Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Wakuu Kila mmoja na mawazo msimamo na akili yake!. Sijaona point yoyote ya muhimu au kama kunasababu nyingine iongezwe, haijalishi mama atanidhulumu atakuwa amedhulumu Cha mwanae. Haijaliishi...
0 Reactions
2 Replies
186 Views
Watu wengi wanalaumu matajiri kutofundisha vizazi vyao namna ya kuendeleza utajiri wao hata pale wanavyoaga dunia bila kujiuliza sababu zinazosababisha hivyo. Baada ya kutafakari nimeona UKOSEFU...
5 Reactions
24 Replies
829 Views
Kila nikijaribu kulipia mange app kwa e card inakataa,nimewauliza voda wenyewe hawajibu,kama kuna mdau humu anaweza kunipa ufumbuzi nitashukuru
1 Reactions
24 Replies
402 Views
Haya sasa sema kimeumana Dr. Manguruwe akaliwa kooni adaiwa katapeli watu. Bwebwe nyingi huko mtandaoni kumbe nyuma ya camera anayake mambo =================== Katika hali isiyokuwa ya kawaida na...
6 Reactions
53 Replies
3K Views
Kwenye haya maisha kuna watu tumezaliwa na gundu kiasi kwamba toka unazaliwa mpaka unakufa maisha yako ni Magumu tu hata kama Unapambana vipi kujikwamua kwenye huo Ugumu. Inaumiza unaishi kwenye...
9 Reactions
9 Replies
326 Views
Zanzibar: Asha Bakar (40) mtoto wa mwisho kati ya watatu wa familia ya Bakari Juma, Asha ambaye pia ni mama wa Watoto watatu, anayeishi na mume wake kisiwani Unguja, anasimulia safari yake ya...
0 Reactions
0 Replies
360 Views
Assistant Superintendent of Police (ASP) Fatuma Kigondo. Huyu ni afisa wa Jeshi la Polisi. Fatuma ndiye yule ‘afande’ aliagiza ‘JM’ abakwe na kulawitiwa.Assistant Superintendent of Police (ASP)...
34 Reactions
150 Replies
17K Views
zama za usiombe kukutwa na bwana pepsi tumezimiss..siku hizi hata bia hazikai mwezi kiwandani means watu tunakunywa sana sasa kweli mnashindwa kubuni namna ya kurudisha faida kwa jamii kwa...
2 Reactions
1 Replies
145 Views
Mamlaka ya Udhibiti wa Nishati na Maji (EWURA) hivi karibuni imetoa taarifa kwa umma kuhusu maombi ya vibali vya ujenzi wa miundombinu ya mafuta na leseni kwa ajili ya biashara na shughuli...
0 Reactions
0 Replies
143 Views
Kama kichwa cha habari, Naiomba serikali na Wizara husika ikibainika miundombinu imehujumiwa basi Uongozi wakijiji ukamatwe na kijiji husika kifutwe. Hii itasaidia hujuma hili ni pendekezo langu.
0 Reactions
8 Replies
504 Views
Wakuu habari ya uzima? Kama mada inavyojieleza, ningependa kujua kutoka kwa yeyote anayefahamu dawa za hawa mijusi wanaozurula ndani ya nyumba naomba anijuze tafadhali.
2 Reactions
138 Replies
32K Views
'Atavists' ni viungo vilivyorudi kwa bahati mbaya kwenye viumbe ambavyo viungo husika vilishaondoka na kupotea, ila zile 'switch' za kiungo husika zinakuwa tu zimezimwa kwenye vinasaba vya kiumbe...
1 Reactions
8 Replies
4K Views
Wakuu, Nakuja kwenu Afisa Maji wa kujiteua mwenyewe kwa wakazi wa Mbezi Beach na Dar kwa ujumla. Kiukweli Dar kuna upungufu mkubwa wa maji, yaani kadri siku zinazovyoenda hali inazidi kuwa...
0 Reactions
0 Replies
176 Views
Sisi Wananchi wa Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi tunaomba uongozi wetu wa Manispaa uchukue hatua za haraka kuwaondoa wajasiriamali wanaoweka bidhaa pembezoni mwa Barabara ya Mpanda Hotel kwenda...
1 Reactions
2 Replies
356 Views
Wiki iliyopita mida ya jioni nilikuwa maeneo ya Msufini Manispaa ya Singida ambapo rafiki yangu niliyemfata ni Bodaboda, hivyo nikakaa kijiweni kwao kwa muda. Tukiwa hapo akaja boda mwenzao ambaye...
0 Reactions
1 Replies
581 Views
Shirika lisilo la Kiserikali la Relief to Development Society (REDESO) linaendesha Mafunzo ya Matumizi ya Nishati Safi na salama kwa makundi ya Mama lishe, Wakulima wa mbogamboga na madereza wa...
0 Reactions
0 Replies
153 Views
Habari Za Miangaiko Familia yangu humu JF, Naomba Muwe makini na Hizi Benki Mimi uwa Ninatoa pesa kwenye ATM Halafu napata Meseji ya Balance iliyobaki. Sasa Leo nikaamua tu nipige Mahesabu pesa...
18 Reactions
84 Replies
3K Views
Habari za muda huu wanaJF? Natumaini mnaendelea vizuri. Huwa kuna malalamiko, wananchi kuilaumu serikali miundo mbinu na huduma ni mbovu. Hata mimi ni mmoja wapo kwa baadhi ya mambo lakini jinsi...
0 Reactions
0 Replies
145 Views
Kila kitu ninachomuomba hana!!! Nitumie basi vocha sina,utamsikia akijibu unakufaham huku kulivyo maduka yako mbali, kila siku maduka yako mbali, na siku akishuka huko kwenye maduka ukimuuliza...
19 Reactions
122 Replies
3K Views
Mkurugenzi Mtendaji Wa Pwani Youth Network (PYN), Fredy Mtei amesema kuwa hatua ambazo zimeanza kuchukuliwa kuhusu kuboresha changamoto za kikodi zinaleta matumaini ambayo yanaweza kupunguza kero...
0 Reactions
0 Replies
237 Views
Back
Top Bottom