Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Hello,kama kawaida jamiiforums ikiwa ni maskani ya kupata maarifa,basi wacha nami nichote maarifa kidogo Mwanzo kabisa nawashukuru wote ambao mliitikia positively katika thread yangu juu ya...
1 Reactions
0 Replies
130 Views
Wakuu! Nape kupita juu ya miili ya hawa kina mama imekaaje? Bado kuna tamaduni kama hizi kandamizi namna hii? Hivi endapo kama mke wako/mtoto wako ni mmoja waliokanyagwa na Nape utachukua hatua gani?
6 Reactions
249 Replies
25K Views
TAARIFA KWA UMMA Baada ya uteuzi wa Wagombea wa nafasi za Uongozi katika nafasi mbalimbali za Serikali za Mitaa, kuna Chama cha Siasa kimepanga na kinahamasisha wafuasi wao kwa njia mbalimbali...
2 Reactions
55 Replies
1K Views
Huu mwaka umeisha kizembe sana, staki tena masikhara kwanzia January, nataka niwe wa tofauti sana. Mwaka 2025 nataka niache pombe, niwe mtu wa ibada, mazoezi, nakunywa maji mengi na matikiti maji...
8 Reactions
24 Replies
524 Views
Tunakushukru Eee Mungu Baba kwa pendo lako kuu umetulinda na hatari zote za mwili na roho tumeamka salama tunazo changamoto ndani mwetu kwasababu sisi ni wahitaji Bwana Tunaomba ututendee wema...
6 Reactions
8 Replies
321 Views
Utafiti na uzoefu wangu umenionyesha kuwa watawala wetu wawe wa kisiasa au kiroho huwa wanajitambua kwa asili zao kwanza na dini baadae. Mfano, Mwarabu ni mwarabu kwanza uislam unafuatilia...
0 Reactions
2 Replies
175 Views
Ni muda sasa nikiwa nimeishi hapa sengerema shule hii ambayo ubakaji umetokea kwa binti wa kidato cha kwanza kubakwa,akiwa darasan. unaweza kusema shule hii watu hawakwenda kusoma Bali ni ngono...
2 Reactions
15 Replies
2K Views
Eee Bwana ni usiku tena asante kwa neema hii. Tuliikabili siku kwa juhudi zetu huku tukiwa na tumaini ndani mwetu. Yawezekana haikuwa vile tulivyotarajia yawezekana haikuwa fungu letu kesho...
8 Reactions
13 Replies
1K Views
Saa nane usiku nitakua na maombi ya kufunguliwa unahitaji nikuombee nini mungu afanye kwako.🙏❤️
4 Reactions
36 Replies
659 Views
Na Mwandishi Wetu, Dar es Salaam. Makamu wa Rais Dk Isidory Mpango, amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan kwenye kukabidhi tuzo mzalishaji bora wa bidhaa za viwanda,huku kampuni ya tumbaku...
1 Reactions
4 Replies
212 Views
Kutamani pekee haitoshi lazima uchukue hatua kuyafikia hayo matamanio yako. Vitu vizuri huja kwa wenye subira ila vitu vizuri zaidi na vilivyo bora humilikiwa na wale watu wanaothubutu kuvifaata...
1 Reactions
1 Replies
154 Views
Mada kama inavyojieleza hapo juu mnamo tarehe 4/10/2024 majira ya saa tano hivi asubhi nilipanda gari nikitokea Nzega to Morogoro nilifanya booking kwenye stand kuu ya Nzega mjini kwenye booking...
4 Reactions
13 Replies
590 Views
Moja: Hesabu nyepesi, bunge la Jamuhuri ya Muungano lina idadi ya Wabunge wasio pungua 360. Kama kila Mbunge akapunguziwa msahara na posho kwa kiasi cha jumla ya sh 1500000, nanaake huyu ataweza...
0 Reactions
0 Replies
101 Views
Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendekeo ya Makazi Mhe. Degratius Ndjembi ametoa siku 30 kwa watumishi wa Ardhi jiji la Dodoma kutatua migogoro na changamoto za ardhi na kupata majawabu ifikapo...
0 Reactions
1 Replies
206 Views
Unakutana na kundi la vijana wamevaa kanzu na kobazi wanakutaka uchangie ujenzi wa nyumba ya ibada huku mkononi kabeba karatasi yenye majina. NB: Hawana utambulisho wowote
2 Reactions
21 Replies
853 Views
Habari Wana JF na WATANZANIA kwa ujumla. It has come to my ATTENTION kwa kauzoefu kadogo nilikonako hapa JF, Nime experience kwamba NYUZI zenye mielekeo ya Imani Fulani (Islam or Christianity)...
1 Reactions
11 Replies
369 Views
Serikali ni bora itowe huduma za afya bure kuliko elimu. Fedha za elimu bure zihamishwe kwenye afya ili madawa na huduma kwa ujumla vipatikane kwa urahisi kwa kila raia. Ukiwa na afya mgogoro...
0 Reactions
1 Replies
181 Views
Wakuu habari za weekend, Wakati natafakari mambo Leo nimejikuta nakumbuka tukio gumu lililo huzunisha moyo wangu sana. Ilikuwa mwaka 2008, baada ya kumaliza form six katika shule ya Tabora...
61 Reactions
530 Replies
75K Views
Nimetoka zangu Tukuyu Mbeya nimekuja na scania mende na humo nilijaza mzigo wa ndizi matoki wote wangu na nimefanikiwa kuuza jana wote soko la mabibo nina kakibunda kanene kiasi na lengo la kujaza...
1 Reactions
13 Replies
461 Views
📖Mhadhara (59)✍ Je, wajua? Wanawake wengi wanakuwa na siku za kununa bila sababu. Bila shaka unaishi na ndugu yako wa kike, mfanyakazi mwenzako wa kike, mkeo, mchumba, au mpenzi wako na huwa kuna...
1 Reactions
9 Replies
319 Views
Back
Top Bottom