Wanabodi
Hiki ni kisa cha kweli, mwenzenu leo yamenikuta ya kunikuta nimepata a shock of my life! Nilikuwa na furaha na matumaini tele, mara ghafla furaha yangu ikageuka shubiri.
Kisa chenyewe...
Nimekutana na discussion moja msomi mmoja anasema jamaa yake Ana masters in business Adminstration na Anakuomba amtufatie kazi jamaa akamuuliza mbona si utumie hiyo masters ku-develop ideas na...
“Mhaya, kwenye maisha yako kamwe usiwaingilie watu wa jinsi tofauti ambao wamewahi kulala kitanda kimoja wakiwa uchi.”
Anamaanisha nini? Usijifanye sana mshauri kwenye doa za watu, usijifanye...
Mtoto wa mbunge Mwambe afariki dunia jana akiwa anaogelea na wenzanke nyumbani kwao.
Alijirusha kwenye kina kifupi cha maji ndani ya bwawa la kuogelea lilipo nyumbani kwao na akagonga kichwa...
Habari, naomba nitoe taarifa kwa JWTZ ya kwamba Kuna mtu anajiita Generali Charles Mwamwega na kudanganya watu yeye ni makubwa jeshini na anafanya kazi kwenye ofisi ya Rais wa Zanzibar Ikulu...
Kwamba kipato cha kusafisha vyoo kimemuwezesha kumiliki hotel ya nyota 5.
Basi tusife moyo yote yanawekana, hata wewe boda boda siku moja utamiliki kiwanda kikubwa cha magari.
Nina ombi kwa RPC wa Dodoma, msaidie huyu Katibu Mkuu wa Kanisa la Pentekoste atafilisika na kuuawa. Tatizo hili lilianza mwaka 2021, Baada ya Kiongozi huyo wa dhehebu la Pentekoste kuingia...
Mda ambao mtoto anautumia kuwa shule ni mda mwingi mno.
Namaanisha ni ile anaenda shule saa 11 asubuhi alafu anarudi saa 11 jioni, kuanzia Jumatatu mpaka ijumaa,.
Hii inapelekea mtoto kukosa...
Nilienda Ofisi za NECTA mwezi Novemba mwaka Jana 2023 kuomba wanisaidie Replacement kwa Cheti Nilichopoteza Ikiwemo Cha Kidato Cha Nne Ofisi za NECTA
Wakanijibu kuwa kwa sasa wao hawafanyi Tena...
Uhitaji wa Vitambulisho vya Taifa kwa wananchi ni mkubwa sana, lakini wananchi wanakumbana na changamoto nyingi, hasa kupitia idara ya uhamiaji. Kama iliyokawaida, Wananchi wanapaswa kufika katika...
Mkuu wa Kanda ya Dar es Salaam na Pwani wa Vodacom Tanzania, Happiness Shuma (kushoto), Kaimu Mkurugenzi wa Idara ya Maendeleo ya Biashara kutoka Shirika la Reli Tanzania (TRC) Never Daimon, na...
Wadau kama kichwa kinavyosema, nimekwama nahitaji angalau 5k nipate lunch, ni site au app gani inaweza kunifanikishia hilo kwa muda mfupi?
Naombeni muongozo wadau, jua ni kali tumbo lina mgogoro.
Je, Wajua?
Kwa mujibu wa Kamusi ya Kiswahili, mwanamke asiyejiheshimu na asiyetulia huitwa KISABALUU!
Chukua hiyo kama ulikuwa haujui
Nimekuwa nikifanya tafiti za aina 3 Kwa muda mrefu na bado...
Sisi baadhi ya Walimu Wilayani Kilwa tunazuiwa kujiunga katika Chama cha CHAKUHAWATA licha ya kuwa kuna wenzetu kati ya Walimu zaidi ya 300 wameshaamua kuhama kutoka CWT na kuhamia upande huo wa...
Hatmaye Chama Cha Kulinda na Kutetea Haki za Walimu Tanzania (CHAKUHAWATA) chazidi kushika kasi kwa kuongeza idadi ya wanachama, wengi wao wakiwa ni wale wanaohama kutoka CWT.
Wilayani Butiama...
Muundo wa usimamizi wa hospital za wilaya zetu ni Dmo Ndio anachagua wajumbe wanaoweza kuunda CHMT .
Kama kuna mtu member aliyepo mle kuanzia katibu, muuguzi wa wilaya, mhasibu, mfamasia na...
Jeshi la polisi mkoani Mbeya linamshikilia Juma Afyusisye (38) dereva Bodaboda mkazi wa iwambi Jijini Mbeya kwa tuhuma za kumjeruhi sehemu mbalimbali za mwili mwanafunzi wa kiume wa darasa la pili...
Kwenye Siasa na Chaguzi, kuna mambo mengi yanayotokea na kuzua utata na kushindwa kufahamika Uhalisia wake.
Ikiwa kuna jambo lolote linalokuletea mashaka kuhusu Siasa au Chaguzi, ndani au nje ya...
Leo nawasanua mabosi wa mabasi acheni kukomaa na Njia za dar-moro, chalinze-moshi na Dodoma-Moro pekeake Kuna hili chimbo la Dodoma Arusha gari ni chache aisee halafu abiria ni kibwena yaani kama...
Mwaka ni 1874 kabla ya wajerumani kuja kusini mwa Tanzania mkoa wa sasa njombe waliishi wabena ambalo kwa kipindi hiko lilikua ni kabila dogo.
Wabena ilikua ni kabila ambalo halina mfumo ambao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.