Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hii ni muhimu, watu hawajui hizi sheria za barabara in terms of upana wa barabara. Wanajenga kwa nian njema kuwa wako kwenye maeneo yao, kumbe ni road reserves! Itasaidia sana kuepusha majoniz...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
nilifungua akaunti ya mshahara katika benki tajwa miaka kadhaa iliyopita, mara kwa mara afisa mkopo akawa ananishawishi kuchukua mkopo, baada ya kuona kweli nija uhitaji wa mkopo ikabidi nianze...
7 Reactions
67 Replies
11K Views
Nalileta hili kwenu kwa sababu nimeona madhara mengi kwa wananchi. TANESCO, mnatakiwa mkishapima eneo, hasa kwenye miradi mikubwa ya nguzo za chuma, muweke alama zenu za mawe (bicon). Sababu ni...
0 Reactions
0 Replies
151 Views
Utangulizi wa kunukuu maelezo ya Muhanga aliyetusaidia kujua undani wa hizi operations za kampuni ya Silent Ocean Nchini, zikiongozwa na CEO wake, Saalah Mohammed, mdogo wake na GSM. Hapo...
176 Reactions
878 Replies
71K Views
Ni jambo la kusikitisha kuona kuwa mwezi mzima umepita tangu mauaji ya kikatili ya Mzee Ali Kibao, lakini mamlaka bado zimeendelea kuwa kimya kuhusu ripoti ya uchunguzi wa kifo chake. Awali...
1 Reactions
10 Replies
736 Views
Eti mwanamke hapigwi, hata akikutukana kwa madharau mbele za watu, watu wanasema "mache ondoka zako." Mara mwingine asema mwanamke hapigwi ngumi, anapigwa kwa upande wa kanga. Na wao ndiyo...
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Wale jamaa sura zao zilionekana vizuri,na namba ya gari,lakini mpaka dk hii kweli polisi wameshindwa kuwaweka kati ,ama ni ndugu zao?
0 Reactions
8 Replies
438 Views
Jukwa la Jamiiforums linaweza kuboreshwa kwa kutumia teknolojia ya Artificial Intelligence (AI) kuharakisha usimamizi wa maudhui na kuleta uzoefu mpya kwa mtumiaji. Hapa kuna baadhi ya njia za...
2 Reactions
6 Replies
456 Views
RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA) Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9...
0 Reactions
7 Replies
639 Views
Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea changamoto ya bomba, Waziri wa Maji, Jumaa Aweso ameelekeza na marekebisho yamefanyika. Kusoma hoja ya Mdau, bofya hapa ~ Mamlaka ya Maji Singida (SUWASA)...
0 Reactions
1 Replies
136 Views
Baada ya Mdau wa JamiiForums kudai kwamba Wananchi wa Kata ya Uyui iliyopo mkoa wa Tabora kuwa hawajawahi kupata maji ya Bomba tangu Nchi ipate uhuru,(DOKEZO - Inadaiwa Wananchi wa Kata ya Uyui...
0 Reactions
0 Replies
171 Views
Nafikiri katika technologia ambayo inatakiwa ifanyiwe maboresho ya haraka (kama bado) ni taa za barabarani kwa matumizi ya Highway kwani kwa sasa naona kama hazina manufaa stahiki. Najaribu...
0 Reactions
2 Replies
192 Views
Kama una neno au maneno yenye kubeba hekima, ya kwako binafsi, ya Wanafalsafa (Philosophers), Watu mashuhuri (Celebrities), Wahenga (ancestors), Viongozi (Leaders) tupia hapa ili iwajenge na wengine
0 Reactions
10 Replies
7K Views
Sasa hivi hali nchi siyo salama, ni vizuri tukaelimishana mbinu za kujikinga na kujinusuru dhidi ya watekaji . Ndugu zangu hawa watekaji ni wauaji, ni makatili na inaonekana serikali ya Tanzania...
3 Reactions
10 Replies
268 Views
Wanajamvi Kata ya Uyui inapatikana kwenye Manispaa na Mkoa wa Tabora ambapo maajabu ya kata hiyo imekuwa ikikosa huduma muhimu kama Shule ya Kata, Zahanati, barabara pamoja na umeme kwa muda mrefu...
2 Reactions
7 Replies
607 Views
Mwenye kumfahamu USSR ====== Zimekuwapo Picha na video zikisambaa katika mitandao mbalimbali ya kijamii ikimuonesha mzee akiwa anasaidiwa kutembea huku kila mtu akieleza lake lakini wengi...
4 Reactions
22 Replies
2K Views
Mlevi mmoja akiendesha gari huku amelewa amewagonga na kuwaua Wanafunzi wa Tatu wa Chuo Kikuu cha Dodoma (UDOM), Mama mjamzito na boda boda wawili maeneo ya Makulu opposite na ofisi za TISS na...
8 Reactions
74 Replies
3K Views
Mwenyekiti wa Kamati ya Maandalizi ya Mbio za Coast City Marathon Msimu wa tatu (3), maalum kwa ajili ya kuchangia uboreshaji wa Miundombinu ya Elimu kwenye Shule ya Msingi Pangani, Dkt. Frank...
0 Reactions
0 Replies
178 Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, amezungumza na wahitimu kwenye Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji, yaliyofanyika leo tarehe 13 Novemba 2024, kwenye Ukumbi wa Mlimani City, Dar es Salaam, akiwa mgeni...
2 Reactions
47 Replies
1K Views
Baada ya kuuza vikubwa vyote, sasa vya kati vimeanza kuchukuliwa.. Kama tusipogutuka kwenye hili pia tumekwisha. Sasa ni zamu ya shule ya Msingi Ubungo shule ya umma! Miezi miwili iliyopita...
10 Reactions
53 Replies
2K Views
Back
Top Bottom