Mumba ni shule iliyoko Manispaa ya Kigamboni na ikiwa na darasa la awali hadi Darasa la 4 na ikiwa na Walimu wanne na mmoja wa kujitolea ila Mwalimu Mkuu na Mwalimu wa kujitolea ambae ana takriban...
Mwaka 2020 ndiyo unaelekea mwishoni, huku zikiwa zimebaki siku 50 kuisha. Watanzania hatuna mazoea ya kuandaa bajeti zetu binafsi, lakini ni tool muhimu sana kwenye maisha yetu hasa unapotaka...
Wadau huko Bungeni kuna mapendekezo ya Wasanii wapewe Service Passports
Mbunge wa Viti Maalum, Tauhida Nyimbo amependekeza Wasanii wa Tanzania ambao hawana skendo na wanaiwakilisha nchini...
Nchini Afrika Kusini, mapema leo hii Polisi na Mamlaka zimefanya msako katika Kituo cha maduka cha "China Mall" jijini Johannesburg, Gauteng, ili kuwatafuta watu ambao huenda hawana vibali vya...
Wakuu. kuna watu wanatafuta pesa kwa shida sana kwenye kuitafuta. ila inapo kuja kwenye kupata faraja jion au akirud kwa yule ampendae pia ana ambulia zarau, kejeli na kero mbali mbali, u
Kwa...
Nimepata tatizo nilikuwa naweka pesa kwenye account ya Mpesa visa kiasi cha Tsh 80000 ili nifanye malipo mtandaoni ila sasa salio silioni kwenye Mpesa Visa.
Huku Mimi nimesharudishiwa sms kuwa...
Wazee wetu waliolitumikia shirika la reli Tanzania kwa jasho na damu asilimia kubwa kwa sasa wamepoteza maisha na wengine wako hoi vitandani na ama wako hoi kimaisha! Serikali kupitia shirika la...
Wajinga kaeni kwa kutulia kizazi hiki cha corona na uvuvuzela hamjui kitu. Msibani watani tunaongea tunachotaka na kwa Raha zetu.
Kaeni kimya
Pang Fung Mi
Wakuu habari za usiku huu.Pasipokuchosha nijikite katika mada.Tuongeleapo uchawi twalenga matumizi ya madawa ama vitabu maalum(grimoires) ikihusisha manuizo na kudhuru watu wengine kimiujiza...
The Majlisi Milli (Tajikistan’s upper chamber of parliament) has seconded the law banning “alien garments” and children's celebrations for two major Islamic holidays -- Eid al-Fitr (Idi Ramazon)...
Kimsingi Ata sisi tumepitia ujana kwenda club, fashion za kisela, kutoka na wachumba tofauti, kudag, kula bitches nk
Lakini si huu usela wa hawa vijana wa Arusha.
Asee watoto wanaozaliwa miaka...
Hii taarifa tangu nilipoiona, kama inaukweli basi nchi yetu ni masikini wa kutupwa.
Inaonuesha uhalali wa kupigwa mizinga popote utakapopita.
Inaonyesha vuguvugu la uchawa ni harakati za watu...
Mwili wa msanii, Grace Mapunda maarufu 'Tesa' umeagwa bila jeneza lake kufunuliwa.
Huo ulikuwa ni utaratibu wa familia ambao ulitangaza kutofunua jeneza lenye mwili wa muigizaji huyo. Taarifa...
"Elimu mheshimiwa Mwenyekiti elimu ni mambo matatu elimu ni access, elimu ni quality, elimu ni relevance na tukianza na access wangapi wana fursa ya kwenda shule, la pili quality elimu yetu ina...
Wananchi na watumiaji wa vyombo vya moto wamehimizwa kuwa makini wanapoyapita magari hayo ili kuepuka kuyagonga. Pia wametakiwa kutolisogelea gari lililobeba kemikali ya sianidi (Sodium Cyanide)...
Mringo is our modern day case study that demonstrates its possible to come from ordinary background and still get rich in Tanzania...
This guy started from bottom few years ago but now he owns...
Nauli ya hii treni mpya ya Royal ni Laki na Hamsini (150,000) Dar mpaka Dodoma.
Na huu ndio muonekano wake ndani
Watu wengi wamepatwa naa kigugumizi kuhusu gharama za behewa hili ukilinganisha...
Wanafunzi wa Chuo cha Ustawi— Institute of Social Work, Bamaga, Dar es Salaam wanalalamika ratiba za masomo zinazoenda mpaka Saa 4 Usiku. Hii inahatarisha usalama wao hasa wakati wa kurudi makwao...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.