Pesa, Cheo, Umaarufu, n.k. Sio vyote vinapatikana kihalali, kuna njia mchepuko ya kuvipata kwenye ulimwengu wa giza, Hata vitabu vya dini vmeandika Shetani anaweza kufanya hayo ila ni kwa masharti...
Zamani alikuwa kama mpambe wa Rais Shein.
Akaja kuibuka kwenye msiba wa Hayati Magufuli akiwa kama anaongoza itifaki kwenye msiba huo.
Baada ya hapo misiba ya viongozi wa kitaifa kama ule wa...
Doh! Sio Mchezo
Kipigo cha Yanga dhidi ya Tabora United cha bao 3-1 kimetumika darasani kama somo la kusoma kwa wanafunzi wanaojifunza Kiswahili.
Soma, Pia: Full Time: Yanga SC 1 - 3 Tabora...
Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Dunstan Kitandula ametoa rai kwa Uongozi wa Mkoa wa Rukwa kuendelea kushirikiana na Wizara katika kuhamasisha wadau na wawekezaji waliopo katika Mkoa wa...
hellow weekend
SIkuizi malezi yamekuwa mabaya sana sana sijui ni uzungu kipindi chetu nilikuwa naenda shule mwenyewe na narudi mwenyewe wakati uho nina miaka 6 na napajua nyumbani na najua...
Waisraeli si wakrsito, na hadharani Wayahudi wanamkana Yesu Kristo kwamba hawamtambui wanamuona ni tapeli tu. Na hata mafundisho yake hawayafati. Agano jipya la biblia kwao hawalitambui. Na...
Mfundishe mwanao majukumu yale ambayo yatakuwa faida kwenye maisha yenu na yake ya baadaye kwasababu huyo ni mume au mke wa mtu wa baadaye pia ni mwanafamilia wako
Mama/baba mfundishe kijana wako...
Wakati pilikapilika zikishika kasi kwa wanaotajwa kuanza kampeni za chini kwa chini kutaka kuwania ubunge jimbo la Moshi mjini hapo mwakani,makada wa Chama hicho wameibuka na kisisitiza kuwa bado...
Wakuu Naomba kujua Huyu Ndugu, Anaweza saidika Vip?
Alikuwa amesafiri kwao huko kijijini, sasa Juzi amerudi Dar,sasa akaanza mchakato wa kuomba AVN number , kila akiingiza details zake anambiwa...
Sasa hivi kumekuwa na wimbi kubwa la vijana hasa Hawa wa 2000, kinachonisikitisha ni namna vijana Hawa wanavyopromote na kupotray kuwa mtu kuwa Mzee ni kitu kibaya, tabia hii mostly imeanzia Kwa...
Habari zenu wana JF, binafsi nimeamka asubuhi nimejihisi kuchoka na hii tabia ya kuangalia picha chafu.
Nimekuwa na tabia hii muda mrefu sasa basi.
Najua kuacha uraibu wa tabia fulani sio jambo...
Ukimfanyia mtu ubaya, jitenge naye, hata kama anaonekana mpole na mnyonge. Moyo wa mtu ni kama kichaka; huwezi kujua anachoficha.
Hii ni moja ya kumbukumbu mbaya sana maishani mwangu – moja kati...
Si vibaya kuuliza
Wakazi wa kigamboni kibada na mjimwema hadi cheka nadhani mnajionea sehemu ya barabara imevunjwa vunjwa alafu imechwa hivyo hivyo full vumbi mpaka sasa sijapata jibu kama...
Asalam aleykum!
Jamani haya maisha yanachekesha sana na ukiyafikiria sana unaweza kupasuka kichwa, basi juzi kuamkia jana bwana kama kawaida katika ndoto niko sehemu kama nimesimama hivi...
Aman iwe nanyi wapendwa katika BWANA
Habari za jumapili ya kongamano la ekrist takatifu
Nimeamua leo nije niongee na nyinyi vijana wezangu ambao bado mnajitafuta katika maisha
Mda mwingine...
Inasikitisha sana kuona vita vimegeuzwa kama ushabiki wa mpira.Huku watu wanakufa, watu wanapata ulemavu wa kudumu, wengine wanapoteza kila kitu!
Wengine wanatazama hii vita kwa itikadi za kidini...
Wanajukwaa.
Wiki moja na nusu nimepitia wskati mgumu sana maishani. Afya yangu ilipata pigo gumu sana, nilishapoteza matumaini ya kuishi kwa hali iliyonikumba.
Nilianza kupata dalili ya mafua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.