Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Watanzania na mitazamo Shule za msingi na sekondari za serikali ...... wananchi response :rolleyes: Hospitali za serikali ....... wananchi response:rolleyes: usafiri wa umma...
0 Reactions
0 Replies
117 Views
Kuna kijana kwenye mtandao wa kijami ameibua mjadala ambao nimeusikia na Clouds kwamba Tanzania kuna tabia iliyoota mizizi ya ya raia kujichukia sana(self-hate mentallity). Mifano yake aliyotoa...
2 Reactions
6 Replies
255 Views
Huyu bwana ni kama tulikua tumeshampoteza, lilikua ni suala la kuhesabu siku tu maana hata mkewe alikua kamkatia tamaa. Wakuu mambo haya yasikieni nyie akina min -me , hiv watu mnapata wapi...
62 Reactions
195 Replies
8K Views
Kuna taarifa zinazotengenezwa na kusambazwa katika makundi sogozi yenye nia ya kudanganya ili kuleta taharuki kwa umma kumhusu Franco Kashaija Ruhinda kuwa haijulikani alipo toka alipowasili...
4 Reactions
45 Replies
3K Views
SERIKALI KUJENGA BARABARA ZILIZOHARIBIWA NA EL NINO Waziri wa Ujenzi Innocent Bashungwa amesema Serikali imekabdhi barabara zilizoharibiwa na mvua za El Nino na kimbuga Hidaya kwenye mikoa ya...
0 Reactions
0 Replies
94 Views
Naam ni siku nyingine tulivu na angavu, ili uwe Mwanaume Halisi usiyeyumbishwa kaa hapa fuatana nami hadi mwisho 1: Chochote kile unachokifanya kujitenga na umasikini basi kifanye kwa weledi...
2 Reactions
5 Replies
276 Views
Nimepata nafasi ya kupita jeshini kwa mujibu wa sheria (Operation Kikwete). Nimekua nikujiuliza ni nidhamu gani wanafundisha kule? Lugha zinazotumika sio za staha kabisa. Nyimbo za matusi ni...
5 Reactions
13 Replies
875 Views
Ila ujana kazi sana kwakweli🤣🤣🤣fikiria hapa Kuna mtu anaishi kwenye hiki chumba na yupo sawa kabisa🤣🤣🙌🙌Mimi Kwakweli nikiingia hapo ndani nikitoka nje mnishike mkono Kwasababu nitakua naona...
7 Reactions
12 Replies
359 Views
Mmiliki wa stendi ya jiji la Arusha hana bajeti ya kukarabati na kufanyia usafi jengo la abiria? Jengo nichafu mabati yana vuja mpaka wanaweka maturubali juu yake. Kama mnajenga stendi mpya tangu...
2 Reactions
5 Replies
414 Views
Kuna wahubiri siku hizi wanauza maji, chumvi ama mafuta ili kutatua shida za watu (sina uhakika kama vinatatua). Bei zao ni kubwa sana na wanaingiza pesa ya kutosha. Swali, Je, kuna haja walipe...
6 Reactions
33 Replies
527 Views
Kwema ndugu zangu. Kama mada inavojieleza, leo nikiwa nimelala kunasauti inanijia kwenye njozi ulime. Kusema kweli ni saut ambayo inaukweli ndani yake but kinacho niumiza kihisia ni kwamba sina...
1 Reactions
1 Replies
155 Views
Ndoto unazoota pindi unapokuwa umelala zote zina maana ,hakuna ndoto unayoota isiyokuwa na maana. Mambo yote yanayotokea liwe jambo jema au baya huanza kwanza kutokea katika ulimwengu wa roho...
16 Reactions
66 Replies
4K Views
Nafahamu kwamba suala la uumini au dini ni pana, kuna baadhi ya mambo kulingana na Katiba yetu na miongozo mbalimbali Serikali inaweza kufungwa mikono kuyaingilia moja kwa moja, lakini kuna...
0 Reactions
1 Replies
210 Views
abduction: the action of taking someone away by force or deception. Kwa definition hiyo, mnachokifanya ni KUTEKA WATU. kama hakuna utekaji, mpigie simu aje, au mkamateni wakiwepo wanaomhusu huyo...
2 Reactions
2 Replies
200 Views
Je hii ilikuwa Tamthilia, hekaya ama uhalisia? Je inaweza kuwa vyote vitatu? Mazingira yalikuwa kijijini.. Na Ngoswe alienda huko kama afisa wa serikali kuhesabu wanakijiji kwenye zoezi la Idadi...
6 Reactions
17 Replies
757 Views
Mimi ninaweza kukaa siku nzima fresh tu nikiwa na mawazo ya kawaida ila inapofika saa moja jioni aisee mikazo naona ndo inazidi..yaani likianza tu giza kidogo -mawazo ya majuto kuhusu mikopo na...
2 Reactions
20 Replies
675 Views
Campaign kubwa ya Kitaifa ya Cassava for life yazinduliwa Kilindi Mkoani Tanga. Naibu wa Waziri wa Kilimo Mh Omary Mgumba amezindua kampeni kubwa sana Nchini ya Cassava for life Kilindi Mkoani...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Je ni Muda ndio huleta nafasi au nafasi ndio huleta muda Mwanzo 1:1 [1]Hapo mwanzo Mungu aliziumba mbingu na nchi. Wataalamu wa haya mambo naomba mtupe maarifa kwenye huu mjadala.
0 Reactions
0 Replies
127 Views
Ni ndani ya jiji muhimu la kibiashara la Dar es Salaam, lakini umeme unakata bila taarifa je kwa mikoani yawezekana karibia kila siku umeme unakata. Soma pia: Tatizo la umeme mkoani Tabora
1 Reactions
6 Replies
195 Views
Nnaimani mnaendelea vizuri wanajamii forum, Kama kawaida yangu kuwaleteeni Mikasa inayonitokea kwenye maisha yangu, sababu hapa ndio sehemu pekee nisiyojulikana uhalisia wangu, napata uhuru zaidi...
20 Reactions
177 Replies
5K Views
Back
Top Bottom