Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
1. Kupakwa dawa ya vidonda iitwayo GV 2. Kung'olewa jino kwa uzi 3. Ubwabwa kupikwa jumapili tu 4. Kidonda kuwekwa unga wa 'rangi mbili' a.k.a tetracycline 5. Kupamba kadi na pamba sebuleni 6...
216 Reactions
2K Replies
142K Views
Waziri wa Ujenzi na Mbunge wa Jimbo la Karagwe, Innocent Bashungwa ametoa wito kwa Halmashauri ya Wilaya ya Karagwe kuboresha utoaji huduma wa Baraza la Ardhi na Nyumba la Wilaya liweze kutenda...
0 Reactions
1 Replies
385 Views
MMOJA wa askari wa bandari, Cornell Kufahaizuru aliyeshiriki operesheni ya kuzuia jaribio la wizi wa shaba na mafuta Bandari ya Dar es Salaam mwishoni mwa wiki iliyopita, juzi ametekwa na watu...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Ungelikua ni wewe mkuu ungeenda ipi? kati ya hizi mbili Mimi binafsi ningeenda hiyo private company kwa sababu Najiamini naweza kufanya biashara. Mara kibao huwa naona zinatoka kazi kama hizi...
1 Reactions
27 Replies
1K Views
Siku ya leo Novemba 13, 2024 Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimetoa tamko kufuatia kifo cha Christina Kibiki, aliyekuwa Katibu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) Wilaya ya Kilolo, mkoani...
0 Reactions
0 Replies
292 Views
TAARIFA KWA UMMA UFAFANUZI WA 'CRANE' YA NEW VICTORIA HAPA KAZI TU Mwanza, Tanzania. Kuna taarifa iliyochapishwa na mtandao wa kijamii ikieleza kuharibika kwa mtambo wa kubebea mizigo (crane) wa...
1 Reactions
0 Replies
429 Views
Kituo cha Sheria na Haki za Binadamu (LHRC) kimeshtushwa na video zinazozunguka mtandaoni zikionyesha jaribio la utekaji dhidi ya Ndugu Deogratius Tarimo, mfanyabiashara na mkazi wa Kibaha, mkoani...
0 Reactions
8 Replies
788 Views
Unapokuwa na kampani ya watu katika mazungumzo yenu,endapo utapigiwa simu basi usiongee na simu kwa mda mrefu Unapoenda kumtembelea mtu, baada ya kitambo kidogo ukisikia mwenyeji wako anasema...
8 Reactions
10 Replies
439 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amesema kuwa mwaka 2015, Tanzania iliunga mkono Ajenda ya Mpango wa Kimataifa wa Usalama wa Afya na kuharakisha utekelezaji wa Sheria za...
0 Reactions
1 Replies
176 Views
Nilipitia maumivu makali ya kimwili na kihisia mwaka huu. Nilishangaa sana "kwa nini mimi?" na "kwa nini mtu yeyote?" Ni vigumu sana kupata imani au upendo kwa ulimwengu huu wakati maumivu yasiyo...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Wakuu, Kuna hii Video inayosambaa inamuonyesha Padre akimpiga konzi msaidizi wake aliyeshika Mic wakati akifungisha ndoa, jambo lililowaacha wageni midomo wazi. Tukio hilo limezua mjadala kuhusu...
9 Reactions
21 Replies
1K Views
Habari wapendwa polen na majukum ya Kila siku. Jaman Mimi kama mwana familia naomba msaada kidogo wa kujua aina za ultrasound machines na bei zake. Kuna Uzi niliuona ukizungumzia kuhusu kufungua...
0 Reactions
0 Replies
263 Views
Nimekuwa nikiwaza kwa mda mwingi je inakuaje mtu unakufa, mbona huyu amekufa mapema, mbona huyu kachelewa kufa. Sometimes unaweza kuona ni kama unakufuru au ninakufuru kumhusu Mungu ila kiukweli...
19 Reactions
253 Replies
7K Views
Katika simulizi za maisha ya viumbe nilipitia simulizi ya Nyoka mwenye sumu kali sana duniani ajulikanaye kama Black Mamba, anapokuuma basi huchukui dakika unapoteza uhai. Ingawa huyu nyoka yeye...
2 Reactions
3 Replies
265 Views
Watumishi tisa wa Halmashauri ya Wilaya ya Bunda mkoani Mara, akiwamo aliyekuwa mkurugenzi mtendaji wa halmashauri hiyo, Amos Kusaja na wafanyabiashara watatu wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi...
2 Reactions
7 Replies
835 Views
Leo asubuhi nilipeleka maombi ya kazi katika moja ya shule hapa mjini. Lakini uzoefu niliokutana nao leo ulikuwa mbaya sana. Picha inaanza nilipofika getini, nikamsalimia mlinzi, mwanaume mwenye...
10 Reactions
36 Replies
1K Views
Waziri wa Maji, Jumaa Aweso, ameweza kuonyesha upande wake wa burudani kwa kucheza na kuimba wimbo wa msanii Zuchu wakati wa Mahafali ya 48 ya Chuo cha Maji yaliyofanyika leo, Novemba 13, 2024...
0 Reactions
1 Replies
234 Views
Mosi, usiruhusu mtu yoyote yule kukusikia ukilalamika,hisia zako si chochote kwa watu wengine,kwa maana nyingine watu hawapo interested kusikia matatizo yako Pili,kubali ukweli pale unapokosea...
11 Reactions
34 Replies
946 Views
WAZIRI AWESO AAHIDI KUTATUA CHANGAMOTO CHUO CHA MAJI Waziri wa Maji Jumaa Aweso ameahidi kuendelea kuzitafutia ufumbuzi changamoto katika Chuo cha Maji ambapo amewataka watendaji wa seka ya maji...
0 Reactions
0 Replies
126 Views
Mkuuu wa Chuo cha Maji Dkt. Adam Karia amesema kuwa chuo hicho kimejipanga kukabili changamoto mbalimbali za sekta ya maji kwa kuendelea kufunza wataalamu katika sekta hiyo na kufanya utafiti...
0 Reactions
1 Replies
253 Views
Back
Top Bottom