Utafiti ulofanywa na watu binafsi kupitia yafuatayo
1. Uwezo wa kuhoji kiongozi aliyeko madarakani
2. Uwezo wa Kumkosoa hata mtandaoni
3. Uoga wa Vyombo vya Dola, yaan Polisi na Mahakama
4. Uwezo...
Wanaume wa Dar mmiminike kujibu hoja zetu za wanaume wa mkoani.
Wadau mambo mengi yanasemwa sana kuhusu wanaume wa dar mengi yakiwasilishwa kwa njia ya utani.
Leo asubuhi nimekutana na jamaa...
Tangu Mwaka 2024 umeanza hakuna mtu kapitishiwa ombi lake kwenye Mfumo wa ESS, sasa Watu tunashangaa nini kinaendelea wakati maelekezo ya Waziri ni kuwa kila Mtu apitishiwe maombi halafu Wizara...
KAMANDA wa Polisi Mkoa wa Kipolisi Ilala, mkoani Dar es Salaam, Kamishna Msaidizi wa Polisi (ACP), Debora Magiligimba, amewataka wanaume wanaonyimwa unyumba kuripoti katika madawati ya jinsia...
Leo Jumatatu tarehe 2 Dec 2024, muda huu ni saa tatu na dakika 45 usiku Mitaa ya Forest Mpya kwa Mwamnyange kuna gari la matangazo linatoa tangazo kutoka Ofisi ya Mkurugenzi wa Jiji kuhusu mauzo...
Mimi ninatafuta kijana wa kazi ya kuuza na kusambaza bidhaa Kwa wateja.kazi ni ya dukani,nafasi moja (1)
eneo la kazi ni Arusha Tanzania
Sifa zake
1. jinsia yoyote ilimradi awe tayari kukubali...
Naombeni msaada wandugu.
Nataka kujua kilipo kiwanda Cha kutengeneza mifuko ya plastic yaani Yale maroba kama yale wanauzia mkaa na kuhifadhia mahindi.
Natanguliza shukrani.
Nakumbuka, ilikuwa katikati ya miaka ya 90 nikiwa nasoma katika moja ya shule za sekondari katika moja ya wilaya zilizopakana na nchi za Rwanda na Burundi.
Ikumbukwe ni katika miaka hiyo...
Ruhusuni mfumo ambao pesa ikiingia kwenye simu ya lipa namba itoe notification kwa simu nyengine pia. Mfano nina lipa namba moja ila watoa huduma watatu nahitaji hao watoa huduma watatu wapate...
Ushauri tu
Kwenu
Maaskofu wakuu
Wapendwa wasaidizi wa maaskofu
Anzeni vikao vya kuambiana
Kuzikana sio lazima wawe wah ama wafanyabiashara ama wanaotoa sana kanisanii
Mnaposikia misiba ya...
Bwana ni jumapili mpya ya tarehe 1/12/2024 asante Bwana kwa neema ya kuuona mwezi mpya.
Bwana naomba mwezi huu ukawe ni mwezi uliobeba baraka na mashangilio tele ukawe mwezi wa kurejeshewa...
Watanganyika wenzetu wanatekwa, kupoteza na kuuawa katika ardhi yetu na mchana kweupe
Idadi ya vifo na utekaji vimeongezeka
Uchunguzi usiokuwa na majibu juu ya waliomteka Mzee Kibao hapa Masauni...
Tuwasifu milele ee Yesu bikra maria na Yoseph. Ee Yesu uziongoze roho zote mbinguni hasa wale wanaohitaji msaada wa huruma yako.
Damu ya krsito iziongoze roho za marehemu mbinguni hasa wale...
Kwa mujibu wa mashuhuda, ghorofa hilo lilianguka ghafla saa tatu na dakika tano asubuhi wakati mafundi ujenzi walipokuwa kazini wakitoboa kwa ajili ya kuongeza sehemu ya maduka.
"Tulianza...
Watu wana pesa jamani.
Kama za majini au za madili Mimi sijui ninachojua ni kwamba watu wana pesa sana.
Yawezekana mifumo ya sasa ni rafiki kwa watafutaji.
Tuombe Mungu asitokee tena mtu kama...
Yaani mtoto wa kiume kabisa unathubutu kumwambia mwanamke eti malizia mjengo wako tuje kuishi wote wakati hujui hata bei ya msumari wa zege?
Hapana, nimekasirika sana.
Wanaume acheni hizi tabia...
Unashangaa mtu ana assets za 5bn lakini anaenda kukopa benki shilling 200m, kwasbabu ana mali ila hana cash-flow na mwishowe anashindwa kukusanya pesa za benki kuzilejesha kwa wakati riba ina...
Habari wakuu,
Mimi ni Mtanzania kindaki ndaki. Nimepata nafasi ya kutembelea maeneo kadhaa nje na ndani ya nchi. Hakuna jambo linanikera kama namna tunaishia kama mifugo katika nchi yetu. Ni kama...
Kwa wauzaji wa reja reja wa soda hulazimishwa na Kampuni ya Pepsi, kununua soda wasizotaka kununua wala wasizo na wateja nazo Ili wapewe soda aina ya Pepsi.
Huu ubabe wa Kampuni ya Pepsi unakera...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.