Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Tanzania imepiga hatua kuelekea mfumo wa Kisheria unaowajibika zaidi na wa haki, kama inavyoonekana katika Ripoti ya 2024 ya Mradi wa Haki Duniani (WJP) kuhusu Utawala wa Sheria. Hatua za utawala...
0 Reactions
3 Replies
227 Views
Habari za muda huu wakuu, Nimepita eneo tajwa hapo juu leo hii na kukuta uharibifu wa taa zinazotumia mwanga wa jua. Nafikiri hili jambo lifuatiliwe kabla hasara kubwa haijajitokeza, maana...
1 Reactions
0 Replies
121 Views
Nakupongeza sana! mtu kama umeweza kudumu na namba moja kwa miaka 10 na zaidi ujue wewe ni mtu mvumilivu, huwezi kutelekeza familia wala kutengana na ndugu, jamaa na marafiki.. Hongera zako...
16 Reactions
214 Replies
6K Views
Kwa Mara ya kwanza tangu yapotee mabasi ya Scandinavia Leo nimeenjoy kusafiri kutoka Iringa mpaka daresalaam baada ya kupanda gari za hii kampuni kwangu nawapa maksi za Juu hususani customer care...
15 Reactions
66 Replies
9K Views
Ni shule wasichana mabwepande (Tumaini). Waalimu wamebuni chanzo cha kijiongezea kipato maisha yasonge. Hii ni shule ya boarding kwa wasichana, kidato cha tano na sita. Mwaka huu baada ya shule...
4 Reactions
89 Replies
2K Views
Wa Kwanza kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Sufuria iliyotoboka. Wa Pili kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Jalala Wa Tatu kasema Mwanaume asiyekuwa na Pesa ni sawa na Kinyesi...
10 Reactions
37 Replies
1K Views
1. Maryland Bar, ITV, Mwenge. 2. Hongera Bar, Shekilango Road, Kijitonyama. 3. Chagga Bite Bar, Makumbusho. 4. Mori Bar, Sinza. 5. Nakaleshi Bar, Sinza Madukani. 6. 5N Night Club, Sam Nujoma Road...
40 Reactions
400 Replies
22K Views
Leo kuna polisi Fulani wamenikamata kwasababu Chombo changu cha usafiri hakina plate number (kilikatika kikawa hakiwezi kufungika) Sasa jamaa wamenikamata mmoja akapanda twende kituoni mmoja...
10 Reactions
121 Replies
3K Views
Kuna huyu nabii anaitwa Dr. Elisha Muliri kupitia channel 10 anasema yupo kinondoni, Kuna jambo linanishangaza kutoka kwake ambacho sijaona kwa wengine, Yaani ametoa namba za simu ilo watazamaji...
11 Reactions
171 Replies
7K Views
Usinunue kwa kufikiri unahitaji kuwa na vitu vingi na vizuri ili uonekane ni mtu mwenye thamani. Asubuhi mpaka jioni unaumiza kichwa wapi utapata hela ununue kitu fulani, ukiweke ndani au uwe...
11 Reactions
33 Replies
1K Views
Kuna ajali ilitokea jana maeneo ya Kanambe Wilaya ya Micheweni Mkoa wa Kaskazi Pemba, gari la fuso ambalo lilikuwa limebeba mchanga liliachia njia na kuanguka. Kuna mtu mmoja alipoteza maisha...
1 Reactions
10 Replies
493 Views
Nimesikia Radio Moja hapa nchini ikitangaza mpango wa kujiunga na Green Card kuwa single ni 20,000, na familia 30000/- Huu ni wizi kama wizi mmwingine! Ilitakiwa watoe elimu jinsi ya kujiandikisha...
1 Reactions
5 Replies
298 Views
Mimi ni Mkazi wa Kata ya Yombo Vituka, hapa mtaani kwetu moja ya kero kubwa ni kukosekana kwa utaratibu mzuri wa utaratibu wa kulipia malipo ya taka. Viongozi wetu wa Serikali ya Mtaa wanaweza...
0 Reactions
0 Replies
342 Views
Baada ya trump kuingia madarakani wale wenzangu na Mimi wa green ndo basi tena
2 Reactions
5 Replies
273 Views
Nahitaji mnielekeze kwa ambao wanauelewa au wanajua haya mambo ni wapi naweza pata bank statement kwa kuinunua?
5 Reactions
71 Replies
6K Views
Serikali iruhusu wawekezaji wawekeze wanashindwa ku operate vivuko, kwa sasa kivuko ni kimoja vya azam vinafanya kazi kwa muda mchache kutokana na makubaliano yao. Kero ni kubwa mno inakugarimu...
1 Reactions
2 Replies
237 Views
Kwema wakuu! Mimi ni kijana wa miaka 24 na kazi zangu ni full-time online. Nataka nikimbie nyumbani. Kwa 2.5M kama pesa ya kuanzia maisha, Je! Ni mkoa/wilaya gani Tanzania nzuri kwa kuishi yenye...
5 Reactions
184 Replies
13K Views
Nimeona Bashungwa kajitokeza fasta kusafisha anga baada ya Mwananchi kuja na makala hii, kweli uongozi mtamu! Malamiko kibao juu ya vivuko hivi hayaoni au? Ripoti ya CAG nayo ilieleza jinsi kivuko...
0 Reactions
7 Replies
683 Views
Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Charles Kichere amependekeza TEMESA itathmini mikakati mbadala ya kupunguza utegemezi wa vivuko vya mwendokasi kwakuwa kuendelea kukodisha...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
Wakati wengine wakikimbilia fursa ya mafuta baada ya kugunduliwa, yeye aliiona fulsa kwenye uchafu wa mafuta uliokuwa ukiwakera watu. Anakumbukwa sana kwa kauli yake maarufu isemayo: "Innovation...
8 Reactions
13 Replies
652 Views
Back
Top Bottom