Kuna madai ya hujuma katika mradi wa treni ya umeme SGR.
Ni treni ambayo ipo kwa nchi za Afrika mashariki na kati pekee.
Nilibahatika kuitumia. Kwa kweli ni nzuri Mno.
Kama hizi zinazoitwa...
Habari zenu ndugu zangu Mimi ni kijana wa miaka 23 na nimekua na matamanio ya kufika ng'ambo (ughaibuni) kwa muda mrefu Sana kwa sababu ya kupambana na hali ya kiuchumi (umasikini) Sasa katika...
Kwenu wana JamiiForums, naomba kujua ni route hipi ya haraka na rahisi kupata daladala za kwenda Bagamoyo, kati ya Chalinze to Bagamoyo au Mlandizi to Bagamoyo. Na nauli ikoje kutoka hayo maeneo...
Kijiji cha Busolwa eneo la Nyalugusu Mkoani Geita kuna Wachimbaji Wadogo na Wanachama cha Chama cha Ushirika cha Wachimbaji Wadogo cha Ifugandi wametishia kushiriki katika Uchaguzi wa Serikali za...
Mimi nakumbuka tukiwa Mtihani wa Geography tulitolewa chumba cha Mtihani kwa madau Pepa imevuja hadi Bungeni Wabunge wanayo. Tukasimamiswa wote Mtihani ubabadilishwa siku, wazimamizi na rangi...
Habari wadau,
Sielewi kwamba ni mimi mwenye ninayepitia hii hali au kuna wengine pia wanakumbana na hili.
Ni karibia wiki mbili sasa ninashindwa kuingia kwenye App yao.
Hii inanikwamisha kwa...
Hivi hili ni mimi au nanyie mnaexprience hii hali?
Mnaweza kudhani labda ni simu La hasha simu ram ni 12 na uwezo wake ni mkubwa haijajaa hata
Mitandao sijui imekuaje
Mfano Halotel 3g yao...
Ni siku nyingine tena tupitie mambo ambayo hutufanya tujifunze namna ya kuishi na kuwa bora zaidi
Fahamu kwamba kama watu hawa kupendi basi jua unafanya mambo yako kwa usahihi,si unajua kuna ile...
Uswahilini huku na uzaramoni watu wana nongwa balaa!
Hii aina ya watu nimekuja kujionea mwenyew mana nilikuwa nasikia sikia tu kwa watu. Wengine wanasema ni bipolar.
Ila sifa kama hizi niliwah...
Kuna jamaa anaitwa Kuringe, kaingia mjini Dar es Salaam na shoka.
Na ana kata kulia na kushoto akiwanunua watu na viwanja vyao kama hana akili nzuri.
Ukienda wilaya ya Kinondon i utamkuta yupo...
Wakuu Habari ya uzima, Twende moja kwa moja kwenye mada, Kati ya hayo majiji mawili ni jiji lipi linaweza kunifaa kijana Mimi ninae taka kuanza maisha?
Nataka kujikita kwenye shughuli za ufundi...
Kampuni ya Roblox inayohusika na na Michezo ya Mtandaoni (Gaming) imetangaza kubadili Sera zake zinazuhusu Usalama wa Watumiaji wake ambapo kuanzia Novemba 18, 2024 Watoto wenye chini ya miaka 13...
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeupongeza Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii – NSSF kwa uwekezaji wenye tija katika mradi wa Daraja la Mwalimu Nyerere lililopo...
Benki Kuu ya Tanzania (BoT) imeanzisha kanuni mpya kwa ajili ya shughuli za kubadilisha fedha za kigeni, ikijumuisha uwepo wa masharti makali zaidi kwa ajili ya miamala inayozidi dola za Marekani...
Afisa Upelelezi Wilaya ya Arusha Mjini, Omary Mahita anashikiliwa na Polisi kwa tuhuma za kumpiga hadi kumvunja mguu mtuhumiwa wakati wa mahojiano akiwa kituo cha polisi.
Askari huyo anatuhumiwa...
Aliyekuwa mtumishi wa Jeshi la Magereza Tanzania, Salum Shamte (56), amesimulia namna kanuni za kukokotoa mafao (kikokotoo) ilivyosababisha apigwe butwaa baada ya kupokea ujumbe (sms) wa kiasi cha...
Habar ya usiku huu,
Nimepata msiba wa mtoto wangu wa pili ana miaka 2 amefariki usiku wa saa tisa.
Msiba upo Morogoro Mjini Forest Kileka
=====
Update
Habari ya asubui
Jana tumefanikiwa...
What makes it different?
Je ni ishu ya asili ya mwanamke na ufanyaji wake wa makosa? au ni ishu ya mapokeaji wa hayo makosa ya mwanamke?
Kwamba mwanaume kuna namna anavyo fabricate hisia zake in...
Za asubuhi wapambanaji mapambano mema.
Mufanikiwe katika Harakati zenu za Kila siku.
'Msisahau kuweka akiba. " maneno haya si mageni...
Kuna maneno ambayo si mageni masikioni?? Ebu tuyataje
Tanzania imeweka lengo la kupunguza utoaji wa gesi chafu kwa asilimia 10 hadi 20 ifikapo Mwaka 2030. Hii ni sehemu ya jitihada za kimataifa za kukabiliana na mabadiliko ya tabia ya nchi. Taarifa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.