Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
ilikuwa January 2019 tulipata ugeni kutoka Halmashauri ya Mji Kibaha, tukajulishwa kupitia Mwenyekiti wa kijiji na wenyeviti wa Vitongoji, taarifa ilihusu wananchi kujitokeza kwenye mkutano wa...
0 Reactions
0 Replies
133 Views
Huduma ya maji yawafikia Wananchi wa Kata ya Mabogini iliyopo katika Wilaya ya Moshi Vijijini, Mkoa wa Kilimanjaro. Maji Mwaa Mwaa Mwaaaaaa Huu ni mwendelezo wa kazi ya uchimbaji wa visima 900...
0 Reactions
3 Replies
306 Views
Jamaa mmoja hivi anapinga sana uwepo wa Mungu, Mishipa inamsimama kudai Mungu hayupo, na anatoa hoja za kifedhuli kweli kweli, Sasa leo ushahidi wa mazingira umeonesha kwamba jamaa ni mkiristo...
4 Reactions
40 Replies
1K Views
Naam, baada ya mauaji ya mtoto mwenye uremavu wa ngozi nimesikia baadhi ya wakuu wa mikoa akiwemo comrade Chalamila akisema kuwa ataanza kula sahani moja na waganga wa kienyeji. Ni wazo zuri tena...
4 Reactions
15 Replies
723 Views
Habari ndugu zangu, Nimeona msukumo wa kuhamasisha matumizi ya nishati safi ambapo hatua mbalimbali zimechukuliwa na wanasiasa tofautitofauti,wengine wakigawa mitungi ya gesi idadi tofauti...
2 Reactions
8 Replies
178 Views
Kwako mtumishi wa Mungu, nakuomba Tafadhali sana usipuuze andiko langu, hili ni andiko la Mungu mwenyewe. Wewe hakika ni mtumishi wa Mungu,ni kweli kabisa Mungu alikuita ili ufanye kazi yake...
11 Reactions
49 Replies
2K Views
Mwalimu wa shule ya msingi huko mkoani Kigoma afariki baada ya kuumwa na nyuki... Jirani na kwake kuna mwembe watoto walipotoka shule wakarusha mawe na kupelekea nyuki kutoka na kumvamia mwalimu...
22 Reactions
347 Replies
20K Views
Watukufu Wazanzibari Wakaazi nawatangazia peupe kuwa ifikapo 2025 insha'Allah nitagombea Urais Visiwani Kwa tiketi ya CUF insha'Allah. #2025JumaFakiAtosha
3 Reactions
29 Replies
2K Views
Timu ya Wakaguzi EWURA ikishirikiana na vyombo vingine vya Usalama imewakamata walanguzi wa mafuta ya petroli wakihifadhi na kuuza mafuta hayo kwenye madumu ya lita 20 na 200. Aidha waliokomatwa...
0 Reactions
3 Replies
496 Views
Habari Wananchi Ifahamike kwamba Siyo jukumu la serikali kulazimisha kuuza! Ewura kama mdhibiti mkuu anatakiwa afanye kazi kisomi siyo kikoloni! Ifahamike Ewura hana shea yoyote kwenye mitaji...
10 Reactions
122 Replies
4K Views
EWURA hii tabia ya wamiliki wa vituo vya mafuta kuuza nishati ya mafuta ya Petrol na Dizel kwenye madumu mtaikomesha lini huyu? Huyu kwenye picha ni mmoja kati ya Wananchi wanaonunua mafuta kwenye...
2 Reactions
46 Replies
2K Views
Wakuu Habar Zenu, naombeni ushauri kama kichwa cha habari kinavyojieleza, Dogo ugonjwa wa Ngozi unamsumbua. Ahsante!!
1 Reactions
4 Replies
146 Views
Salaam wakuu. Mada hii ni strictly WANAUME sio WAKAKA Eti mwenye tattoo mweupe au mweusi, mwenye tatoo, slim fit au XXL, mwenye tattoo wa uswahilini au wa kishua, mwenye tattoo twiga au ndama...
2 Reactions
13 Replies
525 Views
Nahitaji ku-book ticket kwenda Kigoma tarehe 12/11/2024. Naingia website ya Air Tanzania naona manyota nyota (imestak) kulikoni?
2 Reactions
3 Replies
365 Views
Mtanzania Mansoor Daya amefariki dunia jijini Dar es Salaam. Daya alikuwa mtu wa kwanza nchini kufungua kiwanda cha madawa Tanzania na Afrika Mashariki mwaka 1962 akianza kwa kuziuzia nchi jirani...
23 Reactions
111 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Samia Suluhu Hassan ameeleza kuwa Serikali inaendelea kuboresha miundombinu ya barabara katika Mkoa wa Katavi ambapo sasa barabara ya kutoka Tabora...
0 Reactions
2 Replies
329 Views
Ifahamike kwamba Barabara ndio kichocheo kikubwa Cha Maendeleo ikifuatuwa na umeme. Mwaka 2005 Serikali ilitangaza Bungeni Hadi kufikia 2020 ,Makao Makuu ya Mikoa yote Tanzania Yatakuwa...
10 Reactions
137 Replies
7K Views
UTANGULIZI Maisha ya mwanadamu yamefungwa ndani ya mifumo, hakuna kitu ambacho kiko nje ya mfumo, wakati Mungu anamuumba mwanadamu aliweka mifumo Kwanza Kabla ya kumweka mwandamu ili mifumo iweze...
3 Reactions
1 Replies
615 Views
1. tukio la kwanza lilikuwa ni tambiko ambalo lilifanya na wazee wa huko Musoma kijijini kwa Nyerere kupitia mizimu yao "NYAMURUNDA" kumzindika Nyerere ,kumkabidhi katika madhabahu ya kuzimu. 2...
31 Reactions
120 Replies
16K Views
Wizara ya Nishati pamoja na Taasisi zake leo Agosti 21, 2024 zimeshiriki katika Tamasha la Kizimkazi (Kizimkazi Festival) yanayoendelea kwenye Kijiji cha Kizimkazi, Wilaya ya Kusini, Mkoa wa...
0 Reactions
1 Replies
186 Views
Back
Top Bottom