Habari na Hoja mchanganyiko

Una jambo umeliona kutoka chanzo chochote cha habari? Hoja binafsi? Tushirikishane
Habari !!! Natafuta mtu anayeweza kutafsiri lugha ya Kihadzabe kwenda Kiswahili !!! Nitafte: 0683535699 kwa maelewano.
1 Reactions
13 Replies
498 Views
#Copied Jijini Tanga, katika kata ya Usagara karibu na uwanja wa hockey, kuna makaburi ya zamani yenye sehemu ya Kikristo na sehemu nyingine ya kijeshi ya Vita ya Kwanza ya Dunia, ambapo wengi wa...
1 Reactions
0 Replies
290 Views
https://www.youtube.com/watch?v=IKQDv45V3VY Bunge linapokea na kushauri kuhusu mapendekezo ya mpango wa maendeleo unaokusudiwa kutekelezwa na serikali kwa Mwaka wa Fedha 2025/26. Majadiliano...
0 Reactions
2 Replies
388 Views
Tar 03/11/2024 niliweka Tsh.20,000/= kwenye account yangu ya tigo pesa, tar 04/11/2024 asubuhi nikakutana na hii, 👇👇 Dear Customer, you have Successfully done Payment...
0 Reactions
2 Replies
258 Views
Ndugu wanajamvi,nimejikusanyakusanya hatimaye kupata visenti vya kufikiria kuezeka Nyumba yangu.Fundi kanipa makadirio yafuatayo kwa materials. Nyumba Ina ukubwa wa Upana Ni Futi 28 Urefu Ni Futi...
6 Reactions
38 Replies
19K Views
By Vincent Achuka Reporter Nation Media Group As an unwritten rule in all global Internet frauds, no matter the amount of money stolen or the friendships that exist between gang members, all...
2 Reactions
8 Replies
1K Views
Mkuu wa Idara ya Usalama wa Mtandaoni kutoka Vodacom Tanzania Plc Bw. Joel Kazoba akizungumza katika uzinduzi wa klabu ya usalama wa mitandao uliofanyika katika Chuo Kikuu cha Dar es Salaam cha...
0 Reactions
0 Replies
290 Views
Mbunge wa Mkalama Francis Isack Mtinga ameuliza Swali bungeni Leo Novembar 4, kwa Naibu Waziri wa Tamisemi Zainabu katimba Kuwa ni lini Serikali itajenga Shule ya Sekondari na Kituo cha Afya...
0 Reactions
1 Replies
292 Views
Rais wa Shirikisho la soka la Afrika (CAF), Patrice Motsepe yamemkuta makubwa nje ya uwanja ambayo yatamlazimu kuwepo Dar es Salaam. Bosi huyo ambaye ni mmiliki wa klabu tajiri ya Mamelodi...
3 Reactions
8 Replies
1K Views
Tatizo la Kutokulipwa wakandarasi na wazabuni nchini limekuwa sugu nchini ambapo leo bungeni wabunge wameihoji serikali ni lini watawalipa watoa huduma hao wanaoidai serikali kwa kuwa kitendo cha...
0 Reactions
1 Replies
348 Views
...huu ni ugonjwa wa akili,,,,,, ....dalili ni ni kusikia sauti moja au mbalimbali,kuamini vitu ambavyo havipo etc .....wanasema huu ugonjwa una advantages to it, .....ingekuwa hauna...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Siku hizi imekuwa kawaida kusikia watu wakijisifia wana ‘side hustle’ – kazi ya ziada mbali na ajira yao ya kudumu. Swali linakuja, hivi kuwa na ‘side hustle’ ni kutafuta hela ya ziada kwa maisha...
0 Reactions
4 Replies
310 Views
Kuna kipindi mdogo wa rafiki yangu nilimpa hifadhi kwangu kesho yake aendelee na safari, dogo alivyokuja hakuwa na ndevu za kunyoa na anavyoondoka hakunyoa wala kupunguza nywele zozote kichwani...
209 Reactions
751 Replies
124K Views
Wakati wa uchaguzi, TaarifaPotofu husambazwa kwa wingi ili kuwasafisha au kuwachafua wagombea. Hakikisha Unahakiki kila Taarifa kabla ya Kuiamini.
0 Reactions
0 Replies
175 Views
Mwamposa naona anawavuta watu waende kanisani kwake kwamba kupitia Tessa kusali kwake tayari yuko mbinguni
9 Reactions
34 Replies
1K Views
WATOTO WAFUNDISHWE; NATURE INAMTAKA MHANGA NDIYE AJIHAMI KWANI YEYE NDIYE ANAYEPATA MADHARA Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Katika Jambo lolote lazima uangalie Nafasi yako ni Ipi. Je wewe ni...
6 Reactions
48 Replies
1K Views
Serikali/mamlaka husika ijaribu kufuatilia na kuchunguza uongozi wa chuo cha maendeleo ya wananchi same -kilimanjaro (FDC), hadi sasa baadhi ya wanafunzi waliowahi kumaliza chuoni hapo...
0 Reactions
3 Replies
393 Views
Tunaiomba Serikali kupitia Wizara husika ijaribu kufatilia chuo hiki kuna kila dalili za kutokuwajibika kwa watumishi wake na kutokutumia madaraka yao vyema, wapo wanafunzi waliowahi kusoma chuoni...
0 Reactions
2 Replies
220 Views
Serikali inatakiwa iwe inatoa ajira kwa miaka 10 tu baada ya hapo mfanyakazi astaafu.
21 Reactions
184 Replies
3K Views
Wote mnaoishi Dar es salaam huku mnalia maisha magumu ni mafala,aliwahi kusema Anton Lusekelo mzse wa upako Ukipita barabarani ni foleni za magari lakini wewe huna hata pikipiki we ni Majumba...
11 Reactions
16 Replies
551 Views
Back
Top Bottom