Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Waswahili wanasema ukiwa Muongo jitahidi kuwa na kumbukumbu, Jana mkurugenzi wa halmashaurimya wilaya ya KILOSA Ndugu MICHAEL GWIMILE alisema hawajawaengua kabisa wagombea wa CHADEMA na kwamba...
0 Reactions
1 Replies
199 Views
Wakuu habari zenu, Wakati wa utawala wa Mkapa kuna hali ya ukata wa pesa ulijitokeza tukauita UKAPA. Wakati wa JK kiasi flani mambo yakalainika japo ufisadi ulikuwa juu sana na mfumuko wa bei...
27 Reactions
278 Replies
11K Views
Bukoba Tanzania na Uganda zimetia saini makubaliano ya uimarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo mbili. Makubaliano hayo yalifikiwa wakati wa mwisho wa kikao cha Kamati ya Pamoja ya...
0 Reactions
0 Replies
194 Views
Mara kadhaa Masikini tumekuwa na kauli mbali mbali za kuonyesha kuwa Umaskini ni haki yetu na moja wapo wa kauli ni hii MASKINI JEURI, Yaani Maskini pia Jeuri . Na kweli ukiwaona MASKINI jeuri...
2 Reactions
3 Replies
293 Views
Watangazaji wa sasa wa Media za Tanzania ni weupe sana kichwani, hawajui kingine zaidi ya Yanga na Simba na Mziki wa Diamond. Hivi ndio vitu wanaweza vichambua kwa asilimia 200. Hawa hawajui...
19 Reactions
52 Replies
1K Views
Kama unaishi/uliwahi kuishi Dar es Salaam utaelewa naamanisha nini. Jehanamu ni nini? Jehanamu au Jehanum ni neno lenye chimbuko la kiyunani gehenna, ambalo limetafsiriwa kutoka katika lugha ya...
30 Reactions
185 Replies
21K Views
HABARI ZA LEO NDUGU ZANGU WATANZANIA NA WASIO WATANZANIA! Leo kuna jambo la msingi sana naomba kushirikiana nayi, ni muhimu sana kama utazingatia. Sio Tanzania tu, na sio Africa tu, ni dunia...
13 Reactions
30 Replies
2K Views
Lawrence Nyasebwa Mafuru, Katibu Mtendaji wa Tume ya Mipango amesema, Dira ya sasa ilikuwa baada ya mchakato wa miaka mitatu kuanzia mwaka 1997- 99, chini ya uongozi wa Rais Benjamin Mkapa. Na...
1 Reactions
4 Replies
895 Views
Msaada unahitajika kwa anaejua jinsi ya kuangamiza mchwa hawa wa ardhini ambao wanakula ukoka, miti, maua na kila kitu kinachoota kwenye bustani. Hawana tofauti na wale nzige wa kule siha...
2 Reactions
13 Replies
8K Views
Na Mwandishi Wetu. Mufti na Sheikh Mkuu wa Tanzania, Dkt. Abubakary Zubeiry bin Ally, amempongeza Dkt. Shehnaz Shaikh kwa kazi yake ya kujitolea katika kuandaa tafsiri ya Qur’an neno-kwa-neno kwa...
0 Reactions
3 Replies
311 Views
Usichanganye haya majina, hawa sio ndugu kabisa, Gavana Gilman Rutihinda ni mhangaza toka wilayani Ngara,wilaya yenye vinasaba na Burundi, Bakozi Ferdinand Ruhinda ni mnyambo toka Karagwe mwenye...
16 Reactions
113 Replies
5K Views
Padma Vibhushan Ratan N Tata (Ratan Tata) mwenye asili ya India, alikuwa mwenyekiti wa Kampuni Kubwa ya Uwekezaji inayoitwa TATA GROUP. Ambayo imejikita katika maswali mbalimbali, ikiwemo...
7 Reactions
9 Replies
934 Views
Kabla sijajiingiza kichwa kichwa naomba kupata mrejesho ambao mlitangulia kwenye huu mgao hii kitu ni ya kweli? Sizani kama kuna watu wanauelewa na hii kitu nimeona wengi wakipost na...
4 Reactions
44 Replies
6K Views
"Wanandoa walihamia kwenye nyumba mpya. Asubuhi iliyofuata wakiwa wanapata kifungua kinywa, yule mwanamke akamuona jirani yake akianika nguo nje alizofua. Akasema, "naona kama zile nguo...
4 Reactions
7 Replies
347 Views
Biashara zipo kila Kona biashara yoyote ukiinvest Hela hata biashara ya makopo inaweza kukutajirisha. Ila tatizo linakuja kwenye mtaji how to get capital malegend AU tips Gani hutumika kukuza...
1 Reactions
6 Replies
412 Views
Nawasalimu nyote. Ndugu zangu nimetapeliwa katika mazingira ya kutatanisha ambayo mpaka sasa wahusika wanapatikana nimepeleka taarifa kituo cha polisi kimsingi mpaka leo sijapata msaada...
0 Reactions
9 Replies
261 Views
📖Mhadhara (62)✍️ Kumekuwa na changamoto ya usafiri kipindi cha mwezi Disemba hasa karibia na tarehe za sikukuu ya X-Mass na Mwaka mpya. Hiki ni kipindi ambacho watu wengi wanasafiri kwa ajili ya...
0 Reactions
0 Replies
139 Views
Sisi Wananchi wa Mtaa wa Mwananyamala Kisiwani Kwa Kidile tuna kero yetu ya takataka, zimekusanywa sehem ya makazi, zina wiki sasa kiasi kwamba funza na wadudu wengine wameanza kusambaa Bila...
1 Reactions
0 Replies
236 Views
Yaani ile ame ‘sign in’ tu kazini, iwe ndani au nje ya ofisi, anatakiwa avae bodycam na aiwashe katika masaa yota atakayokuwa kazini, hata kama ameenda kula.., hii itasaidia sana kuboresha ufanisi...
2 Reactions
12 Replies
311 Views
Back
Top Bottom