Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nakumbuka miaka hio maeneo ya mianzini Panya Road kama 20 hivi wanavamia nyumba kadhaa Kila mtu anakuwa mdogo wanachukua wanachotaka kwenye compound nzima let's say apartment 5 basi wanavuruga...
1 Reactions
0 Replies
149 Views
Hivi binadamu hatuwezi kuungana kumuomba kwa dhati Mungu afute kifo, magonjwa na mauti au ndio tutakua tunaingilia mapenzi yake? Au umoja wa aina hii na maombi ya aina hii ndio kutungeneza mnara...
12 Reactions
52 Replies
1K Views
Wananchi wa Kata ya Mabogini wilaya ya Moshi Vijijini wamepaza sauti na kuitaka Mamlaka ya maji safi na uondoshaji majitaka Moshi mjini (MUWSA),kulitafutia ufumbuzi wa haraka tatizo hilo...
0 Reactions
1 Replies
197 Views
Hivi yule kiongozi wa BAWACHA Aliedai alitekwa, akateswa na kudhalilishwa huko kwenye misitu kibiti anaendeleaje kwasasa makamanda? Mwenyezi Mungu amfanyie wepesi apone haraka. Nimewiwa kumjulia...
0 Reactions
2 Replies
223 Views
Ikungi – Singida Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka wananchi wa wilaya ya Ikungi mkoani Singida kufanya mapatano ya amani kwenye migogoro ya ardhi...
0 Reactions
1 Replies
220 Views
Habari wadau. Ukweli nampongeza sana mkurugenzi wa manispaa ya kinondoni kwa kuamua kubadili shule za msingi zilizokuwa swahili medium na kwenda english medium. Hii inawaokoa wazazi kwa...
12 Reactions
41 Replies
4K Views
Toa pendekezo, sababu, elimu na tahadhari Kuanzia umri gani mtoto apewe kitochi cha kuwasiliana N umri upi apewe smartphone
1 Reactions
3 Replies
240 Views
Naomben wadau ambao mshawahi fika katavi tujuzane je panafaa kwenda kuparangana kutafuta maisha Kwa mtu wa hali chini mwenye mtaji chini ya milion? Je Morogoro na Katavi wako pako vizuri zaid ki...
5 Reactions
151 Replies
33K Views
SALAMU KUTOKA UJAMBAZINI.. Najua ukisikia neno “ujambazini” lazima utashtuka kidogo. Nikutoe hofu neno kabisa. Neno ‘ujambazini’ ni jina la eneo kama ilivyo Posta, Masaki au Manzese. Nikupeleke...
8 Reactions
40 Replies
2K Views
Msikiti unaweza kukaa miaka 20 bila kusolve tatizo la ukuta wa fence na waamini bila hata aibu kila siku wataingia kuswali na kuondoka Kwanini Mashekhe wasiombe hata semina na Wakatoliki na...
2 Reactions
7 Replies
401 Views
Temesa ebu tuaangalieni wanakigamboni tunateseka sana sana na hii changamoto ya kivulo kimoja hivi kweli kwa aya mateso viongozi mnapata usingizi kweli
2 Reactions
8 Replies
263 Views
Daktari bingwa wa magonjwa ya Wanawake na Uzazi Dkt. Lilian Mnabwiru wa Hospitali ya Taifa Muhimbili, amesema miongoni mwa sababu zinazoweza kueneza kwa haraka kirusi kinachopelekea saratani ya...
2 Reactions
5 Replies
368 Views
Imetoka Dodoma saa 12 kamili asubuhi. Tangu saa mbili asubuhi, treni imekwama. Sasa inaenda saa 7 mchana, na hakuna matumaini ya kuendelea. Treni iko kilomita 45 kutoka Dar, porini. Wengine...
21 Reactions
126 Replies
6K Views
Serikali itunge sheria ya kukatwa mshahara kwa 10% waajiriwa hela hii ielekezwe kwa wazazi na kama wazazi hawapo pesa hii ielekezwe kwenye mfuko wa familia ya mwajiriwa.
2 Reactions
19 Replies
480 Views
BARAZA la Maaskofu Katoliki Tanzania (TEC) limethibitisha kuwa lina mpango wa kuhamisha makao yake makuu kutoka Kurasini jijini Dar es salaam kwenda Dodoma. Hayo yameelezwa na Makamu wa Rais wa...
2 Reactions
135 Replies
15K Views
Ni takribani miaka 20 sasa tangu mwaka 2004 ambapo Bodi ya mikopo ya wanafunzi wa elimu ya juu (HESLB) ilianzishwa na imekuwa ikitegemewa na idadi kubwa ya wanafunzi wanaomaliza kidato cha sita...
0 Reactions
10 Replies
485 Views
Rose Kimaro mkazi wa kijiji cha Otaruni Kibosho kati wilaya ya Moshi ambaye ni dada wa Getruda Shio anayedai kuwa alipigwa makofi na mkuu wa wilaya ya Moshi, James Kaji ofsisini kwake, ameibuka na...
0 Reactions
4 Replies
567 Views
Huenda sio Mara yako ya kwanza kukutana na matangazo ya kwamba hizi noti zinatafutwa na zinanunuliwa kwa bei kubwa Sana. Huu ni utapeli ambao unafanyika kwa njia zifuatazo👇🏿 👉Baada ya wewe...
3 Reactions
7 Replies
590 Views
Habari wana Jamii Forums, samahanini kwa wale wenye ujuzi wa kisheria, naomba msaada juu ya ni hatua gani za kisheria naweza kuchukua kwa kampuni inayoitwa EROLINK. Kampuni imekua inaleta...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kupitia Wakala wa Nishati Vijijini (REA) imeanza rasmi safari ya kupeleka umeme katika visiwa vyote Tanzania Bara huku ikiwahakikishia wananchi hao kuwa...
0 Reactions
1 Replies
148 Views
Back
Top Bottom