Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
TABORA - MWALIMU Dotto Elias (29) wa Shule ya mchepuo wa Kiingeza ya Mtakatifu Doroth iliyopo maeneo ya kidatu Manispaa ya Tabora anayedaiwa kumnajisi mwanafunzi wa darasa la pili chooni...
3 Reactions
72 Replies
3K Views
Niko hospital ya wilaya ya Butiama mda huu. Mama yake na rafiki yangu amepata ajali ya pikipiki, mguu kuanzia kwenye mapaja mpaka kikanyagio haufai, nyama hakuna mifupa Iko nje. Picha linaanza...
15 Reactions
88 Replies
2K Views
Habari wakuu, Nina tatizo, tatizo langu kubwa, stori fupi. Naweza kukaa sehemu na watu mara ghafla akili inakuja nifanye kitu kibaya, na nikiona silaha pembeni akili ndio inahama kabisa...
5 Reactions
72 Replies
4K Views
Habari wanaJF, Kutokana na changamoto za maisha . Mwanadamu ana-adapt mazingira ndio huzaa hulka yaani tabia. FURAHA NA UTULIVU; Hii ndio hisia za asili za Mwanadamu. Ndio maana ukiwa na furaha...
5 Reactions
5 Replies
249 Views
Je Wajua ya Kuwa Bugger Kwa Kiswahili fasaha uitwa "SANGWEJI ?" Ndiyo,chukua hiyo kama ulikuwa haujui! Kumekuwa na tatizo la waastafu wengi kupata shida kurudi mikoani,wilaya kwao kuanza maisha...
4 Reactions
12 Replies
534 Views
Wakuu naomba anayefahamu taasisi zitoazo mafunzo ya matumizi ya silaha hasa binafsi kwa hapa Dar
5 Reactions
125 Replies
2K Views
Kupitia andiko hili kwenye Biblia, mfano alioutoa Yesu dhidi ya tajiri mkulima aliye fikia kilele cha mafanikio ilimchukiza Mungu na kuamua kumuua. Nimetafakari namna tunavyo ishi sisi...
8 Reactions
31 Replies
863 Views
Habari yako kaka Magical power pia pole Kwa msiba ulio kufika,napenda kukupa Asante ya mrejesho wangu huu,utakapo lud ewan utaukuta. nimefuatilia masomo yako nimefanikiwa kuwa mtu angalau kwa...
1 Reactions
5 Replies
303 Views
BWANA YAWEZEKANA KUPITIA MACHOZI 😭 HAYA KESHO YANGU HAITAKUWA HIVI TENA Mungu wangu nakushkuru kwa neema hii ya majira haya ya usiku. Ni mapenzi yako tu mimi kuendelea kuwa hai. Asante kwa neema...
0 Reactions
0 Replies
132 Views
Ni mimi wako UWESUTANZANIA,. Katika maisha ya kila siku ya binadamu amekuwa ni mwenye kupitia mambo mbalimbali,. Yaani kutenda na kutendwa, kusaidiwa na kusaida, kukosea na kukosewa. Ndipo...
1 Reactions
8 Replies
381 Views
Nimerejea Tena rasmi kuungana na wadau baada ya kupata msiba Wa Binti YANGU,Ili nipate kuchangamka nisiwe mnyonge zaidi,mnipokee Tena ndugu zangu maisha mengine yaendeleee🙏🏽
5 Reactions
16 Replies
354 Views
Wadau hamjamboni nyote Kichwa cha habari chahusika hapo juu Niwatakie sabato njema wapendwa
0 Reactions
0 Replies
104 Views
Jana tarehe 14/11/2024 wakati wananchi mbalimbali wakiuaga mwili wa marehemu Lawrence Mafuru katika viwanja vya Karimjee. Askofu Mkuu wa Kanisa la Wasabato alitoa mahubiri mazito sana, moyo wangu...
3 Reactions
17 Replies
1K Views
Kuna shida gani ukitumia vidonge vya protein powder ukiwa hufanyi mazoezi? Ninavyo hapa na muhusika kaenda nje ya nchi, jee nikivitumia na sifanyia mazoezi itakuaje? Vinaitwa protein gym powder
2 Reactions
34 Replies
4K Views
Kila mtu Kuna kitu huwa anaangalia na kumvutia mjini you tube binafsi huwa navutiwa na video. 1. Wakata samaki 2. Masuala ya mazoezi 3. Chakula Bora Wewe unaangalia nini zaidi YouTube.
5 Reactions
39 Replies
1K Views
Kero: Tamisemi Utumishi wameshindwa kuhamisha taarifa za mishahara ya watumishi waliohama. Watumishi wanahangaika Huko na huku bila msaada ,ikiwa mtu amepata UHAMISHO halali kwa Nini zoezi tena...
0 Reactions
0 Replies
389 Views
Hello Wengi huwa wanaomba nafasi mbalimbali katika vyombo vya ulinzi wengine wanakuja kufeli kwenye usahili kwa vitu vidogo vidogo ambavyo vinaweza kurekebishwa kabla ya usahili ila mnavipuuzia...
19 Reactions
84 Replies
3K Views
"Yanga, ah Yanga! Kumfukuza kocha inakuwa ni kama hafla ya kila mwaka,si lazima yawe matokeo mabaya, lakini inajikuta ikichukuliwa kama 'desturi' ya mabadiliko. Kocha anapochukua mikoba...
1 Reactions
0 Replies
319 Views
"Je, umewahi kufikiria jinsi binadamu walivyokuwa wakifanya haja porini au kwenye mapori, bila kuwa na vyoo kama tunavyovijua leo? Kwa maelfu ya miaka, jamii zilikuwa zikikosa miundombinu ya usafi...
1 Reactions
1 Replies
172 Views
Kwanini mtu anayeacha kazi kwa hiari na alikuwa mwanachama halali wa Nssf hawezi kupewa hela zake mpaka afikishe miaka 55 Yaan umri wa kustaafu? Mbona kama hii sheria inafavor zaidi upande wa...
15 Reactions
52 Replies
3K Views
Back
Top Bottom