Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Pweza ni biashara yenye faida hebu Ona huyo pweza nimemnunua 5000 ukimkata vipande vidogo vinatoka vipande zaidi ya 20 unapata 10000 pweza mmoja tu ukimtengenezea utratibu wa mpango wa mradi wenye...
1 Reactions
11 Replies
575 Views
Kijiji Cha mtakilachawa masasi njia ya newala wamenishangaza Sana asee yaani huku wanyama wa ajabuajabu huwaoni kuanzia paka, mbwa wanaliwa vibaya mno juzi watu wamemlamba kenge. Sasa huu uchu...
14 Reactions
116 Replies
6K Views
Nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muuungano wa Tanzania. Kama kichwa kinavyojieleza hapo juu mwenzetu, rafiki, Kanungila Karim amefiwa na baba yake mzazi! Msiba upo Morogoro, Kilombero. Binafsi...
32 Reactions
85 Replies
4K Views
Arusha wing tunasikitika kutangaza kifo cha mtoto wa member mwenzetu PakaJimmy kilichotokea leo hii kwa ajali ya basi la shule,ni kati ya wale wanafunzi wa Lucky Vincent... Ni msiba mzito mno mno...
79 Reactions
601 Replies
59K Views
Wenye mamlaka mnaenjoy sana. Mngejua hali ya huku chini basi tu. Wanamahesabu tuambie approximately ilitumia kiasi gani Siamini kama nakunywa gongo. Nimemaliza.
1 Reactions
8 Replies
457 Views
Watoto wanne wa familia moja wakazi wa Mtaa wa Sanungu, Halmashauri ya Mji wa Bariadi mkoani Simiyu, wamefariki ghafla kwa ugonjwa usiojulikana hali iliyosababisha taharuki kwa wakazi wa maeneo...
1 Reactions
3 Replies
331 Views
Kampuni zilizokuwa zikitoa mikopo kwa wananchi bila vibali na kwa riba kubwa zinapaswa kushitakiwa kwani walichokuwa wakikifanya ni utapeli kama utapeli mwingine. Pia kwanini utapeli na wizi...
0 Reactions
2 Replies
274 Views
Maisha ya mjini, kama vile Dar es Salaam, yamejaa changamoto za kifedha, huku dharura za ghafla zikivuruga bajeti za familia nyingi. Katika miaka iliyopita, kampuni za kukopesha fedha mtandaoni...
2 Reactions
5 Replies
2K Views
Huwa najiuliza sana hili swali, ikiwa hapa Tanzania kuna accomodations (lodge na guest houses) za hadi 20,000 au 15,000 kwa siku na ni nzuri tu. Je, kwa nchi za wenzetu mfano Afrika Kusini na...
7 Reactions
17 Replies
1K Views
Uchunguzi wa kijasusi uliofanywa na BBC umegundua yafuatayo. 1) Mteja mtarajiwa hutumiwa meseji akiambiwa kwamba amechaguliwa kupata mkopo wa kiasi flani, hivyo afuate link ya ‘playstore’ ili...
16 Reactions
95 Replies
8K Views
Ni takribani miezi miwili sasa tangu serikali ipige marufuku matumizi ya vifaa vya plastiki (vidumu vya lita tano au madumu ya lita 20) kuchukulia mafuta kutoka vituo vya mafuta. Leo katika pita...
4 Reactions
88 Replies
3K Views
𝗔𝗠𝗘𝗛𝗜𝗙𝗔𝗗𝗛𝗜 𝗣𝗘𝗦𝗔 𝗠𝗜𝗔𝗞𝗔 𝟯𝟬 𝗜𝗟𝗜 𝗞𝗨𝗭𝗔𝗠𝗔 𝗕𝗔𝗛𝗔𝗥𝗜𝗡𝗜 Wanasema kila mwanadamu ana ndoto sijui ndoto yako ni ipi lakini kwa huyu mdada imetimia 👇 Mwanamke mmoja wa kimarekani anaitwa Renata Rojas aliweza...
2 Reactions
1 Replies
216 Views
Mkuu wa Wilaya ya Temeke, Sixtus Mapunda amekifungia chuo cha Kewovac kinachojihusisha na utoaji wa elimu ya uuguzi na ukunga kilichopo Mbagala Charambe kwa kutokidhi vigezo vya utoaji wa elimu...
0 Reactions
1 Replies
335 Views
Mimi ni Mkulima kutoka Mbinga mkoani Ruvuma, nimekuja mbele yenu nikiwa na changamoto ambayo kwa imani yangu najua kupitia nyie naweza kupata msaada ambao kimsingi sio tu utanisaidia pekee yangu...
0 Reactions
7 Replies
667 Views
Mimi ni Mwanafunzi wa degree, nipo Mwaka wa Pili katika chuo Cha Abdurahman Al-Sumait kilichoko Zanzibar. Mimi na wenzangu tulipata ufadhili wa masomo (Scholarship) kutoka Taasisi ya Direct Aid...
4 Reactions
10 Replies
713 Views
Hizi tume binafsi sijawahi kuziamini kabisa zaidi ya kutumia kodi zetu. Hivi unajua engn wa lile gorofa la Changombe lilodondoka tukasikia tume ushawahisikia matokeo ya tume? Je wajua engn...
1 Reactions
4 Replies
222 Views
Kuepuka kuumia wakubali watu kama walivyo na sio kwa vile unavyotaka wao wawe. Kwasababu hawawezi kuwa kama unavyotaka Tafuta amani kwa kufanya mambo yako na sio kufuatilia maisha au mambo ya...
6 Reactions
10 Replies
291 Views
Jiwe gani hili wakuu, nilikua natafuna karanga toka kanda yakati nikalikuta humo. Nisije nikatupa neema Mungu amenitumia kimyakimya. Ni rangi ya brown light ugoro kabisa,limechongeka pembetatu...
8 Reactions
46 Replies
1K Views
Back
Top Bottom