MWANANGU nisikilize kwasasa Wanawake watakuacha saaana tu, Mabinti hawatodumu kwenye maisha yako ila lisikupe shida, kanuni ya maisha ni kuwa Paka hakai na Msela, mara atakwambia haupo romantic...
Mosi,unajua unaweza usikubaliane na watu baadhi ya mambo bila kuvunjiana heshima,na unaweza usikubaliane nao bila kupandisha sauti yako. Naam pamoja na kutokubaliana na watu katika baadhi ya mambo...
Ndoto ni dirisha ambalo unaweza kuchungulia na kuona nini kinachokuja mbele yako, au ni jambo gani ambalo limekuzunguka lakini hujatambua au hulioni katika fikra na macho yako.
Sasa ni Mungu...
Mimi ni Mkazi wa Gongo la Mboto Majohe, Dar es Salaam, huku kwetu kuna tatizo la uchimbaji mchanga sana, sisi Wananchi tunahofia Bonde linaweza kutanuka kutokana na uchimbaji huu
Wanaofanya hiyo...
Nimetembelea minada kadha kadha ya korosho huku kusini. Kuna ufuska wa kiwango cha lami. Wadada kibao wanajiuza huku. Vingine vitoto vidogo kabisa ambavyo sidhani hata kama vina miaka 17.
Kwa...
Habarini wana jamii wote,nimeota nimeingia hospital nikamuona daktari wa kike akaniuliza majina yangu nikamtajia akaniambia, "kwanini baba ako anakufanyia hivi"?
Then akanichoma sindano akavuta...
Wataalama wa mambo ya treni, mje kunijuza ni kwa nini treni ya mchongoko (EMU) inatumia vichwa viwili kimoja mbele na kingine nyuma? Kwangu naona ni gharama zinazoepukika ikiwa kuna uwezekano wa...
Kila siku tunasikia mijadala inayoibuka kuhusu privacy kwenye mahusiano, na swali kubwa ni hili: Je, wanandoa wa kisasa wanapaswa kupeana password za simu zao au kila mtu abaki na yake? Tuko...
Siku chache baada ya baadhi ya Wanachama wa JamiiForums.com kuandika maandiko ya kulalamikia Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kutokana na changamoto ya kukatika kwa umeme mara kwa mara katika...
Viwanda vile huitwa Cottage au SSI's kiufupi ni households industries, Karibia asilimia 45 ya vijiji vya Pakistan vinajitosheleza kwa mahitaji ya Viatu, Pamba kutoa nguo, spare za pikipiki...
Kwako Mwabukusi, TLS na wadau wote wanaoguswa na ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji wa utu (dignity) wa mwanadamu nchini.
Hali za mahabusu na magereza hapa nchini ni ambazo hazifai...
Hello!
Ishara ni kitu muhimu sana, ishara sio ushirikina. Kwa wenye huduma ya kinabii watanielewa zaidi, maana Iinafanya kazi kwa ishara mostly. Ipo sauti ya moja kwa moja, yapo maono ya moja...
Hii ni kutokana na utegemezi wao mkubwa kwa rasilimali za asili, kama vile maji na ardhi kwa ajili ya kilimo, ambazo huathirika moja kwa moja na mabadiliko ya hali ya hewa.
Ukame, mafuriko, na...
Hello...
Jijini hapa mihangiko mingi.
Wengine wamwaga zege.. Jioni mtu yuko hoi. Anaamka usiku anarudi usiku muda hautoshi.
Huo muda wa kwenye daladala wakati wa kusafiri. Ndio muda wengine...
Wakuu kwema?
Hii naileta kama hoja binafsi, tafadhali wadau emu jambo hili tulitafakari kwa umakini.
Matokeo ya darasa la saba, huwa katika mtindo huu: mfano:
Richard Zembwe Kiswahili-A...
Tafuteni hela, ni umasikini tu ulikuwa unawasonga
Bado private schools ni bora kuliko St Kayumba.
Hakuna mtu mwenye uwezo na anayejua maana na umuhimu wa elumu atabisha, mwaka huu kayumba wengi...
MHE. ZAYTUN SWAI, Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Arusha Akichangia Bungeni Kuhusu Mapendekezo ya Mpango wa Maendeleo ya Taifa wa Mwaka 2025/2026.
"Katika utekelezaji wa miradi mikubwa ya kimkakati...
Hoja Za Mungu ni ngumu kuelewa ila pia ni nyepesi kuelewa ukitumia akili vizuri sana
Let me go straight to the topic
Kwanini Mungu ameruhusu wanadamu kuteseka? Ukweli ni kwamba Mungu Hajaruhusu...
MABADILIKO YA RATIBA YA NDEGE
YA MUMBAI-DAR ES SALAAM
04 Novemba 2024, Dar es Salaam
Kampuni ya Ndege Tanzania (ATCL) inapenda kuutaarifu umma kuwa ratiba ya leo ya safari ya kutoka Mumbai...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.