Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Nimekuwa nikifanya ishu Na harakati mbalimbali Na watu tofauti hasa vijana, lakini nimekuja kugundua vijana wengi wa mwanza wenye umri ( 22-30) ni washamba sana, waoga wa maisha yaani hawajiamini...
8 Reactions
32 Replies
976 Views
Mrembo wa Nigeria aliyefutiwa Uraia nchini Afrika Kusini, Chidimma Vanessa Adetshina ameshika nafasi ya tatu Duniani kwenye Miss Universe Pre Arrival Hot Picks. Soma, Pia: Afrika Kusini yamfutia...
0 Reactions
5 Replies
340 Views
Story kutoka mtandaoni Facebook 👇👇 Masudi anaelezea "Siku moja mida ya usiku nipo maskani tumepaki bodaboda zetu na washkaji zangu ikaja gari ikapaki pembeni ya bodaboda zetu. Ndani kulikuwa na...
2 Reactions
3 Replies
592 Views
Ripoti ya Shirika la Kimataifa la Wanawake, (UNWomen) iitwayo Feminist Climate Justice: A framwork for Action ya Mwaka 2023, imeeleza kuwa Kutokuwepo kwa usawa wa kijinsia pamoja na tofauti...
1 Reactions
0 Replies
405 Views
JE UNASALI NA MWENZA WAKO PAMOJA? FAIDA ZA MUME NA MKE KUSALI PAMOJA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli 1. Kusali pàmoja kûna epusha migogoro isiyo na ulazima. 2. Kusali pàmoja kûnawapa Muda wa...
9 Reactions
20 Replies
624 Views
Baada ya kuwa Batman ameshindwa kumuelewa The Joker kuhusiana na njia zake za vurugu pamoja na makusudio yake maana waharifu wengi makusudio yao ni kujipatia pesa ila the joker haeleweki. Ndio...
3 Reactions
6 Replies
230 Views
Leo nimeujaribu huu mchezo nimegundua watu wanatapeliwa, ukweli ule mchezo huwezi kushinda pesa nyingi kama watu wanavyodhani, aviator imetengenezwa kwa ajili ya kula tu sio kuliwa😀😀. Leo...
19 Reactions
69 Replies
3K Views
Baba wa familia na mkazi wa barabara ya nne jijini Tanga Alii Bagidad (60) mwenye asili ya Kiasia ambaye mke wake pamoja na dada wa kazi walikutwa wamenyongwa pamoja na kutobolewa macho yao wiki...
7 Reactions
36 Replies
4K Views
Sasa hivi wameshahama kwenye Jamuhuri ya Muungano wamehamia Jamuhuri ya Twitter! 😂
3 Reactions
7 Replies
337 Views
JIFUNZE KUISHI UHALISIA KABLA YA UHALISIA WENYEWE HAUJAFIKA ✍️ Hii ni kanuni nzuri sana na ukifanikiwa kuiishi kuna mambo hayatakusumbua kwa sababu tayari ulijiandaa kabla ya utokeaji wake na...
1 Reactions
2 Replies
220 Views
Mawaziri wa Tanganyika mjitafakari kama kweli mna uchungu na nchi hii mbona bado mnafuja Kodi za wananchi? Yaan Dar-Dodoma bado mnaendesha maV8 wakati SGR IPO?
6 Reactions
24 Replies
810 Views
Ni kweli mtakatifu Ritha wa Kashia anasikiliziwa zaidi na Mungu au ni Placebo(matibabu ya kutuliza akili kwa kuidanganya) iliyozuka ghafla kwa Wakatoliki wengi wa bongo?
20 Reactions
221 Replies
8K Views
Jambo la kwanza, wavulana huingia kwenye uanaume pale wanapoanza kuelewa kwamba,hakuna anayewajali kama hawana mchango wowote katika maisha,kama unataka kuwa mwanaume basi onyesha thamani yako...
20 Reactions
40 Replies
1K Views
Wana jamvi, nahitaji mwanasheria tutagawana mapato, kuna kampuni nahitaji kuipeleka mahakamani wanilipe fidia sasa sina pesa za kumlipa mwamasheria ila tutakula wote kitakacho lipwa.
0 Reactions
10 Replies
358 Views
Macho ni jicho la roho, macho huongea mengi macho hutoa taswira fulani ya kitu iwe furaha ghadhabu uchungu nk...! Zile ishara za usoni kwa asilimia 80 hubebwa na macho zingine Zikiwa ni mdomo na...
21 Reactions
106 Replies
21K Views
Serikali ya wilaya ya Kasulu imekaa kimya tu wananchi walipakodi tunashinda na kulala gizani. Haya ndiyo mambo yanayosababisha watu tujifunze kukwepa kulipa kodi maana hatuoni umuhimu wake...
0 Reactions
11 Replies
424 Views
Yeeerrreeehhh! May 2021 Hamaswalianza uchokozi walirusha makombora mengi sana kwenye anga teule la Israel. Israel ikajibu kwa kuwashushia vitu vizito sana vyenye ncha butu vikigusa ardhi...
2 Reactions
2 Replies
212 Views
Nakumbuka nywele zilikuwa nyingi sana hadi ikawa kero, nilipopata muda jioni ikabidi niende mtaani kunyoa, Kinyozi alikuwa kavaa kiheshima na yeye kanyoa kiheshima nywele zake, hakuuliza ninyoe...
4 Reactions
14 Replies
2K Views
Low profile( Kuishi Kawaida/ Low status) Kuishi hivyo Kuna uzuri wake na ubaya wake
1 Reactions
0 Replies
155 Views
Ukisikiliza kuanzia Vipindi vyao vyao vyote kuanzia vya Television ( Runinga ) hasa kile cha Clouds tv 360 na vingi vya Redio utagundua ya kwamba 99% ya mapokeo yao juu ya hii Kampeni ya Mkuu wa...
6 Reactions
31 Replies
8K Views
Back
Top Bottom