Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Halmashauri ya Babati mji iliyoko wilayani Babati mkoani Manyara ni moja ya halmashauri zinazoendelea na tukio la ufanyikaji wa mtihani wa taifa kidato cha 4 huku wasimamizi wakiwa ni moja ya...
1 Reactions
14 Replies
704 Views
Nmeshangaa jamaa kanipigia simu anasema anaomba nimkopeshe 500,000 hana. Jaman. Mtu unakosaje laki tano? Sasa hapo unaishije duniani hapa? Nliporudi bongo kuna bank flan walitaka kuni ajiri...
49 Reactions
287 Replies
31K Views
Kuanzia mwaka 2015 ilithibitika pasi na shaka kwamba Siasa inalipa mara 10 ya Taaluma. Diwani wa darasa la saba kwa miaka 5 anapata mafao na feha nyingi kuliko mwalimu aliyehitimu Chuo kikuu...
0 Reactions
0 Replies
201 Views
Nime angalia ile clip ya bwana Tarimo anavyo buruzana na wale vibaka kuna watu wanapita tu kama hawaoni na isitoshe gari iliyotumiaka ni binafsi na wanaojifanya polisi hawana sare na wakina mama...
5 Reactions
48 Replies
844 Views
Wakuu mambo vp Kweli nimeamini kifo tunatembea nacho kama siyo uwepo wa Mungu kwenye hii Dunia sijui kama ningepata hata huu wasaa wa kutype hapa JF. Majira ya saa 3 usiku Nikiwa natembea kwa...
19 Reactions
58 Replies
2K Views
Hivi nchi yetu tunaelekea wapi jamani? Maana matukio ya kutisha yanazidi kutoea. Haya Jeshi la Polisi mkoa wa Iringa limeingia kazini kufuatailia tukio la katibu wa CCM aliyeuwawa leo, Je...
1 Reactions
24 Replies
2K Views
Novemba 14 ni siku ya Kisukari Duniani ikilenga kuongeza uelewa kuhusu Ugonjwa huo na umuhimu wa kuzuia na kudhibiti hali hii. Kumekuwapo na Taarifa nyingi kuhusu ugonjwa huu, zikiwepo Sahihi na...
1 Reactions
2 Replies
304 Views
Haiingii Akilini unaenda kupata Tiba ya Kiroho kwa Mtumishi wa Mungu halafu Yeye badala ya Kukuonea Huruma kama alivyokuwa Yesu Kristo anaanza Kukuambia kuwa ili Akuombee na Upone tatizo lako...
3 Reactions
4 Replies
259 Views
Nimetembea Kila bank wamekataa kununua deni wakidai mfumo wa kununua na kuuza madeni umeondolewa mpaka pale watakapo uunganisha na PEPMIS. Ni muda Sasa na bado hawajawezesha msimu wa kilimo ndo...
0 Reactions
1 Replies
345 Views
Nashauri tu kutokana na mwenendo mbaya kisiasa nchini, na matukio ya utekaji kama utapanga mambo na watu usiowajua siku wakitaka miadi toka na silaha na pia andaa watu wa kukufuatilia. Ikitokea...
3 Reactions
3 Replies
239 Views
Kuna mwana ni Askari constable ila ni Kidato cha 6 ila ananiambia huko kunalipa sana kwa sababu yeye yupo kwenye Malindo ya bank kila siku na anaingiza chochote kuliko hata uhamiaiji. Anasem...
14 Reactions
167 Replies
18K Views
Mgonjwa Akiwa ICU Huhitaji maombi. Tusichoke kuwaombea wale wote wanaotamani kuwa wanasiasa. Mwanasiasa wa ukweli ana bidii ya kusoma ili kujua misingi ya nchi, kisha kwa imani yake kumuomba...
0 Reactions
1 Replies
193 Views
Hivi wakuu ni muhimu namna gani mtu kufanya mazoezi ya kujiweka fit kimwili na kiakili. Sasa kwanini imejengeka kifikra kuwa mazoezi mfano ya karate, judo, kuwa eti ni mazoezi ya kigaidi, kuna...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Tunadharau malalamiko ya mafukara walio wanyonge, kisha tunawekea watoa rushwa kupata vyeo na kulazimisha mafukara wacheke wakubali waovu kuwa viongozi wao. Kisha, tunatoka hadharani kusema ya...
0 Reactions
1 Replies
166 Views
Machawa taratibu wanaanza kupatiwa nguvu na baadhi ya viongozi wakubwa waovu. Baada ya muda, tutashuhudia machawa ikiropokwa hovyo bila kujali ilani, katiba ya nchi, katiba ya CCM, kanuni...
0 Reactions
0 Replies
169 Views
Wakuu, Jeshi la polisi mkoa wa Mwanza linawashikilia jumla ya watu 91 wakituhumiwa kuhusika katika matukio mbalimbali ya kihalifu yakiwemo ya ulawiti na ubakaji, wizi na wanawake wanaojihusisha...
0 Reactions
7 Replies
391 Views
SIYO DAWA ZOTE ZIPO KWENYE MADUKA YA MADAWA 🙋‍♀️🙋‍♀️ 1.Kufunga ni dawa nzuri. 2.Kufanya mazoezi ni dawa. 3.Kicheko ni dawa. 4.Kula vyakula vya asili ni dawa. 5.Mboga mboga na matunda ni dawa...
3 Reactions
17 Replies
646 Views
Umepatwa na emergence inayohiitaji pesa cash milioni 10 ndani ya lisaa, sio vifaa vya ujenzi vya nyumba unayojenga, Gari, kiwanja, shamba, mzigo wa stoo, n.k. Yaweza kuwa: 1. Tatizo la kiafya...
4 Reactions
40 Replies
814 Views
Wakuu, Baada ya kuwepo kwa sintofahamu ya kuuza kwa Shule ya Msingi Ubungo National Housing hivi karibuni, Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Ubungo imekanusha uvumi unaoenea...
0 Reactions
11 Replies
687 Views
Wakuu naomba nijuzeni utaratibu wa kupata lipa namba ya biashara Jee ni ipi nzuri kati ya Lipa namba ya voda, tigo au airtel?Namaanisha ambayo ndo the best. Jee gharama za lipa ni shilingi...
3 Reactions
20 Replies
9K Views
Back
Top Bottom