Nimekuwa nikijiuliza hili swali kwa muda mrefu na leo nimeamua niulize humu ili nipate pia mawazo yenu. Viumbe wengi waliopo duniani wamekuwa na maumbo ya kufanana japo wapo kwenye species...
Kuna mtu aliwahi kupost uzi kuwa mwafrika hatakiwi kupewa bima ya afya ya bure na serikali kwa sababu ya ujinga wake
Mwafrika ni wajinga,watakunywa maji machafu,watafanya ngono zembe na watu...
Wahusika.
Hakuna asiyependa maendeleo, lakini kinachofanyika kwenye barabara hii kutoka mzunguko wa kwenda feri hadi Daraja la Mwalimu Nyerere ni kero.
Kama hakukuwa na fedha za kutosha...
Kati ya mwaka wa 2006 na 2024, zaidi ya waandishi wa habari 1,700 wameuawa kote duniani, na karibu asilimia 85 ya kesi hizo hazikufikishwa mahakamani, kulingana na ripoti ya Shirika la Umoja wa...
Kama mjuavyo teknolojia ilivyotaradadi Kila Kona ya Duniani. Utazamaji wa Television (TV) umekuwa haukwepeki.
Shida katika maudhui yanayorushwa kuna maudhui yasiyofaa kuangalia na vijana wetu...
Habari za Sasa hivi wakuu?
Hatimaye baada ya kusubiliwa kwa mda mlefu leo hii Trump kachukua kiti
na sio mda anaingia kulitumikia taifa kubwa zaidi duniani hasa kwenye maswala ya uchumi...
Katika hatua ya kuashiria kuanza kwa utekelezaji wa mradi maalum wa kuwawezesha Wanawake kiuchumi, Benki ya Equity Tanzania imesaini mkataba na Taasisi ya ADC Tanzania na washauri wabobezi wa...
Wakuu, weekend hii nimeingia Mbeya kwa ku-drive toka Dar, na nikashangaa sana kukuta maendeleo kidogo sana ya ujenzi wa hii barabara ya kwenda Tunduma hadi Zambia toka nitembelee hapa miezi minne...
Tarehe 30 Oktoba 2024 kituo cha habari cha NPR, kiliweka wazi kuwa Harris atatumia usiku wa uchaguzi katika Chuo Kikuu cha Howard, HBCU ambayo ni mahali palipo na mchango mkubwa katika...
Sasahivi ukifika Kariakoo ni vurugu sana za pikipiki na Bajaji. Yaani ni mafuriko.
Nadhani hizi Bodaboda na Bajaji zisingeruhusiwa kuingia Posta na Kariakoo. Mbona vile vidaladalq vidogo/Hiace...
Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kushuka kwa bei za mafuta ya petroli na dizeli nchini kwa mwezi Novemba 2024, ikilinganishwa na bei za mwezi Oktoba.
Kwa mujibu...
Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika...
Jeshi la polisi mkoani Kagera limewakamata watu wawili kwa tuhuma za kumtapeli mwalimu mstaafu zaidi ya Shilingi milioni 100 kupitia simu yake ya mkononi ambayo imeunganishwa na akaunti yake ya...
Bei ya Grand malt iliyozoeleka ni elf 2 na mia tano lakini sikuhizi kuna maduka unapata kwa elf 2
Nilianza kununua za elf 2, Sijajua kama koo na ulimi wangu vina matatizo lakini nahisi kuna vitu...
Ukame au Mafuriko yanapotokea Wanawake hutembea umbali mrefu kutafuta maji safi au ardhi ya kilimo, wakikabiliana na hatari ya Kubakwa au kulawitiwa
Mabadiliko ya tabianchi yanazidi kuathiri...
Habari zenu wakuu, bila shaka nyote ni buheri wa afya, kwa wenye magonjwa mola atawasaidia.
Pasi na kupoteza muda naomba niende kwenye lengo la andiko langu.kumekuwa na habari nyingi kuhusu Mt...
Matokeo ya awali yanaonesha kuwa mgombea wa chama cha Republican Donald Trump amepata kura 198 za wajumbe wa kamati maalum ya uchaguzi nchini Marekani, ambayo inamchagua Rais maarufu kama...
Bunge linaendelea na kipindi cha maswali na majibu ambapo wabunge wanauliza maswali na Mawaziri wanatoa majibu. Tufuatilie yanayojiri moja kwa moja kutoka viunga vya mji wa Dodoma...
1. Sehemu za Kuabudia Airport iwe takwa la Kisheria na sio hisani kama inavyofanyika sasa au kupendelea upande moja.
2. Laiti airport pangejengwa Kanisa tu sijui hali ingekuaje mpaka sasa.
NB...
Kuna misemo kwamba ukiona bosi kakalia kiti cha kuzunguka (lugha ya mafumbo kutoboa) ujue kafanikiwa, fanya kazi kama mtumwa uishi kama mfalme, n.k.
Hio misemo ni kwajili yetu tuliotokea familia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.