Chama Kikuu cha Ushirika cha Lindi Mwambao kimemkabidhi Mkuu wa Wilaya ya Lindi Victoria Mwanziva madawati 150,viti mwendo 2 na mataili 4 kwaajili ya jeshi la Polisi, vyote vikiwa na thamani ya...
Haijalishi wewe ni msalaba, nyota na mwezi, au unaamini katika manyoya ya kuku, etc
How sure are you kwamba unachoamini ndicho cha ukweli na uhalisia.
Kisa ulikipokea kwa baba yako mpendwa...
Habari ndugu zangu. Moja kwa moja kwenye mada.
FaceBook ni mtandao ambao sijawahi kuuelewa katika hii dunia ni kamtandao.
Maudhui hayapo zaidi tu ya post za kunengua mauno..
Rais Samia Suluhu Hassan amewasili hivi punde Kariakoo, Dar es Salaam, ambapo jengo la Gorofa liliporomoka Jumamosi na kusababisha vifo vya watu na wengine kujeruhiwa.
Kuhusu ajali hiyo, soma...
Tangu jana, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan, alipotangaza zawadi ya Shilingi Milioni 700 kwa timu ya taifa ya Taifa Stars baada ya kufuzu kwa mara ya nne...
Ilikua siku ya kawaida kama siku nyingine kwa wafanyabiashara.
Baada ya kushinda mpaka saa saba usiku napokea mzigo na kupanga mipango kazi ya wiki nzima...niliondoka kariakoo mtaa wa Narungombe...
Poleni watanzania wenzangu , ajali iliyotokea kata ya kariakoo ndani ya wilaya ya ilala inayohusisha jenho la biashara kuporomoka na kusababisha janga kubwa ambalo limegusa mioyo ya watu nakuacha...
Wakuu mambo vipi?
Kwanza poleni kwa msiba wa kitaifa (janga la Kariakoo).
Ishu yangu iko hivi, kuna ndugu yangu ni mfanyabiashara Dodoma. Kwa hiyo mara nyingi husafiri toka Dodoma-Tunduma na...
Kwa pesa na umaarufu nilio nao kuna umuhimu wa kumiliki bastora ili inisaidie kujilinda maana uwezo wa kuajili mabodigadi sometime wanaweza kula rushwa waniuze Boss wao.
Wakuu naombeni mwenye...
Sijui fani nyingine ila nina watu wangu wengi waliosomea hii fani wengine nilisoma nao O Level wengine shule ya msingi, marafiki na pia ndugu zangu.
Wengi nawaona wanasota nyumbani tu. Sijui hii...
Tangu kuingia karne ya ishirini na moja, nchi za "Dunia ya Kusini" zimeanza kubadilika hatua kwa hatua kutoka nchi nyingi zenye ukimya mkubwa hadi kuwa nguvu kuu inayoendesha mabadiliko katika...
Huyu jamaa yangu kamtuma mtu kunifanyia utapeli nikamstukia baada ya kushindwa hizo mbinu kaandaa watu wavamie nyumban kwangu waniibie na hizo taarifa nazipata kupitia watu wake wa karibu.
Je...
*JINSI YA KUONDOA ERROR 77 KWENYE MITA ZINAZOANZA NA NAMBA 2421...*
*ERROR 77*
Hii ni error ambayo inapatikana kwenye mita tengano maarufu kama mita za rimoti au CIU ambazo zinafungwa juu ya...
Kama kichwa Cha habari kinavyoeleza ,sasa ni Rasmi mimi zero Iq nimeamua kufuta Twitter(X),Instagram,tik tok pamoja na facebook kwenye simu na kuamua kubaki na Jamii Forum kama ndio Main social...
Wengi tunaongelea katiba mpya sasa hivi, lakini hatuongelei iweje.
Mimi nashauri tena nasisitiza, hakuna katiba yoyote bora iliyotungwa na itakayotungwa na binaadam. Muumba wetu anatuelewa ubora...
Ndugu zangu ama kweli bahati haiji mara mbili.
Huu ni ushuhuda nilionao dhidi ya rafiki yangu kipenzi, rafiki yangu huyu baada tu ya kumaliza masomo yake. Mungu si Athumani ni bahati iliyoje...
Huku mtaani kuna baadhi ya watu ukikutana nao hata kama hamjuwani unakuta mtu analazimisha kukusalimu kwa salamu ya imani yake.
Jambo ambalo wakati mwingine linakuwa kama kero.
Ukisalimu mtu kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.