Wakuu,
Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Dkt. Yahaya Nawanda ameachiwa huru baada ya kushinda kesi aliyokuwa akituhumiwa ya kumlawiti Mwanafunzi wa Chuo iliyokuwa ikieneshwa katika Mahakama ya...
Wakuu
Haya Matangazo ya viwanja "Vinauzwa na Hati" yanayosikika karibu kila kituo cha daladala hapa mjini Dar kupitia sauti kubwa kutoka kwenye spika zilizowekwa, ni kero kubwa kwa abiria na...
Habari
Hopefully wote mko salama. Leo nipo hapa kushare nanyi research yangu niliyoifanya baada ya kumaliza chuo na kuwa jobless kwa miaka kadhaa.
Muda namaliza chuo mpaka napata ajira ya kudumu...
Nilikua napitia thamn ya vipande tofauti
Leo 27.11.24
1️⃣Umoja fund-1076 🟥 1087 KUZ🟩
2️⃣Ukwasi/Liquid fund 427🟥 427🟥
3️⃣Jikimu 177🟥181🟩
4️⃣Bond 118🟥118🟩
Hii ina maana gani??
Je ni sahihi na...
Nawasalimu kwa jina la Engonga Baltazar.
Mwaka 2017 nipo advance nilitoroka skul nikaenda kukesha kwenye mwenge, napenda sana muziki na nilikuwa na talent ya kucheza na kuimba ila sjui...
Wakati Tanzania ikizozana kuhusu uwajibikaji wa matumizi ya fedha za umma, hebu tutazame hali katika mataifa yanayodai kuwa vinara wa uwazi na utawala bora. Ripoti za hivi karibuni kutoka Marekani...
Mzuka wanajamvi!
Hawa bodaboda wengi tunaowadharau wamekuwa msaada sana. Tumeona kwa Abdul Nondo na yule mama wa Chadema hata yule naibu waziri alipata ajali na mchepuko akimkimbia mke wake...
Habari Kwa makazi nipo dar es salaam, Nina mtaji mdogo ambao Kwa upande wa frame ni changamoto Sasa Basi nataka kufanya biashara Kwa njia ya mtandao hasa kupitia WhatsApp
Kwanini nataka kutumia...
Hiyo nafasi niliyo acha hapo juu ni kwaajili ya salam.
Twende kazi.....
Huo mwaka 2097 nina rafiki kwa jina la James.
Jame miaka hiyo ameajiriwa kwenye moja ya hotel zilizo bamba pale jijini...
Kitu pekee nilichomlaumu Shujaa Magufuli ni kubomoa ile Club Billicanas ambayo 1980s iliitwa Mbowe Hotels.
Kile kilikuwa chuo cha kujifunza maisha ya Mjini na taarifa zote za mashambani, Mjini na...
Nimepata hitilafu ya kutopata OTP kwenye mfumo wa internet banking yapata wiki sasa. nimetoa taarifa na kupewa ticket lakini mpaka sasa kimya. ninaomba bw kalegeye ulifanyie kazi suala hili...
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli.
Nilikuwa nasababu kuu tatu za kunifanya nizionee aibu kazi ambazo wengi huziona Duni.
Sababu ya kwanza, ni Malezi na makuzi.
Nimelelewa na kukuzwa kwenye...
Nina Leseni class A na D
Nimesoma Veta PSV ili kupata leseni class C1 cheti kipo. Naomba mwenye connection ya TRA niweze kupata leseni kwa urahisi nataka nipate madaraja
A
D
C1
E
Nipo ubungo Dar
Kwa nini Mungu anataka binadamu wamuabudu, wamuombe, wamtolee sadaka na kumshukuru?
Kama unaamini Mungu yupo ni dhambi usipomuabudu, usipomuomba au usipomshukuru? Yani kama unakubali yupo lakini...
1. We live in times where we see many humans, but not humanity.
2. We live in times where the rich has more rooms than children and the poor has more children than rooms.
3. We live in times...
Me nawaza tofauti na wengi
Nondo ametekwa Kwa sababu Gani?
Nondo sio hatari Kwa watekaji
1 ACT na CCM wana urafiki ambao haulezeki, ni kama CCM alimzaa ACT
Mwanzo wa tukio
Kwa hadhi ya Nondo...
Hapa kuna aya za Biblia zinazokemea tawala dhalimu zinazofanya mauaji, unyanyasaji, au kuteka watu wasio na hatia:
1. Kutoka 20:13 "Usiue."
Hii ni mojawapo ya Amri Kumi ambayo inakemea waziwazi...
Afrika ni bara tajiri sana duniani.
Lina rasilimali za kila aina kuanzia ardhi nzuri inayofaa kulima mazao ya kila aina, maji, hali nzuri ya hewa, uoto wa asili ikiwemo misitu, madini, mafuta...
Wakuu,
Najua nitakuwa sipo peke yangu, lakini mara nyingi huwa nikienda kwenye hizi hoteli kubwa the likes of Serena, Kilimanjaro Hyatt, huwa nakutana na bendera za nchi mbalimbali.
Zamani...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.