Ndugu zangu kama una rafiki au ndugu maeneo ya Itumbi Wilayani Chunya hapa kwetu Mbeya jaribu kumjulia hali mara kwa mara sababu mji umevamiwa na Kipindupindu.
Taarifa zilizopo japokuwa Mamlaka...
Chorus
Jumuiya Yetu sote tuilinde
Tuwajibike tuimarike
Umoja wetu ni nguzo yetu
Idumu Jumuiya yetu.
1st stanza
Ee Mungu twaomba ulinde
Jumuiya Afrika Mashariki
Tuwezeshe kuishi kwa amani
Tutimize...
Kama ilivyo polisi wanapoenda kumkamata mhalifu wa kike askari anayehusika na ukamataji ni askari wa kike, hata magereza ya kike huwa inahudumiwa na askari wanawake.
Upande wa afya mambo ni...
Nawasalimu wote.
Kumekuwepo na mjadala kuhusu ipi dini ya Kweli, huu ni mjadala wa siku nyingine. Leo nataka tumuongelee YESU KRISTU.
Wakati akiwa hapa duniani, Yesu alionekana hekaluni...
Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA) tunaomba mtusaidie katika hili maana sasa imekuwa mazoea Kwa madereva daladala.
Daladala za Nsalaga kwenda Stand kuu zimekuwa zinakatisha ruti kwa...
Je, akikutana Afisa wa JWTZ mwenye nyota tatu (3) na Afisa wa polisi mwenye nyota tatu (3), nani atatakiwa kumpigia mwenzake Saluti na kwa vigezo vipi?
Kuna mdau humu ameposti juu ya changamoto zinazowakumba waandishi wa Azam Mikoani eti wameshushiwa ujira kutokea tshs 500,000 mpaka 300,000 kwanza nikagutuka kwamba wanalalamika kwa kulipwa...
Punda wa Tanzania bado hajampata mtetezi. Ukikutana na punda wa Kanda ya Ziwa, ni kawaida kuona michubuko migongoni na shingoni. Michubuko hiyo imetokana na ama vipigo, au kubebeshwa mizigo mizito...
Hili jambo nalifahamu sana , kwenye maisha kuwa na akiba ni muhimu Sana kwani akiba ndiyo itakusaidia wakati wa shida na ndiyo itakayokubeba wakati wa shida.
Kwa sisi wakristo Biblia inatwambia...
Moja kati ya madereva wa hovyo ni wanaoendesha bajaji
Kati kati ya foleni wanapita katikati kama boda
Anaweza akajipenyeza.mbele yako kwa kushtukiza na hazina balance ukizigonga tu zinapinduka
Ninapoandika kuna watu wasio na hatia wameuawa nchini Uganda eti kisa ni kubadili dini toka uislam kwenda ukristo.
Hii ni kutokana na maagizo ya Mohamed kuwa atakayeretadi auawe.
Kwanini watu...
Kijana Shadrack Utungulu mkazi wa kijiji cha Igominyi kata ya Yakobi halmashauri ya mji wa Njombe amejikuta matatani mara baada ya kukutwa akimshika chuchu na mkia ng'ombe asiye wake, na kuingia...
Kumekuwa na utaratibu usio rasmi wa walimu hasa wa shule zilizopo maeneo ya vijijini kuvunja ratiba za masomo na kupeleka wanafunzi kulimia mashamba yao.
Mfano shule ya msingi Nyamagana na shule...
Naandika uzi huu nikiwa na huzuni kubwa sana
Hii ni mara ya tano naibiwa vitu ndani nikiwa safarini
wahuni wanavunja kufuli la Grill, wanavunja kitasa cha mlango kisha wanaingia wanaiba vitu...
Ni miezi mingi sana imepita sijaonekana kwenye huu mtandao wetu wa kijamii. Sijaona tena nyuzi nyingi za kusisimua kutoka kwa Mshana Jr habibu Pascal Mayalla ONTARIO... Nimekumbuka Uzi wa jinsi...
Bibi mwenye umri wa takriban miaka 80 aitwaye Mwanahamisi Salimu Mtari (Bibi Keja) alipotea Jumatatu tarehe 21.10.2024 kata ya Mindu mtaa wa Mikoroshini nyumbani kwa mwanaye majira ya saa 11...
Bilionea wa India, Ratan Tata, aliyefariki mapema mwezi huu akiwa na umri wa miaka 86, ameacha kiasi "kikubwa" cha utajiri wake wa pauni milioni £91 kwa mbwa wake mpendwa, Tito.
Ratan Tata...
📌 Ni mradi wa megawati 80 unaotekelezwa na Tanzania, Burundi, Rwanda
📌 Kila nchi yafaidika na megawati 26.6
📌 Kamati yasema mradi utazidi kuimarisha uhusiano mzuri wa Tanzania, Burundi, Rwanda...
Taarifa za hivi punde zinasema kuwa Msitu wa Sao Hill Shamba Namba 15, uliopo Wami, Mafinga mkoani Iringa, umewaka moto. Chanzo cha moto hakijajulikana kwa sasa.
Soma Pia: Njombe yanusurika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.