Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
NAMBA ZA OFISI ZA WAKUU WA POLISI WILAYA(OCDs) MIKOA YOTE Ndugu Balozi/Mtumiaji wa Barabara Tafadhali hifadhi namba hizi kwenye simu yako ili kukurahisishia kutoa taarifa za matukio ya kihalifu...
3 Reactions
21 Replies
7K Views
Wakala ya Barabara Tanzania (TANROADS) Mkoa wa Dar es Salaam inatekeleza mradi wa matengenezo (maintenance) ya miundombinu ya mabasi yaendayo haraka (BRT) awamu ya kwanza chini ya mradi wa OPBRC...
2 Reactions
10 Replies
508 Views
Habari zenu ndugu zangu, Nami nichukue fursa hii kushare japo kwa uchache uzoefu nilioupata katika mapambano ya kupigania uhai dhidi ya maamubikizi ya maradhi ya virusi vya corona Covid-19/ SARS...
21 Reactions
80 Replies
7K Views
Halmashauri ya wilaya ya Rorya ni halmashauri zilizoanzishwa miaka kadha huko nyuma, mbali na kwamba halmashauri hii imeshachukua muda mrefu tangu kuanzishwa kwake lakini kuna huduma zingine...
1 Reactions
4 Replies
864 Views
Ujenzi wa njia nne katika halmashauri ya Jiji la Mbeya umeshika Kasi sana,ujenzi huo unaanzia Nsalaga Hadi Ifisi Barabara hizo pindi zitakapokamilika zitasaidia sana kupunguza msongamani...
1 Reactions
2 Replies
573 Views
Hivi mtu aliye na Diploma akiingia Jeshini (JWTZ) anaanza na Cheo gani?
9 Reactions
57 Replies
3K Views
Nakumbuka jumapili moja nikiwa Sina hata 100 mfukoni nikiwa nawaza nafikaje kesho chuo maana kwenda na kurudi ni 1200 basi mida ya saa mbili najiandaa kwenda kanisani mara nikapigiwa simu na namba...
4 Reactions
2 Replies
238 Views
Ukweli ni kwamba maisha tunayoishi leo ni matokeo ya maandalizi ya Jana, Tulichokiishi Jana ndio kina aksi maisha ya leo. Ni ukweli kwamba kile tunachokiita laana na Dhambi kubwa kufru na...
4 Reactions
4 Replies
250 Views
Biblia moja inatumiwa na Wakristo wengi japo wengine ina vitabu 66, wengine ina zaidi ya vitabu 66. Wanaotumia vitabu 66 kuna vingine walivipunguza kwa sababu mbalimbali, ila Wakristo wengi...
2 Reactions
22 Replies
1K Views
Mkuu wa Mkoa wa Tabora ametoa miezi mitatu kwa halmashauri zote mkoani hapo, kutenga maeneo yatakayokuwa na miundombinu ya kujificha ya kutengeneza na kuuzia masanduku ya kuzikia maiti (majeneza)...
8 Reactions
22 Replies
737 Views
Mkazi wa Mtaa wa Kyamaizi, Kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba, Abdul Suleiman (30), amefikishwa katika Mahakama ya Wilaya Bukoba akikabiliwa na kesi mbili za kuwabaka na kuwalawiti wanafunzi...
2 Reactions
38 Replies
1K Views
Nimejaribu kufanya utafiti mdogo tu, nikagundua ni rahisi waajiriwa kuwaonea au kuwakemea wale wote waliopo chini yao, lakini hawa waajiriwa kwa mabosi zao wanakuwa na nidhamu ya woga au unafiki...
1 Reactions
6 Replies
234 Views
Wakuu hivi ile filamu ya kitanzania iliyojulikana kama Eonii ambayo ilipigiwa sana Promo na watu kuifananisha na movie za hollywood imeishia wapi? Soma pia: EONII 2023 movie ya kwanza kali ya...
1 Reactions
9 Replies
426 Views
Jenerali Musugiri ambaye amewahi kuwa Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi wa Tanzania [JWTZ], amefariki dunia leo Oktoba 29, 2024 jijini Mwanza alikokuwa akitibiwa. Mazishi yanatarajiwa kufanyika...
19 Reactions
196 Replies
14K Views
Haya sasa matukio yamezidi ya wanandoa kufanyiana ukatili kila wakati. Tufanyaje kuyapunguza kwa kiasi kikubwa matukio ya wanandoa mh maana inaogopesha sana? ========================= Mtu mmoja...
6 Reactions
38 Replies
1K Views
Mwanamke anayefahamika kwa jina la Getrude Shio mkazi wa Marangu mkoani Kilimanjaro, amedai kuwa amepigwa kofi na mkuu wa wilaya ya Moshi ndugu James Kaji ikiwa ni baada ya kukataa kutoa cheti cha...
6 Reactions
31 Replies
2K Views
Kwakweli muhimili wa habari ni muhmu sana kwa maendleo ya nchi yeyote inayojtambua dunia. Ukija Afrika huku ni tofauti kdogo sio kwenye siasa, uchumi, michezo, biashara na technolojia na sayansi...
2 Reactions
6 Replies
233 Views
Kuna uwezekano wa kwamba kuondolewa kwa Songas kumechangia hali hiyo, hasa kama kulikuwa na utegemezi mkubwa kwenye mitambo yake ya kuzalisha umeme. Songas ilikuwa na jukumu kubwa katika...
0 Reactions
1 Replies
354 Views
Maana ya Talaka Sheria inayosimamia masuala ya talaka ni sheria ya Ndoa ya mwaka 1971. Na kwa mujibu wa sheria hiyo, “Talaka ni ruhusa ya kisheria ambayo mume au mke hupewa wakati anapomwacha...
2 Reactions
1 Replies
1K Views
Eneo la Msufini, Manispaa ya Singida ni mashughuli na maarufu kwa biashara hapa Singida. Shughuli nyingi za biashara za aina mbalimbali zinafanyika karibia eneo lote la Msufini. Kinachosikitisha...
1 Reactions
1 Replies
438 Views
Back
Top Bottom