Bila Salamu.
Ukitaka chukua ukitaka acha. Hapa naelezea kitu kimoja tu kwa ufupi. Lakini kitu hiki kimoja kina manufaa makubwa sana kwako.
Unaweza ukadharau hichi ninachokuambia wewe msomaji...
Habari wakuu natumai ni wazima leo nawaletea nakala hii msome ,mtafakari na mjitathmini kama waafrica wenzangu,kitabu cha BLACK BOOK OF ATUM,kinauzwa online ila nimewarahisishia ,ukiingia kwenye...
Zikiwa zimepita saa chache tangu Mwananchi iripoti wanawake katika Kijiji cha Oltepes kilichopo Kata ya Orbomba, wilayani Longido kutumia mkojo wa ng’ombe kujisafisha wakiwa hedhini kutokana na...
Habari!
Hivi, kwa teknolojia ilipofikia kwa sasa, je, akitengenezwa roboti halafu ukachukuliwa ubongo wa mtu aliyefariki ukaunganishwa na viungo vya mwili vya roboti?
Je, hawezi kuwaza...
Kwa mara ya kwanza nashuhudia hili tukio kupitia picha hii.
Leo utaondoka kwa ndege ukiwa daraja la kwanza (first class) ila na hatimaye kesho unarudi na ndege hiyo hiyo kama mzigo.
Haya...
Katika mizunguko yangu, nilipita katika eneo la Kigamboni, Kata ya Vijibweni, Mtaa wa Mkwajuni ambapo nilikutana na shimo kubwa lililozungukwa na makazi ya watu, eneo hilo ambalo limejaa takataka...
Hivi karibuni Rais amemteua Engineer Peter Rudorf Ulanga kuwa mtendaji mkuu wa shirika la ndege ATCL ; akichukua nafasi ya mteule wa Magufuli engineer Ladislaus Matindi.
Ikumbukwe tu kwamba Muda...
Kumekuwa na mijadala iliyoibuka hivi karibuni juu ya uwepo wa baadhi ya watu kupewa pasipoti ya kidiplomasia hapa nchini. Swali kubwa likiwa, je, watu hao wanazosifa za kupewa pasipoti hizo? Swala...
Sasa A. Proposers wanasema mwanamke afanye Kazi.
1. Na hoja yao ya msingi ni 50/50 kimajukumu.
2. Hoja ya nyongeza ni wanawake wafanye kazi ili kujikeep busy.
👉 kundi hili wanasema mwanamke...
Siku za hivi karibuni ndio nimeelewa ile kauli ya "heshimu wazee" watu wengi wamekuwa wakitusisitiza vijana kuheshimu wazee na kuwaomba ushauri wazee na wale waliokuzidi umri sababu mara...
Tumeinvest hela nyingi sana kwenye SGR, jana nimeona kuna watu wamekamatwa wanaiba nyaya, wahujumu uchumi wa wazi, kwa namna tulivyoingia garama, nilitegemea SAMIA atoe tamko moja tu la uhakika...
Machinjio ya Manispaa ya Morogoro unaweza kuhisi ni sehemu iliyotelekezwa, uchakavu, uchafu na harufu mbaya
Harufu ya machinjio iliyopo katika Manispaa ya Morogoro imekuwa kero kwa wakazi...
BIASHARA ya vyuma chakavu imeenea karibu kila kona ya nchi, watu wanajitafutia riziki kwa kutafuta vyuma hivyo, kuvikusanya na kwenda kuviuza ili wajipatie fedha kwa ajili ya matumizi yao ya kila...
Waandaji wa Rock City Marathon Mwaka jana 2023 walitangaza kuandaa mbio za Rocky City Marathon na kuanza kukusanya ada za ushiriki ambao zilitakiwa kufanyika tarehe 2 November 2023.
Baadaye...
Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi) imesema ujasiriamali ni kazi halali inayotambulika kiserikali, si sawa kutumika kuwaengua wagombea kwenye uchaguzi wa Serikali za...
Ripoti ya Mei, 2023 ya Shirika la Umoja wa Mataifa la Kuhudumia Watoto (UNICEF), imeonesha jumla ya watoto milioni 640 wa mataifa mbalimbali chini ya miaka 18 wamebainika kuolewa, Tanzania...
Teknolojia hii inayohusisha kupandikiza kifaa kidogo mfano wa shillingi ndani ya fuvu ambapo viwaya vyembamba mara laki ya unene wa nywele, huchomekwa nankuungwa na neurons za ubongo, itawezesha...
Mkuu wa Mkoa wa Simiyu, Kenan Kihongosi amemuagiza katibu Tawala Mkoa wa Simiyu kumhamisha mara moja kituo cha Kazi Afisa Kilimo wa Wilaya ya Meatu, Thomas Shilabu kwa kushindwa kutekeleza...
Hivi karibuni fundi ujenzi ameanguka ndani ya EACLC, Wachina wagoma kumpatia huduma ya kwanza akataliwa na mabosi zake wa kampuni za Kichina, afariki akiwa njiani kuelekea hospitalini mwili wake...
Shalom,
It's high time that people in Tanzania, The Government of Tanzania, The East African Region and it's member states, SADC, Africa and the whole World act with sound mind that Rwanda is...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.