Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Na Thabit Madai, Zanzibar Zanzibar ya sasa inashuhudia mabadiliko makubwa katika ushiriki wa wanawake katika uongozi, ikilinganishwa na enzi za zamani. Kwa mara ya kwanza tangu mapinduzi ya...
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Katika kipindi hichi kuelekea uchaguzi mkuu tumeona visa vya utekaji vikizidi kuongezeka siku hadi siku na tunaona mamlaka zinazotakiwa kufanya uchunguzi zikitoa taarifa kuwa zinaendelea na...
2 Reactions
2 Replies
180 Views
Umasikini ambao tunao katika bara la Africa ni umasikini bandia na sio kwamba unapatikana Kutokana na Mazingira. Katika post hii nitamui-invite ndugu Robert Heriel Mtibeli ambaye aliwahi...
6 Reactions
23 Replies
844 Views
Mnaohusika na haya mambo ya kuteka, kuua na kuumiza watanzania wenzenu nina imani kabisa baadhi yenu mpo humu JamiiForums. Kwa hili tunakosea sana, ninatambua kabisa kuna kundi la watu...
3 Reactions
5 Replies
227 Views
Wakuu Kumekuwa na video inayosambaa mitandaoni ikionyesha wahitimu wakiwataka waliopo ofisini kuwa makini, kwa ujumbe wa tahadhari na msisitizo. Je, ni wakati sahihi wa kuwaambia ukweli kuhusu...
5 Reactions
6 Replies
312 Views
Habari za wikend wadau,huwa najiuliza kama majina ya magereza yetu hapa nchini kama yana maana yeyote,mfano utokapo morogoro kwenda Dodoma,kabla ya kufika Dumila,ukiwa maeneo ya WAMI-DAKAWA,hapa...
0 Reactions
35 Replies
7K Views
Katika miaka ya hivi karibuni, Tanzania imeona kuongezeka kwa idadi ya wanawake ambao ni mama wanaolea watoto pekee( Single Mother). Hali hii inaathiri jamii kwa namna nyingi, ikiwa ni pamoja na...
0 Reactions
0 Replies
246 Views
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imemhukumu Ernest Lwila (30) kulipa faini ya TSh5 milioni au kutumikia kifungo cha miezi sita gerezani, baada ya kupatikana na hatia kwa kosa la kutumia laini ya...
3 Reactions
1 Replies
333 Views
Duniani Kuna Changamoto sana, kuna wakati unapitia Changamoto kubwa unatamani hata Kuitelekeza Familia. Kuna wakati nilikuwa Nikiona watu hasa wanaume wametelekeza familia nilikuwa sielewi kabisa...
6 Reactions
88 Replies
3K Views
Kwa jinsi navyochukulia huwa naona makampuni haya yana pesa nyingi kwasababu huwa wanafaidika kupitia marejesho kausha damu na mtu asipolipa wanachukua assets zenye thamani kubwa zilizowekewa...
1 Reactions
9 Replies
419 Views
Hali ya uchumi imekuwa ngumu, na zamani, wanamama waliweza kukaa nyumbani na kulea watoto wao vizuri kwa kujishungulisha kwa biashara ndogondogo ana kuweza pia ungalia na kuwa na muda mrefu na...
0 Reactions
1 Replies
400 Views
Kuna jamii ndogo ya Watusi mkoa wa mbeya ambayo wamekua ni wenyeji kwa muda. Kwasababu ni jamii ya watu wachache si rahisi kunotice. Binafsi nimekutana na familia kama kumi hivi wengine wanajiita...
5 Reactions
46 Replies
3K Views
Miji ya Bongo ni aibu tupu na kero, Dar jiji kubwa halina hata Garden ya kusingizia, Jiji limajaa Frame tupu, Aridhi tunayo nini kinashindikana?Kila sehemu ya wazi basi hio ni soko la wamachinga...
9 Reactions
40 Replies
1K Views
Wakuu habari ya muda..mdogo wangu amehitimu ualimu miaka minne nyuma sasa punde baada ya kuhitimu huwa wanapewa mapema ACADEMIC CERTIFICATES kuliko vyeti vingine..kwa hiyo alifanikiwa kuipata...
0 Reactions
4 Replies
439 Views
Na kilichoniumiza zaidi baada ya kutoa Boko hilo ni kwamba kila mara nimekuwa nikikusikia ukisema (tena ukitamba) kuwa una Masters Degree (Shahada ya Uzamili) na kwamba ulishakuwa Mkufunzi...
16 Reactions
40 Replies
2K Views
Napenda Leo nitoe ushuhuda katika karma. Mimi Babu yangu alikuwa ameajiriwa na serikali ya wakoloni na baadae serikali ya Nyerere. Babu yangu alikuwa MTU wa kujitoa Sana alihakikisha...
4 Reactions
14 Replies
453 Views
Naomba kusainiwa ndugu zangu hivi hizi jumuiya na seli za wakristo lengo lake hasa ni nini? Mbona sioni cha ziada, zaidi ya michango na kufokewa? Hizi jumuiya na seli zimekuwa kama vile mtego kwa...
1 Reactions
25 Replies
766 Views
Watanzania huko tunakoelekea siko kabisa turejeshe mioyo ya kupendana Tuzidi kumuombea uponaji wa haraka Mh Abdul Nondo huu ujuwaji wa kujifanya Matomaso hautatusaidia chochote Mlale Unono 🐼
3 Reactions
13 Replies
489 Views
1. Wote ni wapenda amani na umoja, kama Mwalimu Nyerere alivyopigania amani, Rais Samia anahakikisha Tanzania inabaki kuwa nchi ya utulivu. 2. Nguli wa Kiswahili, Mwalimu Nyerere alijenga misingi...
0 Reactions
7 Replies
385 Views
Naomba uzi huu kubaki hapa bila kuingwa utasaidia mnoo Kabla ya maelezo mengi kuna msemo usemao Immigration officer have a right to your visa application denial without giving out reasons, Watu...
7 Reactions
52 Replies
11K Views
Back
Top Bottom