Kuna baadhi ya watu wanatumia changamoto zinazowakumba watoto wa kike kujinufaisha, pasipo kujua kuwa wanatekeleza vitendo vya ukatili wa kijinsia. Vishawishi kama vile vyakula (mfano chipsi)...
Ilianza kama mzaha kwa RC Makonda kutangaza majina ya wasanii aliowashuku watumia dawa ya kulevya.Akapata coverage/kiki kubwa katika media za ndani.
Then akafuata Naibu waziri wa afya kutoa amri...
Habari ya asubuhi ndugu wana JF wenzangu? Samahani naomba msaada wa kujuzwa hili eneo (Dondwe) ndiyo wapi hapa Tanzania?
Ni mkoa wa Pwani ama Dar es Salaam? Umbali kutoka mjini Posta ni km...
Juzi kati nilikutana na hiki kitabu kinaitwa Wasomi Wajinga. Katika kukipitia nilikuta kina mambo ya kushangaza sana. Ni kama zile play za Kezilahabi. Kina maneno makali na yenye ukakasi...
Kuna wale waliobahatika kushuhudia siku za mwisho za wapendwa wao wakiwa hospitali kuna Ile aibu wanaipata dakika za mwisho wakitaka kukata roho🥺nilipata kuishuhudia
Sema nini wakuu Tuombe mwisho...
Kumeibuka tabia ya aibu, tabia ya kishenzi kwenye jamii ya vijana wa Kitanzania. Vijana wamekuwa kama walemavu, wameamua kutumia mitandao ya kijamii kusifia wanadamu wenzao ambao huwapa unga na...
Habari zenu ndugu nimepata experience mpya sikujua kama kufukuzwa kazi Kuna uma kuliko maumivu ya mapenzi ni week Sasa tangu boss anifukuze ofisini kwake siwezi hata kula.
Ushauri wenu una...
Dodoma dodoma dodoma nakuita mara tatu
Moja ya mikoa mibaya kimazingira dodoma ni miongoni mwao kwa uchache hizi ni sifa za dodoma
Mkoa ambao kwa asilimia kubwa ni nusu jangwa (semi arid)
Mkoa...
Asilimia 70 na zaidi ya watu wote wanaofutila siasa za Marekani wamefurahishwa na ushindi wa Trump, hata mataifa hasimu ya Marekani yamefurahishwa sana na ushindi huo.
Pongezi ni kwa Trump...
📖Mhadhara (61)✍️
MAONI KUHUSU UKATILI WA KIJINSIA KWA WATOTO
🔘 Katika kupambana na UKATILI WA KIJINSIA KWA MTOTO, wazazi wanapaswa kuwa mstari wa mbele katika mapambano hayo, hivyo ni muhimu...
Uchunguzi wangu umebaini kuwa asilimia kubwa sana ya wanafunzi waliosoma shule za Masista hawawapendi Watawa hao na wala hawapendi kurudi kusoma shule hizo.
Aidha, wengi wa wanafunzi hao...
The Shifting Landscape of US AI Policy: Navigating Innovation, Security, and Ethics
By 2025, artificial intelligence is projected to generate $15.7 trillion in global economic value. As the U.S...
Mungu Baba asante kwa jumamosi mpya katika maisha yetu. Tukumbuke katika mengi tuyatamaniyo katika maisha yetu twaomba
Eee Mungu wetu, tutendee wema wako katika hatua zetu za maisha. Usitunyime...
Watu 14 wamefariki dunia baada ya gari ya abiria dogo aina ya Toyota Hiace kuligonga lori kwa nyuma wilayani Nzega mkoani Tabora leo Alhamisi Novemba 7, 2024.
Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa...
Tafadhali naomba huu Uzi uwe na Mjadala wenye Mantiki kwa Faida ya Wengi kwani kwa Utafiti wangu GENTAMYCINE nikienda Kuona Wagonjwa Lugalo Military General Hospital na hata Majumbani / Mitaani...
Habarini za wakati huu wakuu..
Moja kwa moja kwenye mada. Inawezekana nia ya Serikali ni njema, lakini tatizo liko kwa watendaji waliokabidhiwa ofisi za Serikali kuwahudumia wananchi.
Kuna mti...
Ni hivyo tu, ya huku yaache huku, madaraka yasikutoe ubinadamu na utu, huyo uliyemtuma ajifanye anajua kurekodi tunamjua.
Cheo kisikutoe utu, na ulipewa ukakikataa
Mimi ni mmoja wa wadau wa JamiiForums, kuna kitu nataka nishauri au kukemea kabisa. Kuna vitu hawa Mama Lishe au Mama Ntilie wanafanya siyo kabisa kwa afya ya Wateja wao kupitia vitafunwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.