Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wa- mbulu na Wa -iraki wote ni ndugu! Wakuu naomba mniombee sana Mungu anipatie uhai hadi mwakani! Ndoto yangu ni kuwasaidia Watanzania (Hasa Vijana wenzangu) na Taifa Kwa Ujumla.Nimekaa...
3 Reactions
23 Replies
511 Views
Kuna Familia za wafanya kazi( Waajiriwa.) Kuna Familia za wafanya Biashara. Kuna Familia za wafanya Biashara ndogo ndogo Kuna Familia za Wabangaizaji. Kuna Familia za Kifundi, Wao ni Mafundi tu...
2 Reactions
3 Replies
246 Views
Heri Wana Jukwaa na Hongera Kwa majukumu ya leo. Nilipata nafasi kuungana na watanzania na wafiwa katika kumuaga Mhe. Mafuru (Late). Baada ya jambo Hilo kwisha na viongoz wakuu kuondoka nani...
12 Reactions
43 Replies
1K Views
Uzinduzi huo ulifanyika Novemba 8, 2024 ukishuhudiwa na Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Dkt. Damas Ndumbaro ambaye amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan pamoja na Naibu Waziri, Wizara ya...
2 Reactions
23 Replies
792 Views
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kagera, Mhe. Oliver Semuguruka amefanya Kitendo cha Utu, huruma na mfano mzuri wa kuigwa baada ya kuamua kumlipia deni mkazi mmoja wa Mkoa wa Iringa aliyekumbiwa na...
2 Reactions
11 Replies
559 Views
Kamati ya Kudumu ya Uwekezaji wa Mitaji ya Umma (PIC) imeipongeza Serikali kwa kukamilisha vipande viwili vya vya mradi wa Reli ya Kisasa ya SGR na kuanza kutoa huduma. Akizungumza jijini Dar es...
0 Reactions
0 Replies
180 Views
Unapozungumzia Starlink jua umegusa maslahi ya Mmarekani, wenzetu huwa wana tabia moja ukileta figisu kwenye biashara yao jua na wewe ya kwako itapigwa chini yaani pasu kwa pasu. Nipe nikupe kama...
2 Reactions
5 Replies
339 Views
Salaam, Shalom! Wakati umma wa watz ukilaumu watu waliokuwa wakiangalia tukio lile la ndugu bonge akijaribu kutekwa na wasiojulikana,wenye pingu na silaha za moto. Kwa jicho la Umakini, yupo...
48 Reactions
215 Replies
10K Views
Msiache kuomba mizimu. Utofauti wa maombi ya mizimu na maombi ya kawaida maombi ya mizimu yanajibu haraka Sana. Na pia gharama za kuomba mizimu ni nafuu Sana. Dini za magharibi ziliundwa kwa...
26 Reactions
120 Replies
3K Views
WAZIRI wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Mhe. Deogratius Ndejembi amemrejeshea Bw. Daudi Mfangavo kiwanja namba 23 kitalu 15 Mbweni Mpiji, Dar es Salaam ambaye alidaiwa kufariki dunia. Mhe...
10 Reactions
72 Replies
2K Views
Kama ni sehemu unayotakiwa kuwa makini na kinywa chako basi ni ofisini kwako. Iwe unafanya kazi Shuleni, Chuoni, Hospitali, Ofisi za Halmashauri n.k kuwa makini sana na unachoongea. Kuna watu...
82 Reactions
180 Replies
26K Views
Na kwanini basi kwakuwa anataka Sifa na Kutukuzwa asiamue tu kulipia Gharama zote za Wagonjwa nchini mwake?
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Baadhi ya wasomi wa Biblia na viongozi wa dini wameshauri kitengenezwe chombo kitakachofuatilia mienendo ya wahubiri na wachungaji pamoja na kuwapima afya ya akili kabla ya kuruhusiwa kuhubiri...
2 Reactions
11 Replies
653 Views
Naombeni ushauri jamani, Nmetokea familia na ukoo wa uchumi wa chini. Yaani nilikuwa jobless mwenye maisha ya kukaa nyumban kulazimishwa kwenda kanisani. Alhamdullilah mwezi huu Nimepata kazi...
28 Reactions
298 Replies
18K Views
Kwanini maeneo ambayo mmejaa nyinyi kuliko Wakristo Dar es salaam kuna uduni wa kiasi fulani katika maendeleo mf. Nenda Chamazi - Mbagala, nenda temeke na maeneo mengine ambapo mpo wengi kuliko...
11 Reactions
38 Replies
869 Views
Eti wakuu kwa mfano kuku kafa na na ndani ya nusu saa akachinjwa ana shido gani kuliwa?mimi sielewi mantiki ya kuku kutoliwa baada ya kufa nachojua ili mfugo aliwe lazima AFE kwanza..
9 Reactions
109 Replies
2K Views
Nimekaa nikatafakari kuhusu matukio ya utekaji yanayoendelea Nchini, sisi Wananchi tumekuwa tukiumia kadiri siku zinavyoenda, matukio ya utekaji yanaendelea, imani yetu kwa vyombo vya Ulinzi...
1 Reactions
6 Replies
435 Views
Baraza la Maaskofu wa Kanisa Katoliki Tanzania (TEC) limetoa tamko kuelekea Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, leo Novemba 15, 2024 likisistiza una umuhimu mkubwa kwa ustawi wa Jamii na Nchi kwa...
0 Reactions
1 Replies
397 Views
Kila kitu tushasahau na single channel mind zetu tayari! Itakuwa gamond for 2 weeks kila kona nchi nzima then fahamu zetu ndio zitarudi tusubiri toleo lingine la maigizo tena. Mungu atuhurumie tu...
2 Reactions
5 Replies
197 Views
Nimetumia SGR mara sita.niwe muwazi Mkurugenzi TRC Kadogosa kwenye swala la mfumo wa SGR umesimama vema kabisa Developers wa mfumo wa wa SGR online ticket apewe maua yake amefanya kazi nzuri sana...
2 Reactions
3 Replies
403 Views
Back
Top Bottom