Mkuu wa Mkoa wa Mbeya anapaswa kuondoka ofisini na kutembelea eneo la barabara katika milima ya Ruangiro, ambayo inatokea Mbeya hadi Chunya. Barabara hii imeharibika sana na serikali haijafanya...
Inawezekana ulikuwa unajiuliza maswali kuhusu ni kiasi gani cha faini utachajiwa, endapo ikatokea bahati mbaya ukagonga mnyama kwenye barabara zinazokatiza kwenye hifadhi.
Basi hapa ni baadhi ya...
Kama mdau ambaye nilikuwa na hamu ya kumjua huyu drug lord maarufu ambaye Waziri wa sheria kaomba apelekwe mahakamani kujibu Mashatka yake...
Nilikuwa na hamu ya kumjua au kumuona Kama watu wengi...
Mafanikio ni siri. Watu wakijua siri za mipango yako watakutoboa macho usione mafanikio yako kama Samson. Samson alitobolewa macho baada ya kushare siri zake na Delila.
Imeandikwa katika Biblia...
Wakuu,
Taarifa kwa umma,
Shirika la reli tanzania (trc) linaomba radhi kwa abiria wa treni ya mchongoko (emu) walioanza safari yao dar es salaam kwenda dodoma saa 2:00 asubuhi na kusimama...
Kijana wa kiume mwenye umri wa miaka 17 mkazi wa Kijiji Cha Kilambo ambaye ni Mwanafunzi wa kidato Cha nne katika shule ya Sekondari Ikimba Wilayani Kyela amehukumiwa kifungo Cha nje Cha miezi 12...
MUNGU WA WAYAHUDI "YEHOVA" hawezi HATAMBUI MWANAMKE KAMA MCHUNGAJI, NABII AU MTUME. WANAWAKE WANAOJIITA WACHUNGAJI au MANABII WANA mungu MWINGINE
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
YEHOVA kama...
Gwala kwa wana Jf.
Niteremke hapa kwenye ngazi taratibu na kuingia kwenye mada.
Makuzi ya miaka ya sasa imepelekea kupatikana kizazi cha hovyo kweli! Watoto kutojua wanapaswa kuongea vipi na...
Acha kuwa na wasi wasi sana na mambo yaliyotokea huko nyuma katika maisha yako au ambayo yanayo kuja huko mbeleni
Usiyape kipaumbele na vuta pumzi ndefu,ishi wakati uliopo sasa na kuwa mwenye...
Kwema wanajamvi?
Hivi mzazi kakusomesha kuanzia nusery mpaka chuo, then you build the idea of volunteering? je unayaogopa maisha au nini unahofia labda mbona kazi zipo nyingi mazee piga ata zege...
Elimu ndogo ya boxer (Me) na chupi (Ke)
Chupi / Boxer inafyata nabidi ifyatuliwe
Matone ya mkojo hudondokea
Kwa wanaume zinachafuliwa na manii (Bao)
Kwa wanawake zina zinagusa Period
Chupi ni...
Kwa miaka 5 sasa, kumekuwa na wimbi kubwa sana la wamarekani weusi wanaokuja Tanzania, wengine kuhamia, wanaopenda kufanya biashara na wengine ni wazee wamechagua TZ kama sehemu ya kustaafia.
Na...
Huyu ni mtu ambaye anakusaidia wakati yeye mwenyewe anataka msaada,yani kuna watu ambao wao wenyewe hali zao ni za mashaka lakini bado wana moyo wa kutoa,kama wewe ni mmoja wapo ubarikiwe sana...
Habari,
Kuna mdau namfahamu alikuwa amepata nafasi ya kazi kwa kampuni tajwa apo juu, alitumiwa meseji ya maelekezo kuwa wataanza kufanya training ambayo ina shift, kuna asubuhi na usiku, uyo...
Dodoma
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Deogratius Ndejembi ameagiza kuwekwa utaratibu ulio wazi wa kupatiwa Hati Milki za Ardhi katika ofisi zote za ardhi ili wananchi...
The World is not fair at all.
Kijana una miaka 35 lakini bado unakaa kwa wazazi au shemeji yako na huna nyumba, gari, familia , mashamba wala kamradi kokote… unategemea nini ?
Na kutoboa siku...
Dubai ni moja wapo ya majiji ya kibiashara ulimwenguni yenye ushawishi mkubwa sana wa watu kuja toka Mataifa tofauti tofauti ulimwenguni wanaenda kutembea na kufanya biashara.
Hivi majuzi mamlaka...
Hakuna watu wanaokula ya mwanamke pesa kiulaini kama waganga na wachungaji🤣
Dah Leo nimeenda kwenye Misa moja hivi jioni ya jumuiya Sasa kwa yale magoti ambayo mchungaji alikuwa akipigiwa noma...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.