Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
May all souls find enlightenment, Kama unaupenda uzao wako na ungependa kuwaepusha na hekaheka kamwe usimpeleke mtoto wako upolisi. Kwa uzoefu wetu sote tunajua jinsi baadhi ya Polisi kuwa ni...
0 Reactions
5 Replies
302 Views
Tuseme tu ukweli! Ka tinted! ni kaugonjwa ketu wengi! Sina maana huu uzi niwakuwatambia hapana; siyo lazima niwe na kagari ili kuifurahia tinted, bali hata napopewa lift tu madhila, kero na utamu...
24 Reactions
118 Replies
14K Views
Karibu SANA Jimboni limpopo katika municipal ya polokwane (pietersburg) ni mji mzuri sana watu wengi wanafanya matendo ya kumpendeza Yesu yani matendo matakatifu kama lilivyo Jina lake polokwane...
0 Reactions
2 Replies
166 Views
DODOMA Kamishna wa Ardhi nchini Nathaniel Methew Nhonge amesema kikao kazi cha viongozi na watendaji wa sekta ya ardhi alichokiitisha Waziri wa Ardhi Mhe. Deogratius Ndejembi kimewarudisha...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Siku hizi, freelancing imekuwa kama ndoto mpya kwa vijana wengi wa Kitanzania. Kila mtu anazungumzia uhuru wa kufanya kazi mtandaoni, hela isiyo na stress ya kusimamiwa na mabosi wa ofisini, na...
0 Reactions
2 Replies
324 Views
Ni Yule tajiri wa mabasi ya Zakaria yanayotoka Mwanza hadi Silari mpakani mwa Kenya, na kada mkubwa wa chama cha mapinduzi (ccm). Wiki tatu zilizopita nilinunua mzigo wa viatu kutoka Kenya na...
58 Reactions
594 Replies
89K Views
Ndugu zangu ninampango wa kwenda kufanya kazi Fulani huko na ninatamani nielewe mazingira Kwa mwenyeji vip maisha ya huko , watu wake ? Gharama za maisha zikoje
2 Reactions
21 Replies
586 Views
Ziko sababu nyingi zilizochangia kudorora kwa sekta ya uandishi habari mmoja wapo aliyechangia ni Ruge mutahaba aliyekua mkurugenzi wa vipindi wa clouds Mwanzo mwa miaka ya 2000's wakati clouds...
30 Reactions
106 Replies
3K Views
Zaidi ya wiki sasa Maji katika Mtaa wa Sabasaba Gula Road karibu na Uwanja wa Ndege yamekuwa yakimwagika kama hayana mwenyewe. SUWASA wamejulishwa ila hadi leo hawajafika na kuna maeneo mtaa...
0 Reactions
0 Replies
312 Views
(FULL VIDEO IPO CHINI) Leo tarehe 5 Oktoba 2024, mawakili wote wa Tanzania bara, hasa wa jijini Dar es Salaam, wanakutana katika jengo la Ubungo Plaza, Dar es Salaam, ili kujadili suala la...
12 Reactions
83 Replies
10K Views
Anonymous (293b)
Mwalimu huyu wa Shule ya Msingi Mungu Maji aangalizwe, ananyanyasa Wanafunzi Shule ya Msingi Mungu Maji iliyopo Tarafa ya Mungu Maji, Kata Unyamikumbi, Wilaya ya Singida Mjini, kuna changamoto...
4 Reactions
18 Replies
2K Views
Habari zenu Wana jukwaa, Kama kichwa Cha Uzi kinavyosema naombeni mnisaidie mbinu za kua msiri. Baadae ya kuwa mtu mzima kKuna namna ninawaona ndugu na watu wa karibu kama watu wenye choyo na...
14 Reactions
90 Replies
3K Views
Wakuu tushauriane hapa. Kama Mwanaume , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Mvulana Asirudie. Kama mwanamke , Taja Kosa moja ambalo Umefanya Katika Maisha ili Msichana Asirudie.
4 Reactions
50 Replies
1K Views
Wakuu, Nimeona nitoe hii habari humu ili mtu asije kukata tamaa kwa maneno ya mtaani. Nilizidisha kama laki nne hivi kwenye kulipa deni la bodi ya mkopo. (HESLB) Sasa ilipofika nataka kufatilia...
2 Reactions
3 Replies
294 Views
Mada ya Mfahamu James Ngomero: Bingwa mtuhumiwa wa zile maiti 11 za watoto hospitali ya Mwananyamala imenikutanisha na watu wengi ambao kwa namna moja ama nyingine tunaweza kuwa tunafahamiana...
86 Reactions
2K Replies
292K Views
Habari zenu, Nimekuja hapa kuomba msaada wa haraka. Ni miaka miwili nipokwenye hizi ibada za meditisha na Taamuli . Nilizoea na kupata utulivu mkumbwa sana wa akili ila sasa navuka mipaka na...
7 Reactions
57 Replies
2K Views
Kwakuwa mamlaka husika zimeshindwa, basi nataka vijana wapigania maendeleo tuziondoe hizi app za kitapeli. Niliwapigia Simu TCRA wakasema hawahusiki niende polisi. Njia za kuziondoa hizi app ni...
6 Reactions
21 Replies
1K Views
Katika uchunguzi mpya, imefahamika kwamba kumekuwa na udhalilishaji na madhila makubwa yanayowakumba watu wanaowadaiwa na wakopeshaji wa mitandaoni Mmoja wa waathirika wa mikopo hiyo, Jackline...
1 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimeskia redioni TCRA wanasema hawahusiki na hiki kinachoendelea kwenye mikopo mitandaoni. TCRA mnaweza kuwa hamuhusiki kweli ila na nyie pia mmezembea sana kama wenzenu BOT licha ya makelele...
0 Reactions
15 Replies
669 Views
Ualimu ni taaluma inayotaka nidhamu na maadili ya hali ya juu. Hilo ni kwa kuwa ndio taaluma inayohusiana moja kwa moja na malezi ya watoto. Hata hivyo, uzoefu unaonyesha kada hiyo imekuwa...
6 Reactions
4 Replies
488 Views
Back
Top Bottom