Wanabodi
This is a developing story
Yaani story muendelezo
Jana jioni katika eneo la Magomeni Usalama, Gari Toyota Landcruiser Hard Top No. DFP 8106 Yagonga mtu na kumua kwa ajali, mwanamke...
Siku ya tatu ya Mkutano wa Nchi za Afrika zinazotekeleza Mradi wa Kudhibiti Matumizi ya Zebaki kwa wachimbaji wadogo wa dhahabu (EHPMP) ambapo leo Tarehe 6 Novemba 2024 umelenga kujadili namna...
Na Peres Parpaih (pia anajulikana kama Yehudah Amir Kahalani, jina lake la Yemeni), Moreh (mwalimu) wa Jumuiya ya B’nei Lawi nchini Tanzania
Israeli iko karibu na Afrika Mashariki na ulimwengu wa...
May 17, saa 2:50 (Saa za Afrika Mashariki)
MTOTO Wilson, anayeonekana hapo chini kwenye picha kushoto, leo ameanzishiwa mazoezi ya viungo (Therapy), baada ya zoezi la UPASUAJI kukamilika, na...
Wazee kwema,
Ni kwa namna gani hasa hawa polisi wanaajiriwa na hizo interview zao zinakuaje?.
Juzi nimeenda kumtembelea mzee wangu flani hiv akiwah kuwA kiongozi nchini. Pale getini nimekutana na...
Utekelezaji wa mradi wa ujenzi wa barabara ya Bagamoyo (Makurunge) - Saadani - Pangani - Tanga (km 256) Sehemu ya kwanza Pangani-Tanga (km 50) kwa kiwango cha lami umefikia 75% Sehemu hii ya...
Kampeni ya Taifa ya Mtoto Ni MboniYangu inatarajiwa kuanza Novemba 23, 2024 Zanzibar chini ya Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto, ikisimamiwa na Waziri Riziki Pembe Juma kwa...
NA. MWANDISHI WETU – ARUSHA
SERIKALI imedhamiria kuendelea kushirikiana na wadau katika kutekeleza dhana ya Afya Moja nchini hasa maeneo ya kuzuia, kujiandaa na kukabiliana na milipuko ya...
Amani iwe nanyi, watu wa Mungu.
Kijana wenu hapa Brojust baada ya kupata shida kidogo za kifamilia nimeamua sasa kurudi tena Buguruni na sasa napatikana Buguruni sheli.
kwa kutumia kampuni yangu...
Salam wanaukumbi
Nimejaribu kuperuzi playstore kupata biblia ya kiswahili yenye vile vitabu vya ziada (Tobiti, Wimbo ulio bora, Baruku, Hekima ya Suleiman, Judith, etc)
Mwenye kujua jina tafadhali
Watoto wakiume naona kama ni ngumu sana kusaidiana. Nahisi kama Mungu ananijalia kipato ili niwainue ndugu zangu.
Yaani ninahisi nina jukumu hilo mabegani kwangu, Ila kuna mkubwa wetu mmoja wa...
Muda huu niko makaburini kama mwanajamii na wananchi wenzagu kumsindikiza ndugu yetu hapa mtaani.
Kama mjuavyo, linapokuja suala la kifo, hutumiwi taarifa ya kabla ili ujiandae maana wote ni...
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu, imewahukumu Watanzania 64 kulipa faini ya Sh40,000 kila mmoja au kwenda jela miezi sita baada ya kupatikana na hatia ya kuondoka nchini kwenda Afrika Kusini bila...
📖Mhadhara (57)✍️
Hebu fikiria, tunaagiza magari kutoka Japan na nchi nyingine, jinsi tunavyoyaona magari kwenye mitandao ndivyo ambavyo tunaletewa na kuyapokea bandarini kama tulivyoyaona. Huo ni...
YAH: UTOAJI WA HUDUMA YA VISA ON ARRIVAL KUINGIA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapenda kuwajulisha wageni na wadau wote kuwa haijasitisha utoaji wa...
Kampuni ya Mastermind Tobacco Tanzania Limited inayopatikana Jijini Dar es Salaam maeneo ya Tazara imelalamikiwa na baadhi ya Wafanyakazi wake kwa kuwafanyisha kazi muda mrefu bila kuwapatia...
Husika na kichwa Cha habari hapo juu, nauliza ni kweli Serikali haitambui SHAHADA YA PILI? Kama inaitambua basi tunashkru maana Moto wa kupata shahada hii si kitoto.
Otherwise kazi Iendelee 🇹🇿...
MDAU AMENIELEZA: Katika siku za karibuni, kila asubuhi nyumbani kuna vindege vidogo vinakuja dirishani kama vinadonoa kula wadudu kwa nje, hii inatokea hata ofisini nikifika nje kwna vindege kama...
Mimi ni mkazi wa Kahama Mjini, na ningependa kuwasilisha malalamiko kuhusu sekta mbili: Kahama Urban Water Supply (KUWASA) na Tanesco Kahama.
Huduma ya umeme imekuwa kero, kwani umekuwa ukikatika...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.