Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Huwa nashangaa na kusikitika bahari yetu kuitwa ya hindi. Je kabla ya hapo ilikuwa inaitwaje wanangu? Je hatuwezi kuiita bahari ya Afrika au Tanzania?
3 Reactions
19 Replies
714 Views
Nimefanya mabadiliko haya Kama Petition inavyojieleza hapo chini kutokana na kutafuta mabadiliko ya msingi ya jina ambalo Mungu analitaka kufikia hatua za Modernist System. Wengi hawatanielewa...
18 Reactions
78 Replies
4K Views
Jeshi la Polisi mkoa wa Kusini Unguja linamshikilia Maulid Hassan Maulid (18) kwa kosa la mauaji ya mtoto wa miaka 6, ambaye alibakwa hadi kufa akiwa njiani akienda shuleni.
5 Reactions
75 Replies
3K Views
Wakuu, kwema? Nimemkumbuka mwamba Deo Kisandu na namna aliburudisha hapa jukwaani na ikabidi ni Google taarifa zake. Nimekutana na hukumu ya mahakama kuwa alifungwa miaka Saba jela kwa kosa la...
13 Reactions
114 Replies
5K Views
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi na Mbunge wa Jimbo la Kavuu Mhe. Geophrey Mizengo Pinda amekabidhi jumla ya Hati za Hakimiliki za kimila 691 kwa wanachi wa vijiji vya Ntilili...
0 Reactions
0 Replies
157 Views
Habari JF , kuna kipindi nliwahi anzisha uzi ambao lengo lake lilikuwa ni kujua ni nani hasa mmiliki wa UTT , nlipata majibu mengi ambayo yalinirodhisha kwa Asilimia kama 70 . Najua biashara ina...
4 Reactions
19 Replies
735 Views
👉Hii ndio historia halisi iliyoibwa na watu weupe Kisha kuitengeneza na kuifanya yao na kuitumia kwenye vitabu vyao.Kisha wakawaaminisha kwamba mtu wao alizaliwa miaka ya zamani sana,kumbe ni fake...
3 Reactions
7 Replies
2K Views
Salaam wakuu, tayari ni weekend Mimi mara kadhaa nimekutana na upotoshaji kutoka vyanzo vya taarifa ambavyo nimekuwa nakiviamini sana, jambo ambalo linanithibitishia kuwa upotoshaji unaweza...
1 Reactions
15 Replies
472 Views
Hapa DSM kila sehemu panajengwa , maghorofa yaliyokwama wakati wa magufuli sasa yanajengwa . Ukiwa haufanyi baishara au haupo Latina circle ya waliojipata hauwezi kuelewa namna hela...
2 Reactions
3 Replies
285 Views
Naomba kuwasilisha kero sugu iliyopo katika Halmashauri ya Nachingwea upande wa Idara ya Utumishi, kumekuwa na mikingamo mingi na mazingira tata katika utoaji wa barua za uthibitisho na barua za...
2 Reactions
4 Replies
693 Views
Kamishna Mkuu wa Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Bw. Yusuph Mwenda leo tarehe 21.11.2024 amekutana na kufanya mazungumzo na Afisa Mtendaji Mkuu wa benki ya NMB Bi. Ruth Zaipuna ambapo...
0 Reactions
7 Replies
429 Views
Haya ndio maneno, kwamba kuna watu wanauza mamia ya mamilioni na kwamba bado yako humo. Hii inachangia wingi wa watu hapo saiti. Jamani, tutumie digital payments, hata likitokea janga, fedha...
4 Reactions
25 Replies
1K Views
Uhusiano kati ya Uislamu na ulimwengu wa kisasa ni mada tata na yenye utata. Wengine wanasema haya mawili hayana utangamano wowote, huku wengine wakidai kuwa Uislamu unaweza kubadilika na kukua...
4 Reactions
26 Replies
769 Views
Kuna wimbi la watu wasiojua hata historia yao ya kiafya na ambao hawajui chochote kuhusu Waganga wa kienyeji. Mganga wa kienyeji ni daktari wa asili aliyeitibu jamii kwa maelfu ya miaka kabla ya...
0 Reactions
1 Replies
217 Views
Kuna uhusiano gani kati ya masikini mwanake na mapepo mizimu majini na ulokole? Wanasaikolojia tusaidieni mtuhusishie hayo mambo na aina ya watu hao. Sio rahisi kumkuta tajiri kama ameshikwa na...
9 Reactions
44 Replies
1K Views
Wamiliki wengi sana wa iPhones huwa wanajiweka katika class yao kitu ambacho sio kibaya na ni simu nzuri. Lakini kitu kibaya ni kwamba kila toleo jipya linapotoka basi unatamani/anatamani na...
31 Reactions
167 Replies
5K Views
Kwa sisi waumini wa Mungu tunaamini kutenda mema kwa vitendo na kupinga uonevu kwa mtu yeyote. Kwa wale wa umini tujiulize je leo ukienda mbele ya haki na kuilizwa na Mungu maswali haya utajibu...
2 Reactions
4 Replies
157 Views
Ulaya imejengwa na ukabila. watu wa kabila moja waliamua kutengeneza Nchi yao. kwakua wanasikilizana, wana Miiko sawa ndiyo maana Nchi zao zilikuwa kwa haraka Kiuchuni. Unlike Africa, Makabila...
0 Reactions
0 Replies
167 Views
Hawa ni wainjilisti wa kikristu walioleta chachu ya mabadiliko makubwa ya kiimani katika jamii za wafulani na wahausa Nigeria kaskazini Baada ya kukiri imani juu KRISTU YESU wamekuwa msaada...
3 Reactions
61 Replies
2K Views
Kuna benki kadhaa hap nchini imekuwa ni kama utamaduni / mazoea mtu kukalishwa muda mrefu mpala lisaa unasubiri kuweka / kutoa pesa. Ni kweli mawakala wapo lakini kuna sababu zinatulazimu kwenda...
2 Reactions
14 Replies
660 Views
Back
Top Bottom