Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Mimi binafsi kabla kuanza kujitegemea nilipitia kukaa kwa ndugu wawili 3, experiences zipo za kutosha lakini ninazo kumbuka haraka haraka ni hizi Experience mbaya[emoji1484] 1. Nilifika kwa...
52 Reactions
452 Replies
41K Views
Ni jambo lililozoeleka kusikia wabongo kutukanwa na kushushiwa vipigo kwenye baadhi za ofisi za wahindi na biashara, hali hii ilikuwa tofauti kwenye kiwanda flani cha waarabu. Kuna siku Moja ya...
8 Reactions
13 Replies
404 Views
Aina ya risiti zao Leo asubuhi kina mama wa Mtaa wa Kilungule B Kata ya Kimara, Wilaya ya Ubungo wameamka na vilio baada ya kutapeliwa na watu waliokuja kufanya mnada wa vyombo mbalimbali kama...
3 Reactions
19 Replies
937 Views
Nawakumbusha tu, Amiri Jeshi Mkuu wa Kwanza wa Nchi hii, Julius Nyerere mwaka 1980 alimteua Jenerali David Musuguri kuwa Mkuu wa Majeshi. Wote hawa ni wazaliwa wa Butiama. Miaka 37 baadae, John...
1 Reactions
0 Replies
201 Views
Naibu Waziri wa Nishati, Judith Kapinga amesema Serikali inatekeleza mradi wa kuiunganisha Mikoa ya Mtwara na Lindi na umeme wa gridi kutokea Songea kwa kupitia njia ya Tunduru, Masasi...
0 Reactions
1 Replies
244 Views
Tanzania imezidisha juhudi za kupunguza matumizi yatokanayo na zebaki ambayo hutumiwa sana na wachimbaji wadogo wa dhahabu (ASGM) lakini inatajwa kuwa ni hatari kwa afya na mazingira. Mhandisi...
0 Reactions
1 Replies
194 Views
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Albert Chalamila kwa niaba ya serikali ya mkoa huo ameanzisha hamasa ya kuanzisha mfuko mahsusi kwa ajili ya wasanii wa 'maigizo' pekee ambapo kwa kuanzia itatolewa...
0 Reactions
3 Replies
345 Views
Nimeona hili nliandikie uzi wake baada ya kupata mikasa mbalimbali kutokana na leo mbwa wangu kuamka ghafla haoni. Jijini Mwanza nmejenga sehemu flani Kms 40s toka Mjini. Of course pia kuna...
1 Reactions
8 Replies
2K Views
Wakuu salama? Leo kwenye pita pita zangu nikakutana na watu wanalalamika masharti ni mengi sana kwenye nyumba waliyotaka kuhamia na hivyo ikawapalekea kutokulipa kodi kutokana na mashrti kuwa...
6 Reactions
60 Replies
2K Views
Tanzania ni moja kati ya nchi ambayo ukiwa askari ni utaogopwa sana. Inasemekana mmoja wa wale waliohukumiwa maisha jela kosa kosa la kubaka na kumlawiti binti wa yombo, maarufu Nyundo yupo...
3 Reactions
49 Replies
2K Views
Ahadi ni kiapo au neno la kutimiza jambo fulani lililoahidiwa. Katika mtazamo wa kibiblia, kutimiza ahadi ni kiini cha uadilifu na uaminifu, na mara nyingi huonekana kama kipimo cha tabia ya mtu...
0 Reactions
0 Replies
272 Views
Wakati unamlaumu mzazi kuwa maskini jiulize wewe hadi Sasa unapambanaje na umaskini hasa wa familia Yako au nawewe unasubiri uje usemwe na wanao?? Tanzania tumejaliwa kuwa na maeneo mengi ya...
2 Reactions
4 Replies
190 Views
Serikali itaendelea kuboresha bajeti ya Mamlaka ya usimamizi wa wanyamapori(TAWA), Hifadhi ya Eneo la Ngorongoro (NCAA) na Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA) kutegemeana na hali ya ukusanyaji wa...
0 Reactions
1 Replies
223 Views
Nimesikia matangazo kwamba wanatoza watu pesa kwa ajili ya US Visa lottery wakati hii kitu ni bureee kabisa na mtu unatumia dk 3 mpaka 5 kujaza online form buree kabisa na ofisi ya US immigration...
1 Reactions
6 Replies
267 Views
Tukiwa wadogo kulikuwa na watu fulani mjini kazi yao wanatembea na picha za watu maarafu kama Michael Jackson, Bill Clinton, n.k wakiwa wamepunga mkono wenye vidole viwili vilivyonyooshwa ambayo...
5 Reactions
51 Replies
2K Views
"Nakupa vinchenchi nakupa visenti mbona hautaki kutulia" wivu mama wivu! 1. Miaka hiyo wakati naingia kwenye tasnia ya mahusiano nilidhani nikimpa🤣visenti ndo atatulia aah nilijidanganya kumbe...
1 Reactions
2 Replies
227 Views
Na sababu kubwa ni kwamba Uislam sio dini tu, upande mwengine ni mfumo wa kisiasa !! Nchi ikishajaa waislam basi uislam unaingia kwenye sheria za nchi zifatwe hata kwa wasio waislam, idadi ya...
33 Reactions
161 Replies
7K Views
Salaam, Sisi ni kikundi cha Wakulima chenye Wanachama Wakulima 62 tunapatikana Manispaa ya Songea. Tunalima kwa mikopo ya Benki NMB tulianza kukopa Tsh. 7,000,000 na sasa tunakopa hadi Tsh...
0 Reactions
3 Replies
406 Views
Baada ya Mwachama wa JamiiForums.coma kulalamikia changamoto ya Huduma ya Mtandao katika Mfumo wa NeST, ufafanuzi umetolewa na mamlaka inayohusika Kusoma hoja ya Mdau kwa zaidi bofya hapa ~ PPRA...
0 Reactions
0 Replies
335 Views
Kuna kitu cha ziada kwenye mmea jamii ya bhangi, kitu hicho chenye mahusiano na mambo ya kiroho ama jicho la tatu..... Moshi wake ni mwepesi sana na unapovuta jani tofauti na sigara nyingine...
34 Reactions
239 Replies
37K Views
Back
Top Bottom