Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakili Mkuu wa Serikali, Dkt. Ally Possi (kushoto) akimkabidhi zawadi ya Jarida la Ofisi ya Wakili Mkuu Rais wa Mahakama ya Jumuiya ya Afrika Mashariki baada ya kikao baina yao kilichofanyika...
0 Reactions
0 Replies
152 Views
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Biteko amewataka Watumishi wa Wizara yake kutumia muda mwingi kufanya kazi na sio kulinda vyeo vyao. Waziri huyo amebainisha hayo wakati...
0 Reactions
5 Replies
386 Views
Habari wanabodi Usiku wa kuamkia jana wezi wameruka fensi wakavunja grill la dirisha na wakafanikiwa kuiba Tv, simu ya mezani na laptop . Mimi sikuwepo nyumbani kutokana na majukumu ya kazi...
13 Reactions
57 Replies
2K Views
Baada ya kuhangaika kutafuta madaraja ya juu, nikaamua kukata economy kwa sababu msafiri kwa afya take alihitaji angalau business. Muda wa safari unewadia, madaraja ya juu yapo wazi. Kuomba...
0 Reactions
1 Replies
203 Views
Hawa bolt wamefanikiwa sana kupanua wigo wa biashara yao. Ukikutana na adha ukahitaji usaidizi, kwenye menu yao ukianza kujaza tu unajibiwa na AI ambapo kunakuwa na gaps na majibu yao. Nani...
1 Reactions
0 Replies
273 Views
Tunasema, asante tena kwa majira haya ya usiku. Bwana uliyagawa majira na nyakati kwa ilivyokupendeza nasi tuyafurahia majira haya katika utukufu usioringanishwa na chochote. Asante kwa wakati wa...
5 Reactions
4 Replies
198 Views
Leo mahsusi kwa wanaume, Usije kujaribu kuwekeza pesa , akili , muda kwa mwanamke ni kosa kubwa unafanya, Mwanamke toka anaumbwa Hana roho ya kuridhika na hatokuja kua na roho ya kuridhika...
11 Reactions
61 Replies
2K Views
Sasa wazee 🤣Trump sijui alidokeza sijui atawapa zawadi gani vile?? Kuna baadhi ya hao (African USA) walidiriki kuyatukana mataifa yetu ya africa sasa🤔🤣Trump atawapa zawadi yenu muda si...
12 Reactions
57 Replies
1K Views
Hii trend ni trend ya kasi na hivyo inahitaji tahadhari na umakini mkubwa lolote lisitokee ikiwa katika speed kali. Binafsi sina imani na umakini wetu katika kuendesha hii treni na hizi...
14 Reactions
62 Replies
4K Views
Msajili wa Hazina, Nehemia Mchechu, akizungumza katika hafla ya utiaji saini makubaliano ya kumiliki kiwanda hicho iliyofanyika katika Ofisi ya PSSSF, Msajili wa Hazina iliyofanyika Agosti 9, 2024...
1 Reactions
1 Replies
253 Views
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Ustawi na Maendeleo ya Jamii imeipongeza Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe.Dkt. Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa uamuzi wake wa...
1 Reactions
1 Replies
195 Views
Kiuhalisia mfumo huu ulipaswa uwe unapandisha score automatically baada ya mtumishi kupandisha asilimia zake na mkuu wa kitengo ku approve. Sasa badala yake kunamtu amekaa amewekwa awe...
0 Reactions
5 Replies
282 Views
1. Ficheni mipango yenu ya Kisiasa 2. Acheni kuwaamini 100% Wake zenu na hasa Madereva wenu 3. Kuweni makini na Vinywaji mnavyokunywa hasa maeneo ya Mapumziko 4. Kataa kuwa na Chawa kwani Mafia...
13 Reactions
17 Replies
796 Views
Na Mwandishi wetu - Dar es Salaam. Peoples Development Forum (PDF), kwa kushirikiana na Jenga Hub, imezindua Mradi wa Mitandao Salama kwa Watoto ambao 1 katika shule mbalimbali za mkoa wa Dar es...
1 Reactions
0 Replies
112 Views
Wanawake wanakabiliwa na aina mbalimbali za ukatili mtandaoni, ikiwemo: Kudhihakiwa na Kudhalilishwa; Maneno ya kejeli na matusi yanayolenga kudunisha utu wa mwanamke. Kutishwa na Kutishwa kwa...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
Salaam, shalom!! Tukifuata maelekezo ya Mungu, mfumo wa utawala uko wazi kabisa kwamba, Ndani ya NDOA, kimamlaka, mume na mke ni kitu kimoja, pale juu wenye mamlaka ni wazazi wa kimwili na...
5 Reactions
116 Replies
2K Views
Kama wewe ni mwanaume wa age 30+ umeoa au umezaa na mwanamke/wanawake na wanakupa stress za mapenzi kama vile unahisi wana flirt na michepuko au mmeachana na ex wako ame move on, etc, halafu kwa...
10 Reactions
53 Replies
3K Views
WALOKOLE WAPUMBAVU WANAPENDA SANA KUWAPIMA WATU HEKIMA ZAO KWA UJINGA Kuna walokole WAGALATIA fulani na wengine WAJINGA fulani hivi wakati ukiview hata profile zao unawatazama unaona ukiwajibu...
1 Reactions
25 Replies
750 Views
Leo nimesafiri na bus usiku nikapata mawazo hivi kwanini mabus ya mwendokasi wasifanye huduma zao masaa 24
1 Reactions
1 Replies
247 Views
Mtandao gani wa simu Tanzania una masiliano Mazuri na Uhakika Tanzania au Ambao unaongoza kua na Huduma nzuri na Zenye Uhakika kwa mtumiaji.
2 Reactions
10 Replies
404 Views
Back
Top Bottom