Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Ndugu zangu kwanza natanguliza samahani zangu kwa yule yeyote nitakae kwenda kumkwanza kwa njia moja au ingine. Mr. Liyumba ni mfanyakazi wa Benki kuu ya Tanzania BOT, kazi ambayo Labda kutokana...
4 Reactions
98 Replies
26K Views
Hivi Nguema ni jina au title? Msaada tafadhali..
2 Reactions
10 Replies
399 Views
DAR ES SALAAM, Nov. 4 (Xinhua) -- Idadi ya watalii kutoka China wanaotembelea vivutio vya utalii vya Tanzania imeongezeka kwa kiwango kikubwa tangu kumalizika kwa janga la COVID-19, afisa mmoja wa...
1 Reactions
4 Replies
354 Views
Unaomba Mungu eti akupe kicheko wakati kuna mtu umemfanya alie. Hutapata kicheko kutoka kwa Mungu labda cha kujitekenya mwenyewe.
3 Reactions
4 Replies
194 Views
Wakuu habarini. Hizi serikali zetu ngozi nyeusi zinapenda sana mambo ya kipuuzi ili kuzima ajenda zao Kwa wananchi Kwa serikali yenye watu wenye akili kulikuwa na haja gani ya kuvujisha zile...
0 Reactions
0 Replies
404 Views
Leo ndo nimeamini elimu haina mwisho Dr Manguruwe ameshtakiwa Kwa makosa 28, Likiwepo kosa la kucheza upatu, ambapo kidogo imenishangaza, nikaona kiama kimefika Kwa vijumbe mtaani
1 Reactions
0 Replies
179 Views
Yaani tangia Kikwete aruhusu wazazi wa kiislamu watoto wao wawavalishe hijab basi watoto wadogo wengine hata kutembea mtu amemvalisha hijab na ya kubana kabisa na joto hili😳😳😳 kwanza shule za...
15 Reactions
140 Replies
6K Views
Hahahahahah Mwakasege bana..... Huyu jamaa ana wivu sana na Mwamposa.....anatabia ya kung'ata na kupuliza.....I mean...anapenda kumponda Mwamposa kwà waumini wake kisirisiri......afu akimaliza...
12 Reactions
294 Replies
20K Views
Mbunge wa Geita Mjini Constantine Kanyasu amesimama Bungeni Leo ambapo amesema kuwa nchi imekosa vipaumbele ikiwe cha kuwalazimisha wanafunzi kusoma masomo ya wasiyotaka kwa hoja ya kupata mikopo...
2 Reactions
5 Replies
244 Views
Salam kwenu. Naona sasa imekuwa kero sana kwa makampuni ya simu kuamua kuzifanyia usajili upya namba simu kwa kigezo hazijatumika kati ya miezi 3 hadi 6. Leo nimemtafuta mtu kwa namba ta tigo...
12 Reactions
25 Replies
876 Views
Nimeona miaka ikienda lakini stendi ya Tegeta Nyuki ambayo ni moja ya stendi kubwa tu inayobeba magari mengi yanayofanya safari zake maeneo mengi katika Jiji hili la Dar es Salaam. Kwa mfano kuna...
0 Reactions
1 Replies
215 Views
Miaka ya 2000- 2010 vijana wazito darasani (slow learners) kazi yao kubwa ilikuwa kuzifukuza D mbili tu ili waingie kwenye majeshi yetu. Yes, it was simple, mchawi D mbili tu. Sasa hivi karibuni...
7 Reactions
25 Replies
938 Views
Wajameni watu wa Lindi na Mtwara na wilaya zake zoooote acheni Tabia ya kula ngozi ya ng'ombe mkiifanya eti supu, yaani juzi nimeenda Kijiji flani nikakuta jungu liko juani Tena kijiweni mchana...
27 Reactions
111 Replies
2K Views
Polisi huko Mwanza Wametoa taarifa ya Mwanamke mmja kuuwawa na mumewe baada ya Mke kumtuhumu Mume Kwa sababu alikuta sms ya mapenzi kwenye simu ya Mwanaume. Baadae Mume alikimbia ila akazidiwa na...
3 Reactions
42 Replies
3K Views
Bei ya vifaa vyote na kuwekewa ni shilingi laki 9. kifurushi kinadumu kwa mwezi, nadhani anapanga bei kwa kuangalia uchumi wa nchi, Marekani ni 230,000/= , Nigeria ni 98,000, Hapa Kwetu si ajabu...
74 Reactions
158 Replies
11K Views
Heri kwenu wakuu. Kwanza nianze Kwa kusema wakuu jibane bane ujenge uwe na kwako.hata kama ni chumba na sebule tu.Ni heshima kubwa mno kwako na hata Kwa demu/mke wako. Kipindi hicho Sina ramani...
6 Reactions
37 Replies
2K Views
Hayati Privatus Mutekanga Karugendo: 1956-2021 Tangu mwaka 1990 nilipokuwa kidato cha tatu katika Seminari ya Katoke (Biharamulo) hadi leo nimemfahamu Hayati Privatus Mutekanga Karugendo (65)...
25 Reactions
182 Replies
22K Views
WAZIRI wa Elimu, Sanyansi na Teknolojia, Prof.Adolf Mkenda, ametahadharisha kuwa kuna hatari kubwa teknolojia ikawaleta makanjanja wengi kwenye tasnia ya habari ambao hawana elimu na masuala ya...
0 Reactions
0 Replies
198 Views
Bukoba Kikao cha Kamati ya pamoja cha wataalamu wa Tanzania na Uganda kimeanza mkoani Kagera nchini Tanzania kujadili uiamarishaji mpaka wa kimataifa baina ya nchi hizo. Kikao hicho...
0 Reactions
0 Replies
274 Views
Back
Top Bottom