Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mwalimu na Ustaadh Mkuu Dr Musa amedakwa akitapeli wagonjwa Muhimbili. Tukimbilie wapi?.Hawa ndo wanafundisha watoto Madrasa, kweli Kwa design hii watoto wapo salama? Prof Janabi dhibiti Hawa...
7 Reactions
45 Replies
2K Views
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ambae ni Rais wa Umoja wa Mabunge Duniani (IPU) na Mbunge Jimbo la Mbeya Mjini, Dkt. Tulia Ackson, amewataka Wananchi wa Mbeya kuendelea kuiamini...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Popote ulipo au mtu yeyote unayemfahamu naomba unisaidie kumpata au kupata taarifa zake. Miaka ya 1987/1988 ilikuwa ukifanya kazi shirika la posta na simu Urambo mjini. Ulihamishwa na kupeleka...
2 Reactions
7 Replies
278 Views
Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo, Hamis Mwinjuma, amemtembelea Msanii Mkongwe Nchini Zahir Ally Zorro (Mzee Zorro) nyumbani kwake Kigamboni Dar es salaam jioni ya Novemba 9, 2024, na...
5 Reactions
71 Replies
3K Views
Ninachojiuliza ujenzi wa barabara ya Sitalike kwenda Kibaoni ulianza kujengwa kwa kiwango cha lami kwa kasi sana na pasipo shaka fedha nyingi zimetumika kwenye hatua waliyoishia, je fedha hizo...
0 Reactions
0 Replies
299 Views
Habari wakuu, Nahitaji kuhamisha kitita cha dollar 1.5 kutoka NMB Chap Chap Account kwenda Prepaid Account. Sijawahi kutumia NMB Mkononi japokuwa nimeunganishwa kupitia Vodacom Nifuate hatua...
1 Reactions
15 Replies
660 Views
Mpaka tarehe ya leo sisi Wazee hatujapokea pensheni zetu toka HAZINA kulikoni?. Tuna maisha magumu na pensheni ndiyo tegemeo letu ili maisha yasonge mbele. HAZINA ifanye hima ili tupate...
1 Reactions
0 Replies
230 Views
Falsafa kuhusu binadamu mroho na mwenye husuda inachunguza asili ya tabia hizi hasi, na jinsi zinavyoathiri mahusiano, jamii, na maendeleo ya kiroho na kimaadili ya mtu. kuna tabia ambazo mara...
0 Reactions
0 Replies
146 Views
Na Zurima Ramadhan Kuanzishwa kwa Jumuiya ya Kusimamia Maadili ya Watoto Zanzibar itasaidia kupunguza mporomoko wa maadili nchini. Hayo yameelezwa na katibu wa jumuiya hiyo Ali Muhammed Suleiman...
0 Reactions
0 Replies
149 Views
Soma pia: Hii ndio hatari inayoweza kujitokeza baada ya mkataba wa Songas kumalizika Upinzani watasema tutashitikiwa miga
3 Reactions
31 Replies
2K Views
Kizazi cha blue band! Katika ulimwengu wa teknolojia, tunashuhudia mabadiliko makubwa, Kizazi cha kisasa kikiishi kwa haraka, hakina muda wa kupumzika, Simu na mitandao, maisha yamejaa kelele...
1 Reactions
11 Replies
517 Views
Nimefanya makosa makubwa na nimekukosea pakubwa imetosha sasa na nimeamua kukuomba msamaha popote pale ulipo. Baba nimekua mjeuri kwako kwa kuzani kuna mahitaji ulipaswa kuyatimiza kwangu na...
14 Reactions
50 Replies
2K Views
Abiria wanao tumia tren ya mwendo Kasi SGR kutoka Dar to Dodoma wamekuwa wengi sana kupelekea tren kukaa mapema huku abiria wakikosa sit nashauri wahusika waongeze mabehewa kuliko kutumia hayo 14...
5 Reactions
27 Replies
2K Views
PPP Kwenye ujenzi wa Flemu za Biashara wangeachiwa manispaa tu huku Tume ya Mipango ilijikita Kwenye PPP kubwa kubwa Mfano Flemu za Biashara pale Makumbusho Daladala stand ni PPP ya Manispaa ya...
0 Reactions
0 Replies
141 Views
DOKEZO; MADAKTARI WEÑYE TAMAA HUKIMBILIA KUTOA MIMBA ZINAZOTISHIA KUTOKA KWA TAMAA YA PESA. NI HAKIKA MIMBA NYINGI ZIMETOLEWA ILHALI HAZIKUPASWA KUTOLEWA. Anaandika, Robert Heriel Mhanga...
1 Reactions
4 Replies
694 Views
Nimepokea kwa masikitiko taarifa ya kifo cha Bw. Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango kilichotokea leo tarehe 09 Novemba, 2024 katika hospitali ya Apollo nchini India...
2 Reactions
32 Replies
3K Views
Kwa takwimu za wanaofanya mitihani ya kidato cha nne mwezi huu Novemba 2024 Kenya ina jumla ya watahiniwa 965, 501 na Tanzania ina watahiniwa 557, 731. Je, ni kwa nini Tanzania watahiniwa ni wa...
0 Reactions
24 Replies
661 Views
MAMLAKA ya Kudhubiti na Kupambana na dawa za kulevya (ZDCE), imetangaza kutaifisha mali za watuhumiwa watatu wa dawa za kulevya zenye thamani ya zaidi ya Shilingi Milioni 976 na kuwa na mali ya...
2 Reactions
2 Replies
429 Views
Habari Wadau! Hapo chini ni kipande cha maelezo ya umeme nilionunua kwenye simu. Nimejaribu kupiga hesabu hizo asilimia hapo chini za VAT, REA na EWURA zote zinaonekana zimepigiwa hesabu kutoka...
10 Reactions
64 Replies
2K Views
Salaam jamiiforum Asilimia tisini watanzania wingi tuna vipato vya kawaida haswa ukilinganisha na gharama za maisha na pengine ukubwa wa familia. Na sababu ni hizi A) Gari lako huna uwezo wa...
3 Reactions
5 Replies
464 Views
Back
Top Bottom