Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habar wakuu hivi gari zakwenda bagamoyo unapandia wapi mwenge au makumbusho au tegeta
2 Reactions
22 Replies
960 Views
Habari Wakuu, Leo Novemba 8, 2024 ikiwa ni siku ya pili ya Media Week Uganda, JamiiForums imeandaa mjadala kuhusu Ushiriki wa Wananchi katika kuleta Mabadiliko ya Kijamii. Ungana nasi hapa...
0 Reactions
3 Replies
404 Views
Naungana na Kishimba, Bora kuchangia gharama za dawa, vifaa tiba kuliko hii wanaita consultation fee, huu ni wizi sawa na Kulipishwa unapoingia stendi kukata Tiketi. Hongera Kishimba Kwa hoja...
7 Reactions
37 Replies
1K Views
Za asubuhi,, Hivi shetani yupo kweli au ni hadithi tu za wazungu ??? Mtu anaamua kufanya ubaya yeye mwenyewe anaanza shetani kanipitia yupo kweli??
3 Reactions
59 Replies
1K Views
KIWANDA cha sukari cha TPC kilichopo mkoani Kilimanjaro,kinatumia kiasi cha sh Bilioni 1.5 kila mwaka kwa ajili ya kusaidia shughuli za kijamii kwa wananchi wanaoishi kuzunguka kiwanda hicho...
0 Reactions
1 Replies
158 Views
TAARIFA KWA UMMA UZUSHI KUHUSU TRENI MCHONGOKO Dar es Salaam, Tarehe 06 Novemba 2024. Shirika la Reli Tanzania - TRC linautaarifu umma kupuuza taarifa potofu zinazosambazwa na watu mbalimbali...
9 Reactions
45 Replies
3K Views
Napenda kufuatilia sana migogoro na vita zinazoendelea duniani. Mambo ya geopolitics. Nipo hapa kukujibu maswali yako yote kuhusu migogoro mbalimbali duniani. swalii lolote
6 Reactions
163 Replies
3K Views
Azam Media mnatia aibu sana, kampuni gani imeshindwa kupata Watangazaji wanaoijua vizuri lugha ya kiingereza? Makocha wa kigeni wanapata taabu sana kusikia na kuelewa kinachosemwa ama kutamkwa na...
16 Reactions
77 Replies
3K Views
GEOGRAPHICALLY North Korea atamvamia South Korea ili kutengeneza Korea ya Mamlaka yao China itazichukua Taiwan na Hong Kong kwa asilimia 100. Russia atamchukua Ukraine, Georgia na vinchi vidogo...
4 Reactions
22 Replies
661 Views
Katika pita pita zangu kuna jambo nimeliona japo kwangu nimelichukulia kwa sura tofauti kidogo hasa kiutendaji Juzi nilibatika kufika halmashauri moja inaitwa mji wa mbulu huko manyara. katika...
25 Reactions
77 Replies
6K Views
nimejenga mazoea na mlinzi anaelnda sehemu jirani, mara kadhaa mida ya jioni huwa tunajuliana hali Katika stories kuna siku aliwah kuniambia kazi inamtesa sana, Usiku ni lazima aingie kazini saa...
11 Reactions
28 Replies
919 Views
Waziri wa Nchi,Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa TAMISEMI Mhe. Mohamed Mchengerwa amekemea migogoro na mivutano baina ya Viongozi wateule na wale wa kuchaguliwa katika maeneo...
0 Reactions
2 Replies
154 Views
Yalotokea kwa huyu kiongozi wa equatorial ni ya kujifunza Hii haki sawa kwa wanawake mwisho wake NI huko kujirahisisha Kama unauwezo wa kuoa na kuitunza familia japo kwa Milo miwili kwa siku...
5 Reactions
30 Replies
932 Views
Vifusi vilivyowekwa barabarani kwa muda mrefu katika Barabara ya Sogea - Machinjioni katika Halmashauri ya Mji wa Tunduma na kusababisha kero kwa Wananchi vimesambazwa na kutatua kero hiyo kwa...
1 Reactions
1 Replies
422 Views
Anonymous (9c5d)
Mamlaka hii inayosambaza Maji ya bomba viijiji vya Lyamungo, Umbwe, Sambarai, Manushi juu na chini, Mailisita, Kimashuku, Mbatakaero, Longoi na Kinamiri, imekuwa kero kwa miezi kadhaa Sasa...
0 Reactions
0 Replies
130 Views
Tanzania inaungana na Umoja wa Mataifa katika utekelezaji wa lengo la 11 la Maendeleo Endelevu kwa kuhakikisha Maendeleo ya Makazi na Jamii zinakuwa salama, jumuishi, stahimilivu na endelevu huku...
0 Reactions
1 Replies
144 Views
Siku ya jana kuna madai toka kwa mkurugenzi mkuu wa TRC kuwa anayo majina ya watu wanaoihujumu treni ya SGR, madai haya ni mazito na TRC haina uwezo wa kuyashughurikia kwa sababu yanahusu jinai...
15 Reactions
67 Replies
2K Views
Mosi,wanaanza kukumiss pale wanapokosa mtu mbadala wa kuchukua nafasi yako pili, hauwezi kuwa imara siku zote,kuna siku huwa na uzuni na upweke pia,kwahiyo usiogope kulia,lia na utoe huzuni...
18 Reactions
41 Replies
846 Views
Kama mdau wa michezo, nina wasiwasi mkubwa kuona jinsi siasa inavyozidi kuingia kwenye michezo, hasa kwenye mpira wa miguu ambao unaunganisha Watanzania wengi. Michezo inapaswa kuwa eneo la umoja...
1 Reactions
0 Replies
150 Views
Naibu Waziri wa Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amemkabidhi Anna Kitundu Mwandishi Mwendesha Ofisi ambaye ni mlemavu wa miguu pesa taslimu Shilingi Millioni moja kwa ajili...
0 Reactions
4 Replies
251 Views
Back
Top Bottom