Watu wanahasira sana, yani jamaa kaamua kumtolea panga mwezie kisa kaingilia njia isiyokuwa yake!
================
Katika hali isiyokuwa ya kawaida madereva wawili eneo la Kariakoo mtaa wa...
Although Botha alikuwa ni mbaguzi juu ya watu weusi South Africa lakini zaidi ya miaka 30 baadae unakuja kuona alikuwa sahihi katika baadhi ya vipengele katika hotuba yake.
Baadhi ya vipengele...
Wadau hamjamboni nyote?
Naambiwa Nabii Flora amefariki jana akipatiwa matibabu hospital ya Kitengule Tegeta
Naambiwa msiba upo salasala nyumbani kwake na pia kwenye Kanisa lake na nje ya Kanisa...
Nini huwa kinasababisha wanawake kuchukiana au kutopendana wao kwa wao?
Ukikuta wanaume wanachukiana au hawapendani mahali mara nyingi kutakuwa na maslahi ila wanawake wana tabia fulani hivi ya...
Salaam Wakuu,
Zanzibar yaandaa Bonanza la Utalii, Michezo na Utamaduni la Pemba, tarehe 27 hadi 30 Novemba 2024.
Hapa chini ni Hotuba iliyotolewa leo na Mhe. Mudrik R. Soraga Waziri wa Utalii na...
Kamishna wa Operesheni Mafunzo wa Jeahi la Polisi CP Awadhi Juma Haji Leo Novemba 8,2024 amefunga mafunzo ya siku tano kwa Wakuu wa Polisi Wilaya zote Tanzania Bara na Visiwani. Mafunzo hayo...
📖Mhadhara (58)✍️
Leo ni Novemba 8, 2024. Mwaka 2024 unaelekea kwisha, ile mipango yako yote uliyopanga kuifanya na kuikamilisha mwaka huu imebuma, tena imebuma kweli kweli.
• Unadhani ni kwanini...
Mwanaume anacheat kwa sababu ana uwezo wa kucheat.
Sio kwa sababu eti mfuska , hapana, hata wale normal familiy loving men wana cheat.
Mwanaume ana cheat sio kwa sababu ya mke wake amridhishi au...
Fahamu Masharti ya Kudumu ya Mkataba wa Faragha wa waalikwa katika Sherehe za P Diddy
Mhusika hapaswi kusema yatakayotokea katika sherehe hizo hadi kifo cha P Diddy na miaka 20 zaidi baada ya...
Kwenye Socia media za Kenya na hata vyombo vyao vya habari kama Tv na Radio station asilimia 80 ya mijadala na Mada zao ni siasa za Kenya. Asubuhi ukifungulia station zao Radio na Tv ni mada za...
Wanabodi,
Kwa mujibu wa Katiba yetu ya mwaka 1977, kuna ngazi ama level ya Uongozi ukishaifikia basi wewe utaendelea kuishi kwa gharama za serikali maisha yako yote hapa duniani (mpaka ufe).
1...
Bashir Yakub, WAKILI.
+255 714 047 241 .
Tarehe 13/09/2024 Mahakama ya rufaa imeelekeza kuwa mtoto wa nje ya ndoa anatakiwa kupata urithi.
Imeelekeza kuwa urithi wake utakuwa sawa kabisa na...
Kumekua na upotoshaji mkubwa sana juu ya viwanda ambavyo vingi vilianza kufa miaka ya 1980's mpaka 2000's mwanzoni vikawa vimekufa vyote
Viwanda vingi sana hapa Tanzania vilijengwa na mkoloni ni...
Mikoa yenye idadi kubwa ya kaya zinazojisaidia vichakani, porini na baharini (hazina vyoo).
Asilimia ya kaya kati ya kaya zote katika mkoa husika zinazojisaidia vichakani n.k
1. Kaskazini Pemba...
Hawa wafugaji ni vinara wa kutangaza amani kwa wakulima kwa zaidi ya miaka 35 sasa ila maajabu yalioje wanaficha mapanga na vitu vya ncha kali kwenye makoti yao.
Wafugaji hawajali lolote kuhusu...
Habari Wadau see
Mimi nina miaka 27 na ninataka nife nikiwa na umri wa miaka 100 hivi 😁
Yaani niishi hadi mwaka 2100
Nifanye nini ili nitimize ndoto hiyo ukiachana na kuomba Mungu?
Wana-jamii wenzangu mimi nina tatizo la kupumua kwenye chumba kidogo, ama kwenye korido ndefu isiokuwa na uingizaji wa hewa fresh kutoka nje.
Aidha, nikipanda lift mara mlango unapofungwa hupata...
Watanzania wana ukosefu wa akili. Hili ni tatizo kubwa sana. Utaona wanawaza Simba na Yanga tu. Hawana jambo lingine la maana.
Yanga kupoteza match ya jana imekuwa issue kubwa sana.mjadala kila...
Kuelekea uchaguzi wa Serikali za Mitaa unaotarajiwa kufanyika Novemba 27, 2024, Jeshi la Polisi linawataka wananchi, wagombea na wafuasi wa vyama vya siasa kutii sheria bila shuruti ili kuepuka...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.