anastahili kuchukua nafasi iliyo achwa wazi kufuatia kifo cha Dr Faustine Ndugulile. Tuungane kumpigia kampeni aweze kuchukua hiyo nafasi...
0 Reactions
4 Replies
275 Views
Ni zaidi ya saa nne sasa hakuna huduma kwasababu ya mtanndao! Kila Mgonjwa anayefika hapo anaambiwa kirahisi rahisi tu kuwa hakuna mtandao Cha kusikitisha zaidi ni majibu tunayopewa ni wakavu...
0 Reactions
1 Replies
216 Views
Unakuta ndani counter ina madiridha 6, lakini teller mmoja tu! Inaleta usumbufu usio wa lazima hata kidogo. Kama hapa tupo NBC DUCE hapa Moapa stadium ni kero iliyoje. Teller mmoja tu wateja...
2 Reactions
10 Replies
381 Views
Mwanafunzi wa Upadri (Frateri) wa Kanisa Katoliki Shirika la Roho Mtakatifu Jimbo la Tanga Rogassion Hugho anadaiwa kujinyonga hadi kufa. Kamanda wa Polisi Mkoa wa Tanga, Almachius Mchunguzi...
6 Reactions
100 Replies
10K Views
Moja kwa moja Kwa utafiti wangu mfupi usio rasmi niliofanya mimi binafsi kupitia stori na watu mbalimbali, vijiweni, mitandaoni nk. nimegundua mara watu wengi wakilalama kuwa wanapata wakati...
33 Reactions
201 Replies
15K Views
Hili ni Bomba la Maji ambalo lina miaka kadhaa sasa halifanyi kazi, tunategemea maji ya kwenye visima. Wananchi wa Kwa Pengo, Sheya ya Sizini Wilaya ya Micheweni, Mkoa wa Kaskazini Pemba tuna...
4 Reactions
8 Replies
399 Views
Wananchi wa Kijiji cha Keichuru kilichopo katika Wilaya ya Kibiti Mkoa wa Pwani wamempongeza na kumshukuru Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa kwa utekelezwaji wa miradi ya kupeleka umeme vijijini...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
Katika jamii za wawindaji mara nyingi kuishi kwao(kupata mlo wa kila siku)kunategemea na kiasi gani wanachovuna mawindoni hivyo inawalazimu kutumia nguvu ,akili na maarifa ya ziada kuhakisha...
3 Reactions
13 Replies
920 Views
📖Mhadhara (69)✍️ Zipo familia au koo ambazo hazina maelewano miaka nenda'rudi. Yaani ukoo fulani hauelewani na ukoo fulani, familia fulani haielewani na familia nyingine, au ndani ya ukoo mmoja...
2 Reactions
0 Replies
164 Views
ARUSHA: Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba akizungumza katika Mkutano wa Pili wa Mwaka wa Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika (AAAG) unaofanyika katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Hivi karibuni Mdau wa JamiiForums.com alitoa wito kwa Mamlaka ya Maji Bukoba - BUWASA, kushughulikia changamoto ya Wateja wa Mita za Maji za Prepaid kukosa Tokeni. Wafanyakazi wa BUWASA wakiwa...
1 Reactions
0 Replies
227 Views
Huku Zanzibar kumeibuka tabia ya Watu ‘kupigwa’ sana pesa kwa kisingizio cha kutafutiwa safari za kwenda nje ya Nchi. Wengi ninaowafahamu waliokutwa na changamoto hiyo wameingizwa mjini kwa...
2 Reactions
3 Replies
511 Views
Habari wadau wa JF. Natoa wito huu kwa Kamishna Msaidizi wa Ardhi Tabora, maofisa wengine wa kitaalam, na viongozi wa kisiasa, akiwemo Waziri mwenye dhamana ya Ardhi, Mkuu wa Mkoa, na Mkuu wa...
0 Reactions
1 Replies
222 Views
Shida ya maji Kata ya Pangani, Halmashauri ya Kibaha Mji Mkoa wa Pwani. Ndugu Admin/moderator naomba kutoa malalamiko yangu juu ya wizara ya Maji, kwani pamekua na shida ya maji miaka nenda rudi...
0 Reactions
1 Replies
361 Views
Back
Top Bottom